The House of Favourite Newspapers

Gigy Afunguka Video Akinanilii na Lavalava, “Kulambana ni…”

MWANAMITINDO na msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amefunguka baada ya video yake kusambaa akipapasana gizani na msanii kutoka Lebo ya WCB, Lava Lava jambo ambalo limetafsiriwa kama wanatoka kimapenzi.

 

Akifungukia madai hayo, Gigy Money amesema kuwa video hiyo ilipigwa wakiwa club na hakuna chochote kibaya wala mahaba kati yao.

 

“Mshikaji tu kwani kulambana ni nini, ni club pale na inategemea na mlivyozoeana, sina mume wala sina mpango wa kuolewa, am single, i mean i have no boy friend’, “” amesema Gigy Money.

‘MAHAKAMA’ Yalikataa Gari la Miss TZ (Ni KITUNGUU)

Comments are closed.