The House of Favourite Newspapers

‘BONGO MUVI RAHA’ WAWAPONGEZA WEMA, MONALISA

Mwigizaji Dokta Cheni akiwa katika pozi la kusubiri keki.

WASANII wa kundi la Bongo Muvi Raha jana waliwafanyia pati ya kuwapongeza wasanii wenzao, Wema Sepetu na Yvonne Cheri ‘Monalisa’,  baada ya kupewa tuzo za uingizaji bora. Pati hiyo ilifanyika Life Club, Mwenge Jijini Dar na kuhudhuriwa na wasanii mbalimbali wa filamu.

JB naye alibahatika kulishwa keki.
Rais wa Shirikisho la Filamu, Simon Mwakifwamba (kushoto) na Dokta Cheni wakifurahia jambo.
Wema (kushoto) akimlisha keki msanii anayekuja kasi, Lightness Mokiwa.
Wema akitoa neno la shukurani.
Wasanii wakigonga chiazzz…!

HABARI/ PICHA: RICHARD BUKOS / GPL       

Comments are closed.