The House of Favourite Newspapers

Bayern Wamtaka Jesus, Roma Wamtaka Smalling

BAYERN Munich imeonyesha nia ya kumtaka straika wa Manchester City, Mbrazili Gabriel Jesus, 22, lakini klabu hiyo imeweka dau kubwa la pauni milioni 100 ili kuwakatisha tamaa ya kumfuatilia.

KLABU ya AS Roma imedaiwa kuwa inataka kufanya mazungumzo na Manchester United juu ya uwezekano wa kumsajili moja kwa moja beki wa kati Chris Smalling anayecheza kwa mkopo klabuni hapo, kufuatia kuwavutia Roma tangu atue Italia katika usajili uliopita.

Comments are closed.