The House of Favourite Newspapers
gunners X

Baba Amuunguza Mwanaye Kikatili, Mama Asimulia A-Z

0

LICHA ya serikali kuendelea kukemea vikali vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia lakini bado inaonekana jamii haijakubali kuacha na kila kukicha matukio mapya ya kushangaza na kikatili yanazidi kuongezeka.

 

Katika hali isiyo ya kawaida, Baba mmoja mkazi wa Kivule amemwagia maji ya moto mtoto wake mdogo na kumuunguza vibaya wakati wa purukushani ya kugombana na mkewe.

 

Leave A Reply