×

Burudani

WAYNE ATIMIZA MIAKA 36, AACHIA NGOMA YA ‘THA CARTER V’

RAPA Mmarekani, Lil Wayne ameadhimisha ‘bethidei’ yake ya mwaka wa 36 na kuachia ngoma yake ya  Tha Carter V, katika hafla iliyojaa...

READ MORE

SNOOP DOGG APATA MJUKUU WA KIKE

MKONGWE wa Muziki wa Hip Hop kutoka Marekani, Snoop Dogg amepata mjukuu wa kike akiwa na umri wa miaka 46,...

READ MORE

Hatimaye Sister Fey Afunga Ndoa na Kiben Ten Chake

MSANII Sister Fey ambae hivi karibuni alikamatwa na kuwekwa rumande kwa amri ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na...

READ MORE

CHRIS BROWN, RITA ORA SIO SIRI TENA

BAADA ya kukaa kwa muda mrefu bila kumuweka hadharani mwanamke anayetoka naye kimapenzi, mkali wa muziki wa R&B nchini Marekani,...

READ MORE

SIMBA YAHAMISHIA MAZOEZI GYMCANA – VIDEO

KLABU ya Simba mapema leo imeamua kuhamishia mazoezi yake kwenye Uwanja wa GYMCANA Posta jijini Dar es Salaam, ikiwa ni...

READ MORE

Lady Jaydee Ataka Kujiua

MASHABIKI wamekuwa na maswali mengi ni kitu gani anapitia Lady Jaydee kwa sasa kwenye maisha yake baada ya kuandika ujumbe...

READ MORE

JUICE KINGDOM YAZIDI KUKUBALIKA MITAANI!

SIKU chache baada ya kuzinduliwa vinywaji vya Juice Kingdom tawi la Tabata-Segerea, taarifa ni kwamba vinywaji hivyo vinazidi kukubalika kwenye...

READ MORE

SAA TISA USIKU KITANDANI MWANGU

Hii ni kolamu ya Gazeti la Amani la Global Publishers ambalo linatoka kila Alhamisi. Lengo la kolamu huu ni kufikisha...

READ MORE

RAYVANNY: MGAHAWA WA JUISI ULINIFANYA NIMPATE FAYMA

MPENZI msomaji tunazidi kutiririka katika safu yetu hii yenye kuvutia, ambapo wiki iliyopita tulikuwa na mwanamuziki wa kizazi kipya Bongo,...

READ MORE

SEPTEMBA CHUNGU KWA MASTAA HAWA

FEBRUARI, mwaka jana, ilikuwa chungu kwa mastaa wengi wa filamu na Bongo Fleva baada ya kutajwa na Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

BEN POL ATOBOA SIRI YAKE NA MONALISA

STAA wa Muziki wa R&B, Benard Paul ‘Ben Pol’ ametoboa siri yake na mkongwe wa filamu Bongo, Yvonne Cherrie ‘Monalisa’...

READ MORE

WEMA AANDIKA HISTORIA

 KUFUATIA maandalizi baab’kubwa ya shughuli yake ya kukata na shoka ya kuzaliwa (birthday), staa grade one Bongo, Wema Isaac Sepetu...

READ MORE

GAZETI SPOTI XTRA ALHAMISI LAZIDI KUTIKISA

KAMA kawaida,  leo tena timu ya wafanyakazi wa Global Publishers, wakiwemo wahariri wa magazeti ya kampuni hiyo, wameingia  mitaani kuendelea...

READ MORE

VAN VICKER Adata kwa WEMA, Amtaja KANUMBA! – Video

STAA wa filamu nchini Ghana anayefanyia kazi zake Nollywood, Van Vicker, amewasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...

READ MORE

WAMEKUZA ‘VISU’ BILA WANAUME!

WATU wengi huamini kwamba malezi bora ya watoto hutoka kwa wazazi wote wawili yaani baba na mama. Mtoto anapolelewa na...

READ MORE

EXCLUSIVE: Maisha ya Zabibu Kiba na Abdi Banda Sauzi – Video

Zabibu anaishi Polokwane, maisha yake yatakuwa hapa kwa kuwa mumewe, Abdi Banda anafanya kazi hapa. Anaichezea Baroka FC inayoshiriki Ligi...

READ MORE

WEMA SEPETU Alivyomrukia VAN VICKER Airport DAR- Video

MSANII mkubwa wa filamu nchini Ghana, Van Vicker, amewasili nchini Tanzania leo saa 10 alfajiri na kupokelewa na mwenyeji wake...

READ MORE

BUSHOKE KUMFANYIA SAPRAIZ NYOSH EL SADAAT DAR LIVE

PATAKUWA hapatoshi! Wakati mashabiki wengi wa Muziki wa Dansi wakiwa tayari kusubiri utambulisho wa Bendi ya Bogos, msanii wa Muziki...

READ MORE

KIKI HIZI DIAMOND THIS IS TOO MUCH

SITAKI kumuongelea sana Rajabu Abdulkhali ‘Harmonize’ anayewakilisha Wasafi Classic Baby (WCB) aliyetoka kimuziki 2016 na Wimbo wa Aiyola kisha Bado...

READ MORE

RPC MBEYA: UWOYA TUMEMTIA MBARONI

BAADA ya kusambaa kwa taarifa ya kukamatwa kwa staa wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya na wenzake, Kamanda wa...

READ MORE

Monalisa Aipendezesha ‘Ntala Nawe’ Ya Ben Pol – Video Mpya

MKALI wa muziki wa RNB Bongo, Bernard Paul ‘Ben Pol’, ameachia dude jipya akiwa na msanii wa filamu za Kibongo,...

READ MORE

WALIPENDANA, WAKAFURAHIANA SASA WAMEBAKI NA MAKOVU

MAPENZI ni kikohozi kukificha huwezi! Na siku zote unapopenda unaweza kufanya lolote ili tu umfurahishe yule uliyenaye aone tu thamani...

READ MORE

CHILDISH GAMBINO AUMIA MGUU, AAHIRISHA SHOO ZAKE

Childish Gambino, nimwimbaji, mwigizaji na mchekeshaji maarufu nchini Marekani, ameumia mguu na hivyo kuahirisha ziara yake aliyokuwa aifanye Leo katika kituo...

READ MORE

UNDANI SIKU 8 ZA SOUDY BROWN, MAUA SAMA LUPANGO

 LICHA ya kuachiwa kwa dhamana, Mtangazaji maarufu wa Kipindi cha Shilawadu, Soud Brown na msanii wa Bongo Fleva, Maua Sama...

READ MORE

NANDY APATA MPENZI MWINGINE

MSANII wa Bongo Fleva ambaye anafanya vizuri na ngoma yake ya Aibu, Faustine Charles ‘Nandy’ amefunguka kwamba kwa sasa hana...

READ MORE

TUNDA AMFUNGUKIA ALIYEDAIWA BWANA’KE

BAADA ya picha akiwa anazu-ngumza na mwanaume kwenye Mtandao wa Snapchat kusambaa mitandaoni na kudaiwa kuwa ndiye bwana’ke mpya, video...

READ MORE

TUZO ZA SINEMA ZETU 2019 ZAZINDULIWA RASMI

HATIMAYE Kituo cha Azam TV kupitia chaneli yake ya Sinema Zetu, leo Jumanne imezindua rasmi msimu mpya wa tuzo zao...

READ MORE

Waanzilishi wa Instagram Wajiondoa

WAANZILISHI wa mtandao wa Instagram wametangaza wiki chache zijazo watajiondoa kabisa kujishughulisha na kampuni hiyo na kubaki kama watumiaji wengine...

READ MORE

Modric Mchezaji Bora wa Fifa 2018, Awashinda Ronaldo, Salah

Luka Modric raia wa Croatia anayecheza soka na klabu ya Hispania ya Real Madrid, amebeba tuzo ya Mchezaji Bora wa...

READ MORE

MAMISI KUVAMIA GEMU LA MUZIKI SABABU HIZI !

KWA miaka ya hivi karibuni tumekuwa tukiona warembo wengi wa kike wakijiingiza katika kuuza nyago ‘video queen’ kwenye video za...

READ MORE

DAYNA AJUTA SAFARI ZA ULAYA

 HITMAKER wa Ngoma ya Salama, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ amesema kuwa, anajuta kusafiri Ulaya kwani kumemfanya kurudi upya kwenye gemu...

READ MORE

KUJIFICHA KWAMPA HESHIMA BATULI

STAA wa sinema za Kibongo mwenye mvuto mbele ya kamera, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ amevunja ukimya kwamba, kutoonekana kwake muda mrefu...

READ MORE

STEVE: TUUNGANE KUWAOMBEA WENZETU

MWIGIZAJI na komediani maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amewataka wasanii wote kwa jumla bila kujali wa muziki au filamu...

READ MORE

DIANA KIMARI ADAIWA KUKACHA KANISA!

UBUYU ukimpa asiye na meno, kamwe hawezi kumung’unya, raha yake mpe mwenye meno yote 32! Ubuyu uliotua kwenye meza ya...

READ MORE

SIRI WEMA KUMFUNIKA MOBETO YAFICHUKA

BAADA ya kuwepo kwa mvutano wa nani anastahili kuwa mrembo bora wa Tanzania (Tanzania Sweetheart) kati ya Hamisa Mobeto na...

READ MORE

ZABIBU KIBA Afunguka Alivyoumshuhudia Mumewe Banda Uwanjani – VIDEO

MKE wa Abdi Banda ambaye ni dada wa Staa wa Bongo Fleva, Alikiba, Zabibu Kiba amefunguka baada ya kumshuhudia mumewe...

READ MORE

MAMA AWEKA BARAKA WIMBO WA MOBETO

MAMA wa mwanamitindo ambaye kwa sasa amejiingiza kwenye uimbaji wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga amefunguka kuwa ameamua kuigiza...

READ MORE

Diamond Atuma Ujumbe Mzito Kwa Zari

  MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul ‘Diamond Plutnumz’, usiku wa kuamkia leo amemwandikia mzazi mwenzie,  Zarinah Hassan...

READ MORE

DC JOKATE Atoa ‘MIL 1’ Kuchangia Majeruhi MV NYERERE – Video

 Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, amelazimika kuahirisha harambee ya kampeni yake ya ‘TOKOMEZA ZERO’ katika wilaya ya...

READ MORE

EXCLUSIVE: MOBETO Afunguka Kumroga DIAMOND – Video

Mwanamitindo maarufu Bongo ambaye kwa sasa amejitumbukiza kwenye muziki, Hamisa Mobeto, amepiga stori na Global TV na kufunguka kuhusiana na...

READ MORE