×

Breaking News

A-Z Oparesheni Ya Mauaji Ya Gaidi Osama Bin Laden 2011

Osama Bin Laden enzi za uhai wake. Mwaka 2001, mwezi desemba katika milima ta Tora Bora baada ya mapambano ya...

READ MORE

Mwinyi Achangisha Shilingi Bilioni Moja Dar Za Waathirika Kagera

Rais  Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akizungumza jambo baada ya matembezi hayo. Baadhi ya wadau wakikabidhi mfano...

READ MORE

First XI: Simba vs Azam Kesho hii hapa

Wachezaji wa timu ya Azam wakifanya mazoezi. Nicodemus Jonas na Said Ally KESHO Jumamosi Simba itakuwa mgeni wa Azam katika mchezo...

READ MORE

Zombe na Wenzake Washinda Kesi, Christopher Bageni Kunyongwa

Aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Kinondoni,  SP Christopher Bageni (kushoto) baada ya kuhukumiwa kunyongwa akiagana na aliyekuwa Mkuu...

READ MORE

Video: Serikali Yatoa Tamko Madereva Kutekwa DRC

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mindi Kasiga akizungumza...

READ MORE

Madereva Kutoka Tanzania Watekwa Nchini DRC

Baadhi ya magari yanayodaiwa kuchomwa moto. Chama cha Wamiliki wa Magari ya Mizigo nchini Tanzania (TATOA) kinaripoti kwamba, waasi wa Mai...

READ MORE

Ester Kiama Atajwa Kujiuza, ang’aka (Video)

Muigizaji mrembo anayepanda kwa kasi kwenye gemu la filamu Bongo, Ester Kiama akifanya mahojiano na Boniface Ngumije (kushoto). Na Boniface Ngumije/Amani...

READ MORE

Mama Mzazi Asimulia Bintiye Alivyozikwa Akiwa Hai (Video ipo hapa)

Richard Bukos na Issa Mnally,  Risasi MCHANGANYIKO PWANI: Huu ni unyama asilimia mia! Ndivyo alivyoanza kusimulia mama wa marehemu Amina...

READ MORE

Prof. Ndulu: Pato la Taifa Limeongezeka

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Prof. Benno Ndulu akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Baadhi ya wanahabari wakifuatilia mkutano huo....

READ MORE

Vodacom Yaendelea Kufanikisha Wiki Ya Usalama Barabarani

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamanda Mohammed Mpinga (kulia) akikabidhiwa stika na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa...

READ MORE

Wakurugenzi Manispaa, Miji Na Halmashuri Waapishwa Dodoma

Baadhi ya wakurugenzi wa halmashauri za wilaya wakila kiapo wakati  kukabidhiwa majukumu yao katika ofisi za Waziri wa Nchi, Ofisi...

READ MORE

Ummy Mwalimu: Marufuku Kuozesha Waliomaliza La 7

SERIKALI imewaonya wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kutowaozesha watoto wote wa kike waliohitimu darasa la saba mwaka huu wakati...

READ MORE

Tundu Lissu : Prof. Lipumba Hana Hoja, Anawavuruga CUF

MBUNGE wa Singida Mashariki ambaye pia ni Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni,Tundu Lissu, amesema aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama...

READ MORE

Msafara wa Makamu wa Rais Wapata Ajali Mtwara

Msafara wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Mama Samia Suluhu Hassan ambao ulikuwa unaelekea Wilayani Tandahimba...

READ MORE

Breaking News: Evans Aveva akamatwa na Takukuru, pesa za Okwi zatajwa

Rais wa Klaabu ya Simba, Evans Aveva anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru). Taarifa zinaelezwa...

READ MORE

Basata yashusha rungu kwa Nay wa Mitego

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki (Ney wa Mitego). Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia kwa kipindi...

READ MORE

Hukumu Ya Koffi Olomide Ni Leo

Mwanamuziki nguli kutoka nchini Congo Koffi Olomide. HUKUMU ya mwanamuziki nguli kutoka nchini Congo Koffi Olomide itatolewa leo jumatano katika...

READ MORE

Askari Aliyemuua Mwangosi Afungwa Jela Miaka 15

Askari wa kikosi cha  kutuliza ghasia (FFU) mwenye  namba G .2573 Pacificius Cleophace Simon (27)   MAHAKAMA  kuu ya Tanzania ...

READ MORE

JPM Awateua Mwigulu Kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Tizeba Waziri wa Kilimo

Waziri Mpya wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba. RAIS Dkt. John Pombe Magufuli amemtangaza Mwigulu Lameck Nchemba kuwa...

READ MORE

Wabunge wa Upinzani Watoka Nje Wakipinga Naibu Spika Kuendesha Bunge

Wabunge wote wa vyama vya upinzani leo tena  wametoka nje kupinga Naibu Spika wa Bunge  Dk. Tulia Ackson kuendesha vikao...

READ MORE

Kumbe, Kabwe Afia Alipofia Adam Kuambiana

Marehemu Wilson Kabwe. MKURUGENZI wa zamani wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe aliyesimamishwa kazi na Rais John Magufuli,...

READ MORE

Dkt. Shein Atangaza Baraza Lake la Mawaziri

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dkt. Ali Mohamed Shein RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dkt. Ali Mohamed...

READ MORE

Ndanda Kosovo Afariki Dunia

Ndanda Kosovo enzi za uhai wake. MWIMBAJI nguli wa Muziki wa Dansi hapa nchini kutokea Kongo, Ndanda Kosovo amefariki dunia...

READ MORE

Rushwa: Takukuru Imewapandisha Kortini Wabunge Hawa Leo

Kutoka kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola, Mbunge wa Mvomero Mh. Sadiq Murad pamoja na Mbunge...

READ MORE

Basi la Super Sami Lapata Ajali Tabora

Aajali ilivyotokea. Ng’ombe wakiwa wamkufa baada ya kugongwa na basi hilo. Basi lapinduka na kujeruhi watu Igunga WATU kadhaa wajeruhiwa...

READ MORE

Tuhuma za Ufisadi, Zitto, Bashe Wajiuzulu Ujumbe Kamati ya Bunge

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, ameishutumu Kamati ya Bunge yaHuduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna...

READ MORE

Isaya Mwita wa Chadema ndiye Meya wa Dar

Meya Mteule wa jiji la Dar es salaam  Issaya Mwita Chalres kutoka kata ya vijimbwweni (UKAWA) Fomu ya uthibitisho wa...

READ MORE

Hoteli ya kigogo NSSF yazua gumzo

Meneja wa Miradi Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Injinia John Msemo. Stori: Makongoro Oging’ na Issa Mnally, UWAZI...

READ MORE

JPM atii agizo la Makonda, ahakiki silaha zake Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kwa makini zoezi la uhakiki wa silaha...

READ MORE

Shein atangazwa mshindi wa urais Zanzibar

Rais wa Zanzibar, Dkt Ali Mohammed Shein. Matokeo kamili kama yalivyotangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), yanaonesha licha ya Chama...

READ MORE

Maajabu ya Mungu… Meja Jenerali Afariki, Afufuka!

Meja Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Benjamin Noah Msuya (enzi akiwa kazini). Oscar Ndauka, RISASI JUMAMOSI DAR...

READ MORE