Mwili wa Hayati, Askofu Mkuu Novatus Rugambwa Umeagwa Roma – Italia
Kardinali Pietro Parolin, Katibu wa Vatican, ameadhimisha Misa Takatifu kwa ajili ya kumwaga Hayati, Askofu Mkuu Novatus Rugambwa katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican, akisaidia na Askofu Mkuu Msaidizi wa Vatican Edigar…