The House of Favourite Newspapers

BREAKING NEWS: SHIGONGO AFIWA NA DADA YAKE MWANZA

Vaileth James Bukumbi enzi za uhai wake.

MKURUGENZI Mtendaji wa Global Group, Eric Shigongo,  amefiwa na dada yake, Vaileth James Bukumbi, usiku wa kuamkia leo, Juni 18, 2019 jijini Mwanza.

Wafanyakazi wote wa Global Group wanatoa pole kwa wakurugenzi wao, Eric Shigongo, Masha Bukumbi na Lydia Bukumbi kwa kufiwa na dada yao huyo mpendwa.

“Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe!”

Comments are closed.