The House of Favourite Newspapers

Al Hilal Yatangaza Kuchukua Hatua za Kisheria Dhidi Fabrice Ngoma

0
Fabrice Ngoma

Klabu ya Al Hilal imetangaza kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wachezaji wake watatu Fabrice Ngoma, Lamine Jarjou na Ibrahim Imoro ambao wamevunja mikataba bila kufuata Sheria sahihi.

Al Hilal inasema Nyota hao wamevunja mikataba bila kufuata taratibu, na watachukua hatua za kisheria dhidi yao.

UMAFIA! SIMBA SC YAMSHUSHA NGOMA DAR/ WINGA MPYA YANGA ATUMIWA TIKETI/ MO ATOA AHADI NZITO..

Leave A Reply