The House of Favourite Newspapers

Shughuli ya Maulid ya Kumsifu Mtume Muhammad (S.A.W)

0

Karibuni katika Mawlid ya Mtume Muhammad(S.W.A)tuujaze uwanja Karibuni katika Maulid ya Mtume Muhammad (S.W.A) tuujaze uwanja.Madrasat Rahman Segerea mwisho,Dar es salaamMadrasat Rahman Segerea Mwisho, Dar es Salaam

HUGHULI YA MAULID YA KUMSIFU MTUME WETU MUHAMMAD (S.A.W) SIKU YA 19/03/2016 SEGEREA MWISHO, DAR

ASSALAAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATU

Al Madrasat Rahman iliyopo Segerea Mwisho, Dar-es-Salaam

INAWAALIKA KATIKA SHUGHULI YA MAULID YA KUMSIFU MTUME WETU MUHAMMAD (S.A.W) siku 19/03/2016 JItokezi kwa wingi!

Ndugu zetu watukufu wa kiislam Uongozi wa Al Masjid Qubbah na Madrasat Rahman ya Tabata Segerea Mwisho,Dar-es-salam inawaalika waislamu wote waume kwa wanawake, Masheikh,na Madrasat mbalimbali kuwa siku ya jumamosi ya tarehe 19/3/2016 kutakua na Maulid ya kumswifu bwana Mtume Muhammad (S.A.W) katika viwanja vya madrasat Rahman segerea mwisho.

Kama ilivyoada kuanzia saa nne asubuhi kutakua na maulid ya kina mama mpaka saa kumi alasiri, na baada ya swalatul inshai kutakua na maulid ya jumuiya waume kwa wanawake. Jitokezeni kwa wingi katika shughuli hii, tuuzaje uwanja wa shughuli hii, kushiriki kwenu ndio mafanikio na baraka ya shughuli hii ya Maulid ya Mtume Muhammad (S.W.A)
Karibuni sana.

INSHAALLAH WABILLAH TAUFIQIH Mawasiliano Simu 0777 000036, au 0712 840 960

Leave A Reply