The House of Favourite Newspapers

Tigo Pesa Mastercard QR zawadi nje nje

 

Kaimu Afisa Mkuu-Tigo Pesa, Angelica Pesha akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)katika hafla ya uzinduzi wa kampeni ya Tigo Pesa Mastercard QR, mapema leo Jijini Dar Es salaam.
Angelica Pesha akionesha kwa waandishi wa habari jinsi ya kulipia kwa Tigo Pesa Mastercard QR,katika hafla ya uzinduzi huoi.

 

 

Comments are closed.