The House of Favourite Newspapers
gunners X

Rais Samia afanya mazungumzo na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na JWTZ Zanzibar – Video

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu ndogo ya Tunguu – Zanzibar, tarehe 06 Januari, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JWTZ) katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 06 Januari 2026.

Mazungumzo hayo yalilenga kujadili masuala mbalimbali ya usalama na maendeleo ya kijeshi nchini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda, mara baada ya mazungumzo na Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 06 Januari, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Faraji Mnyepe, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda pamoja na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Mabele, mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar, tarehe 06 Januari, 2026.

WAZIRI HOMERA – “HAKUNA MWANANCHI MORO ALIYESHIRIKI MAANDAMANO – WALIFANYA MAENDELEO”…


 

Leave A Reply