The House of Favourite Newspapers

Ambwene Afunguka Kutumika Kisiasa “Nina Chama Changu”

0

Kupitia kipindi cha Soulfood ya +255 Global Radio leo Oktoba 25, Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Ambwene Mwasongwe amewataka vijana Kuzingatia amani ya nchi na kujitokeza kwa wingi kwenda kupiga kura ili kuchagua viongozi kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 28.

 

Amesema nafasi pekee vijana walio nayo ni hii ya kuchagua viongozi huku wakiendelea kudumisha amani

 

Kipindi cha Soulfood huruka kila siku ya Jumapili kuanzia saa 12:00-3:00 Asubuhi kupitia Global TV Online na +255 Global Radio Online.

 

 

Leave A Reply