The House of Favourite Newspapers

BREAKING: BASATA YAWAFUGULIA DIAMOND NA RAYVAN

Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’

Balaza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa taarifa Januari 22, 2019 kuwafungulia wasanii Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Raymond Shaban Mwakyusa ‘Rayvan’ na Tamasha la Wasafi baada ya kufungiwa kwa kipindi kisichojulikana kutokana na sababu za kimaadili,

Comments are closed.