The House of Favourite Newspapers

Beyonce Aficha Ujauzito Wake, Avaa T-Shirt Kubwa

 

What a way to get ready: The pair were snapped mere hours before taking to the stage for their performance at Allianz Riviera

MWIMBAJI Beyonce jana alionekana akiwa amevaa kikaptura cha jeans na T-shirt kubwa na pana ambapo mashabiki waliomwoma jijini Nice, Ufaransa, waliendelea kuamini kwamba ana ujauzito wa tatu tangu waoane na mumewe Jay Z, ambao utawaletea mtoto wa nne.

Leggy lady! The Grammy winning artist added to the glamour by donning a pair of tiny denim hotpants that showed off her toned pins, whilst lace-up detailing on the side gave even more of a glimpse at her gym-honed thighs

Beyonce (36) aliyejifungua watoto mapacha, Rumi na Sir, mwaka jana mwezi Juni, ana mtoto mwingine wa kwanza, Blue Ivy.  Baada ya ziara ya wawili hao nchini Ufaransa, wataelekea Amerika ya Kaskazini.

All aboard! The pair seemed chirpy as they prepared to disembark the luxury liner and head off to explore the city 

Beyonce na mumewe wakijivinjari baharini jana.

What's your name? In yet more self-promotion, the songstress also bore a pair of hooped earrings emblazed with her own moniker, which peeked out through her curled golden locks, that were brushed into place with a paisley print bandanna

…Akiwa amepozi mbele ya kamera bila wasiwasi.

Comments are closed.