JKCI Yaendelea Kuwa Kivutio Kwa Mataifa Ya Afrika
MADAKTARI nane kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, wanatarajiwa kutembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), kwaajili ya kujifunza namna taasisi hiyo ilivyopiga hatua katika tiba ya moyo na uwekezaji mkubwa uliofanywa…