The House of Favourite Newspapers

BLAC CHYNA AUMBUKA KISA KALIO

Picha inayohusiana
Angela Renee ‘Blac Chyna’

MWANAMITINDO maarufu kutoka Marekani, Angela Renee ‘Blac Chyna’, hivi karibuni ameumbuka wakati akishiriki mchezo wa ‘Zoom Challenge’ wa kujivuta kwa makalio ambao unatamba kwa sasa mitandaoni.

Wakati anajivuta katika mchezo huo, nguo ilimvuka na makalio yake yakaonekana yameharibika vibaya kitendo kilichofanya watu wengi waamini kuwa makalio yake ni feki kama ambavyo tetesi zimekuwa zikieleza.

Hata hivyo vyanzo mbalimbali vimeeleza kuwa baada ya tukio hilo, Blac Chyna alilazimika kwenda hospitali, ili kuangalia nini tatizo la makalio yake, lakini alivyotafutwa na vyombo vya habari alikataa kuzungumzia hilo.

Comments are closed.