The House of Favourite Newspapers

Bunge Lapitisha Bajeti ya Serikali ya 2022/23 kwa Kura 356 sawa na Asilimia 94 – Video

0
Spika wa Bunge la Tanzania, Tulia Ackson.

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Julai 24, 2022 limeipitisha Bajeti ya Serikali ya mwaka 2022/23 kwa kura 356 sawa na asilimia 94 ya kura zote 379. Kura za Wabunge ambao hawakuamua ni 23. Idadi ya wabunge ambao hawakuwepo bungeni ni 11.

 

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply