The House of Favourite Newspapers

Benki ya NBC Yasaidia Ujenzi wa Miundombinu ya Afya, Elimu Mbeya

Naibu waziri Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Mary Mwanjelwa (wa tatu kulia) akipokea msaada wa mifuko 600 ya saruji kutoka kwa Meneja wa Benki yua NBC Kanda ya Kusini, Salema Kileo (wa pili kushoto), pamoja na baadhi yua wafanyakazi wenzake iliyotolewa na NBC kwa ajili ua ujenzi wa miundombinu ya afya na elimu katika Jiji la Mbeya. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijini Mbeya.
Mary Mwanjelwa (katikati),  akizungumza wakati akipokea msaada wa mifuko 600 ya saruji kutoka kwa Meneja wa Benki ya NBC Kanda ya Kusioni, Salema Kileo (wa pili kushoto), pamoja na baadhi ya wafanyakazi wenzake iliyotolewa na NBC ank ya NBC kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya afya na elimu katika Jiji la Mbeya. 
…Mwanjelwa akizungumza wakati akipokea msaada wa mifuko 600 ya saruji kutoka Benki ya NBC kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya afya na elimu katika Jiji la Mbeya.  Kulia ni Meneja wa NBC Kanda ya Kusini, Salema Kileo na kushoto ni Meya wa Jiji la Mbeya, Mchungaji David Mwashikindi.
Meya wa Jiji la Mbeya, Mchungaji David Mwashilindi akizugumza wakati wa hafla ya kupokea msaada wa mifuko 600 ya saruji kutoka Benki ya NBC kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya afya na elimu jijini humo. Katikati ni  Naibu waziri Ofisi ya Rais Menenjimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Mary Mwanjelwa na kulia ni Meneja wa NBC Kanda ya Kusini, Salema Kileo.
Meneja wa Benki ya NBC Kanda ya Kusini, Salema Kileo akizungumza kabla ya kukabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji kwa Naibu Waziri, Dk Mary Mwanjelwa (kulia kwake).
Naibu waziri Ofisi ya Rais Menenjimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Mary Mwanjelwa (katikati), Meya wa Jiji la Mbeya, Mchungaji David Mwashilindi (kushoto kwa naibu waziri), wakipozi kwa picha ya kumbukumbu mara baada ya hafla hiyo jijini Mbeya.

Comments are closed.