Lawrence Masha Ajiondoa Chadema

Lawrence Masha.

ALIYEKUWA mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Lawrence Masha, leo amejiondoa katika chama hicho na amesema atatafakari mustakabali wa kujiunga na chama cha siasa kingine. Pia amempongeza Rais John Magufuli kwa kutekeleza mambo ambayo waliyokuwa wanayapigia kelele wapinzani ambayo viongozi waliopita hawakuyatekeleza.

Hapa chini ni barua yake ya kujivua uanachama wa Chadema: Bonyeza hapa kuisoma kwa Ukubwa

 

Loading...

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment