The House of Favourite Newspapers

Breaking: Bondia Hassan Mwakinyo Amtwanga Bondia wa Argentina

 

BONDIA

Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amemtwanga kwa Knockout Bondia wa Argentina Sergio Gonzalez katika mzunguko wa 5 usiku wa leo Nairobi nchini Kenya.

Pambano hilo silo la ubingwa. Global Digital tunakupongeza Hassan Mwakinyo kwa kutupa heshima Watanzania na Wana Afrika Mashariki.

Comments are closed.