The House of Favourite Newspapers

Breaking: Msanii wa Kundi la Jagwa Music, Jack Simela Afariki

 

MWANAMUZIKI  wa Mchiriku na Singeli kutoka kundi la Jagwa Music,  Jack Simela na wenzake wanne wamefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Msamvu mkoani Morogoro  leo baada ya kugongana na Scania wakiwa wanatoka kwenye mazishi mkoani humo. Meneja Jack Simela amethibitisha msanii wake huyo kufariki.

Taarifa zaidi tutaendelea kuwajuza.

Comments are closed.