The House of Favourite Newspapers

Adele Kwenye Penzi Jipya Na Rapa Skepta

 

MTANDAO wa The Sun umeripoti kuwa mwanamuziki Adele ameingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na rapa Skepta amabaye ni raia wa Uingereza mwenye asili ya Nigeria.

 

 

Watu wa karibu na wawili hao wamethibitisha penzi hili jipya, Skepta na Adele wote wanaishi mjini Tottenham nchini Uingereza. Hii inakuja ikiwa ni hivi karibuni tu Adele alikamilisha talaka yake na kuachana rasmi na Simon Konecki ambaye alikuwa mume wake kwa miaka 7.

Comments are closed.