The House of Favourite Newspapers

Blac Chyna amdandia Rob kimahaba hadharani

0

Blac Chyna and Rob (3)
LOS ANGELES, Marekani
MAHABA yanapokuzidia huweza kukufanya chizi na hivi ndivyo ilivyomtokea mwanamitindo Blac Chyna ambaye akiwa mtaani hadharani ghafla uzalendo ulimshinda na akajikuta akimdandia kimahaba mpenzi wake Rob Kardashian hadharani.

Blac Chyna and Rob (4)

Mrembo huyo mwenye umri wa miaka 27, alijikuta akimdandia Rob, 28, ambaye ni kaka yake Kim Kardashian bila kujali watu waliokuwa wakimuangalia.

Blac Chyna and Rob (2)

Rob na mpenzi wake huyo mpya walikuwa wakitoka kumuona mtaalamu mmoja wa upasuaji ndipo kamera zilipowanasa wakiwa kimahaba lakini ghafla Chyna akaenda mbali zaidi na kumkumbatia mwenzake.

Blac Chyna and Rob (1)

Leave A Reply