The House of Favourite Newspapers

Bibi wa Obama Azikwa Kenya

0

SARAH Obama ambae ni Bibi wa Rais Mstaafu wa Marekani Barack Obama, amezikwa jana Machi 30, nyumbani kwake Kogelo, Siays Nchini Kenya, mazishi hayo yamehudhuriwa na watu 100 tu, kutokana na marufuku mpya ilitangazwa ya kupambana na ugonjwa wa Corona.

 

Sarah Obama alifariki juzi akiwa na miaka 99 katika  Hospitali ya Jaramogi Oginga, Rais Mstaafu Obama, hakuhudhuria mazishi hayo laikini aliwasilisha salamu zake za pole jumatatu.

 

Ulinzi mkali uliimarishwa kwenye kijiji cha Nyangoma Kogelo ili kuzuia maelfu ya waombolezaji walikuwa wanataka kuhudhuria mazishi ya Bibi Sarah.

Leave A Reply