The House of Favourite Newspapers

Bakwata Watoa Tamko Tishio La Kumuondoa Mufti

Sheik wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum, akiongea na wanahabari akikanusha taarifa za kumwondoa Mufti jijini Dar es Salaam leo.
Sheik Salum na viongozi wengine wa Bwakata wakiendelea kuongea na wanahabari.

Baraza Kuu la Waislam Tanzania (Bakwata) Mkoa wa Dar es Salaam limewalaani vikali watu waliotoa na kusambaza taarifa za uongo na uchochezi kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini wakiwa na lengo la kumchafua Mufti wa Baraza hilo kwa ujumla.

Taarifa hiyo tunaiweka hapo chini kikamilifu:

(HABARI NA ABEID LIJEI | GLOBAL TV ONLINE)

Comments are closed.