NECTA Yatangaza Matokeo Darasa la Saba, Tazama Hapa
BARAZA la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA), leo Jumamosi, Oktoba 30, 2021 limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2021 (Matokeo ya Darasa la Saba mwaka 2021 ambapo watahiniwa 907,820 kati ya milioni 1.2 waliofanya mtihani huo wamefaulu sawa na asilimia 81.9.