The House of Favourite Newspapers

AUNT EZEKIEL: Mimi ni Napenda Mapenzi – Video

MSANII wa filamu nchini, Aunt Ezekiel ‘Mama Cookie’ amesema katika ngoma zote za msanii wa WCB, Mbosso Khan anayoipenda zaidi ni ‘Alele’ kwa sababu imebeba ujumbe mzuri wa mapenzi na yeye ni mgonjwa hasa wa mapenzi.

 

Aunty amesema hayo wakati akiongea na Global TV Online usiku wa kuamkia leo, kwenye ‘The Night of African Voice’, shoo ya kwanza ya Mbosso tangu asainiwe WCB.

 

Usiku huo ulisindikizwa na mastaa kibao wa Bongo Fleva wakiwemo wasanii wote wa WCB, Dulla Makabila, Baraka The Prince, Enock Bella, Aunt Ezekiel na wengine wengi.

MSIKIE AUNT AKIFUNGUKA HAPA

Mbosso – Alele (Official Music Video)

Comments are closed.