The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Basi la Ndenjela Limepata Ajali Kitonga, Iringa

Muonekano wa basi hilo baada ya kupinduka.

Basi la Ndenjela lenye namba za usajili T491 CJV Yutong F11 lililokuwa linatoka Mbeya kwenda Dar es salaam, limepata ajali leo maeneo ya Kitonga mkoani Iringa.

Chanzo cha ajali bado hakijafahamika ila baadhi ya abiria wajeruhiwa kuhusiana na ajali hiyo na hakuna vifo.

Comments are closed.