The House of Favourite Newspapers

Birthday ya AY… Lil Ommy Afunguka Mchango wa Rapa Huyo Kwenye Game

0

 

MTANGAZAJI wa Kipindi cha The Play List cha Times FM, Lil Ommy amefunguka kuhusu mchango mkubwa kwenye game ya muziki ambao ameutoa legendary wa HipHop hapa Bongo, Ambwene  Allen Yessaya maarufu kama AY ambaye leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwake (BirthDay) aliyezaliwa mwaka 1981 Mtwara.

 

Lil Ommy ameyasema haya kupitia Instagram yake.

  • A very Big Birthday to a Living LEGEND We Proud of. May God continue to bess u in everything u do @aytanzania to shape the industry and inspire young generation like you have always been doing.

 

  • Ulichangia sana kuutangaza muziki nje ya mipaka ya Tanzania na kufungua njia kwa wasanii wengi waliokuwepo na waliokuja baadae. Ulifungua Collabo ya ndani ya Afrika Mahariki na nje ya mipaka yake. Uwekezaji kwenye VIDEOS bora na directors nje ya nchi na kuchallenge industry ya ndani kupata product bora was the great move.

    Kama ulikuwa hujui AY kila mara alipokuwa akisafiri kwenda nje ya nchi mbalimbali alikuwa anabeba CDs za nyimbo za wasanii wenzake wa Bongo Fleva ambazo ngoma sio hata zake au washkaji zake bila kujali wenyewe wanajua au hawajui na alikuwa akizisambaza katika nchi hizo ili kusambaza zaidi MUZIKI nchini kwao, ili saidia sana kusambaza muziki kipindi hicho mambo ya kudownload na kutuma kwenye mitandao hawakuwa kama ilivyo leo.

    Kitu kizuri kikubwa alichokifanya siku zote kwenye shows zake nje ya nchi au kwenye Safari zake, hakusita kujigamba kuwa Mtanzania na kujivunia nchi anayotoka. Kumbuka show yake kwenye Big Brother Africa. •
    AY ametoa connections nyingi sana za Collabo, Directors wa VIDEOS kwa wasanii wenzake na mambo mengi ikiwa ushauri etc.

    Ameweza kuwepo kwenye game toka long time mpaka leo akiwa na heshima kubwa kwa wasanii na industry. amefanya shows kubwa kibao ja kushinda AWARDS nyingi za heshima plus nominations za kimataifa.

    He is a true definition of a hustler, he is a living LEGEND. •
    ANAHITAJI TUZO YA HESHIMA (HALL OF FAME)

    HAPPY BIRTHDAY.
  • hamisotz True Kabixaaa…. Happy birthday big bro.. More life… More blessings @aytanzania
  • aytanzania Nashukuru sana kwa wishes bro @lilommy

Ameandika Lil Ommy

Buravan – Just a Dance Feat AY ( Official Release Video)

Leave A Reply