×

Amani

FAHAMU CHANZO CHA MAUMIVU YA SHINGO

LEO tutaangazia maumivu ya shingo tatizo ambalo watu wengi nchini limewahi kuwapata katika maisha yao ya kila siku.  Tatizo hilo...

READ MORE

MRITHI WA MONDI NI HUYU ?

 MAMBO ni moto, huko Instagram kumechafuka watu wanamsaka kwa udi na uvumba mrithi wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwa mzazi...

READ MORE

IRENE ATAJA SIRI YA KUAMBIWA ANARINGA!

MWIGIZAJI wa filamu za Kibongo, Irene Paul amefunguka kuwa kitu ambacho hakipendi ni kujicha-nganya na watu ambao hawajui kiundani na...

READ MORE

WOLPER: MIMI BOSS LADY SIWEZI ‘KUCHAMBA

JACQUELINE Wolper ameibuka na kusema kuwa kwa sasa yeye ni bosi mwanamke ‘boss lady’ ndio maana ameshindwa hata kuwachamba wale...

READ MORE

UKWELI MAMA DIAMOND KUMTUSI MCHUNGAJI HUU HAPA!

DAR ES SALAAM: Mama wa staa mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Bi Sandra’ hana furaha...

READ MORE

VIKOBA VYAZUA BALAA DAR !

KIKUNDI cha Vicoba cha Upendo chenye masikani yake huko Kibugumo-Kigamboni jijini Dar kimejikuta katika sintofahamu kufuatia mweka hazina wake aliyefahamika...

READ MORE

UGONJWA WA KUHARISHA KWA MTOTO -2

Wiki iliyopita tuliwaeleza kirefu kuhusu ugonjwa wa kuhara kwa watoto, leo tunamalizia makala hayo kwa kueleza dalili zake na matibabu...

READ MORE

KAPO YA MOBETO, TANASHA MJADALA KAMA WOTE!

LICHA ya kudaiwa kuwa ni bwana wa mtu lakini kapo ya Mwanamitindo Hamisa Mobeto na huyo mtu wa mtu wameibua...

READ MORE

ODAMA: MUDA WA KUOLEWA BADO

LICHA ya umri kuonekana kuanza kumtupa mkono, muigizaji mkongwe Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa, hababaishwi na ndoa ambazo...

READ MORE

STEVE NYERERE ATOA MPYA KWA ODEMBA

UKISIKIA watu wanasema ametoa kali, basi lazima tukio liwe la kushangaza. Hebu sikia, msanii wa filamu Bongo, Steven Mengere ‘Steve...

READ MORE

DIAMOND, HARMONIZE YAWAKUTA KENYA!

DAR ES SALAAM: Kimenuka! Wanamuziki wawili wakubwa wa Afro-Pop kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond...

READ MORE

TUZIELEWEJE NDOA ZA LULU, TANASHA?

NDOA ni mpango wa Mungu. Ndoa inaleta heshima fulani katika jamii. Unaposikia fulani ni mume au mke wa mtu huwa...

READ MORE

ZARI NA MADONGO YA GIZANI

Mzazi mwenziye staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ amedaiwa kutupa madongo ya gizani...

READ MORE

UGONJWA WA KUHARISHA KWA MTOTO

KUHARISHA kwa watoto ni tatizo linaloshika nafasi ya pili duniani kwa kusababisha vifo miongoni mwa watoto chini ya miaka mitano....

READ MORE

HUKU JPM AKIIBUA ISHU YA MO MKURUGENZI DAR ATEKWA SAA 5,700

INATISHA! Wale watu wasiojulikana wanadaiwa kumteka mkurugenzi na mmoja wa wamiliki wa kampuni maarufu ya kusambaza vifaa tiba jijini Dar...

READ MORE

SAKATA LA DINI YA WANAYE… ZARI KAYAIBUA YALIYOLALA

DAR ES SALAAM: Ukifanya jambo na kulisahau usifikiri watu wote wasahaulifu kama wewe; kuna wakati watakukumbusha!     Zarinah Hassan ‘Zari’...

READ MORE

JINSI YA KUKABILIANA NA FANGASI WA MIGUUNI

MARA nyingi ngozi ya miguuni hasa katika ngozi ngumu ya nyayo na katikati ya vidole, ndizo zinazopatwa sana na vimelea...

READ MORE

CHUNGA SANA, MITANDAO INAWEZA KUKUINGIZA CHAKA!

NI kona ya Boyfriend and Girlfriend kwa ajili ya vijana ambao bado wapowapo sana wakiha-ngaika huku na kule kutafuta mwenzi...

READ MORE

TAHARUKI MAKABURINI DAR!

DAR ES SALAAM: Taharuki ya aina yake imeibuka hivi karibuni maeneo Kiwalani jijini Dar ambapo baadhi ya wananchi wamedai kuwa,...

READ MORE

SABABU ZA WANAWAKE KUTOKWA NA UCHAFU SEHEMU ZA SIRI

KUNA tatizo linalowasumbua wanawake wengi hapa nchini na duniani kwa ujumla, hilo ni tatizo la kutokwa na uchafu unaotoa harufu...

READ MORE

ESMA AWA MBOGO ZARI KUTELEKEZEWA WATOTO!

Esma Khan ambaye ni dada wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amegeuka mbogo kwelikweli baada ya mwanahabari wetu...

READ MORE

UWOYA NOMA AWAKALISHA WEMA, AUNT

HII ni noma! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya staa wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya kufanya kufuru ya aina yake...

READ MORE

FAHAMU TATIZO HATARI KWA WAJAWAZITO

MIMBA kutungwa nje ya mfuko wa uzazi (uterus) ni tatizo hatari ambalo linawaathiri wanawake wengi.  Kwa kawaida, mimba zinazotungwa nje ya...

READ MORE

LULU DIVA: HAKUNA MWANAUME KAMA IDRIS

MSANII wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ juzikati amefunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika kuwa, hakuna mwanaume...

READ MORE

MADAI YA KUVUTA BANGI, KUONDOKA WCB…. HARMONIZE ABANWA!

DAR ES SALAAM: Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuagiza staa wa Bongo Fleva kutoka...

READ MORE

POSHY ATOA SIRI YA KUOGOPWA NA WANAUME

MREMBO ambaye ametengeza jina lake kupitia umbo lake ‘matata’, Jacqueline Obed ‘Poshy Queen’ amefunguka kuwa, moja ya silaha kubwa ya...

READ MORE

MAISHA YAKE YA SASA… DAKTARI AMUONYA ZARI!

DAR ES SALAAM: Kwani anateseka? Kufuatia tetesi za mitandaoni kuwa mzazi mwenza wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

MUME AMFANYIA MKEWE, BINTIYE KITU MBAYA

DAR ES SALAAM: WANANDOA kugombana ni jambo la kawaida, lakini inapofikia hatua ya kuharibu samani mbalimbali za familia na kufanya...

READ MORE

KAJALA SASA AUCHUKIA MWILI WAKE

MREMBO kutoka Bongo Movies, Kajala Masanja amefunguka kuwa kati ya vitu ambavyo anavichukia kwa sasa ni pamoja na mwili wake...

READ MORE

TANASHA AMTENGANISHA DIAMOND, MAMA’KE

DAR ES SALAAM: Ama kweli mapenzi yana nguvu zaidi ya greda! Hatimaye mchumba wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

MVUVI NUSURA ATOLEWE ROHO NA KIBOKO

KIGOMA: Inatisha! Ndiyo neno unaloweza kusema; ni kufuatia kushambuliwa na kiboko na kunusurika kifo kwa mtu mmoja anayejulikana kwa jina...

READ MORE

MONDI FANYA YOTE LAKINI… MHESHIMU SANA WEMA

MOJA kati ya mtihani mkubwa ambao watu wengi huwa wanafeli duniani ni ule wa kupata mafanikio na kuwakumbuka wale ambao...

READ MORE

TID, MZAZI MWENZIYE PACHIMBIKA!

DAR ES SALAAM: Mambo siyo poa kwa wazazi wa binti aitwaye Tania, Khaleed Mohamed ‘TID’aliye mkongwe wa muziki wa Bongo...

READ MORE

KWA WALICHOKIFANYA CHINA… NDOA YA LULU UTATA TUPU!

DAR ES SALAAM: Wakati wakiwa nchini China msimu wa Sikukuu za Krismasi na mwaka mpya kwa ajili ya kula bata...

READ MORE

OFM YA MFUNGIA K AZI ‘DOGO’ WA MIL. 180

DAR ES SALAAM: TUHUMA za uhujumu uchumi zinazomkabili ‘bwa’mdogo’ Mustapha Kambangwa anayedaiwa kuiibia Serikali ya Rais John Pombe Magufuli ‘JPM’,...

READ MORE

PENZI LA MONDI, TANASHA LAMTOA POVU KIM NANA

MREMBO ambaye anadaiwa kumwagwa na mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Lilian Kessy ‘Kim Nana’ ameibuka na kulitolea povu...

READ MORE

JINSI YA KUJIEPUSHA NA MIGOGORO

KWENYE ndoa hizi ambazo wengi hutamani kuziingia kuna changamoto nyingi. Hii inatokana na jinsi ambavyo wanandoa wenyewe wanashindwa kubaini matatizo...

READ MORE

A-Z MZEE YUSUF ALIVYOVAMIWA NA MAJAMBAZI

DAR ES SALAAM: Mwaka umeanza vibaya kwake! Unaweza kusema maneno hayo baada ya aliyekuwa mwimbaji na kiongozi wa zamani wa...

READ MORE

FIGA ZA MASTAA MITANDAONI NI FEKI AU HALISI ?

UKIONA mrembo kwenye mitandao ya kijamii ameumbika sana utadhani kachorwa unapaswa kuwa makini, kuna baadhi wanajitengenezea maumbo feki. Kuna program...

READ MORE

BAADA YA KUFUNGIWA…DIAMOND, TANASHA KIMENUKA

DAR ES SALAAM: Kimenuka ile mbaya! Lile penzi shatashata lililotarajiwa kuzaa ndoa Februari 14, mwakani kati ya staa wa Bongo...

READ MORE