The House of Favourite Newspapers

BREAKING: Mahakama Kuu Yabatilisha Wakurugenzi Kusimamia Uchaguzi

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imebatilisha vifungu vya sheria vinavyowapa mamlaka Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia Uchaguzi. Kesi hiyo namba 6 ya mwaka 2018, ilifunguliwa na Bob Wangwe dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)

Comments are closed.