The House of Favourite Newspapers

BREAKING NEWS: WABUNGE WATIMUA BUNGENI BAADA YA ALAMU – VIDEO

TAHARUKI imeibuka Bungeni huku Kikao cha Bunge kikivunjika kwa muda huku wabunge wakilazimika kukimbia kutoka ndani ya Ukumbi wa Bunge leo Jumanne, Februari 5, 2019 saa 5:02 asububi baada ya alamu ya Bunge kulia ikiashiria kuna tatizo.

 

Alamu hiyo imelia wakati Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba alipokuwa akijibu maswali bungeni hali iliyomfanya kukatisha majibu yake.

 

Alamu hiyo imezima baada ya dakika 8 na bado hakijaelezwa chanzo cha alamu hiyo ni nini. Endelea kufuatilia Global TV Online ili upate undani zaidi.

Comments are closed.