×

Burudani

Gigy Money Amporomoshea Matusi Zari; “Nikimtaka Diamond Nampata”

MSANII wa Bongo Fleva, Model, video vixen na mtangazaji wa radio, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amemshushua mitusi wakati akijibu maneno...

READ MORE

OFM YAMNASA DARASA

Shariff Thabeet ‘DarassaDAR ES SALAAM: Baada ya Kikosi Fichua Maovu (OFM) kutumia muda mrefu kumsaka, hatimaye msanii wa Bongo Fleva...

READ MORE

TEKNO, MR. FLAVOUR WANUSURIKA KIFO

  WAKALI kunako muziki nchini Nigeria, Tekno, Mr. Flavour na mchekeshaji Gordon wamenusurika kifo baada ya ndege waliyokuwa wamepanda kupata...

READ MORE

HALI YA DIMPOZ NI DARASA KWA WASANII

MARA nyingi matatizo huwaunganisha watu na kuwafanya kuwa kitu kimoja, hata kama katikati yao kulikuwa na tofauti kubwa kiasi gani...

READ MORE

VERA SIDIKA AIBUA JAMAA MPYA!

ZIKIWA zimepita wiki kadhaa tangu drama ya muuza nyago maarufu nchini Kenya, Vera Sidika kudaiwa kutemana na bwana’ke ambaye pia...

READ MORE

WAREMBO WATAKAOTIKISA MISS TANZANIA 2018 NI SHIDA

WAREMBO ambao wanashiriki katika Shindano la Miss Tanzania 2018, leo Alhamisi, Agosti 30, wametembelea makao makuu ya ofisi za Makampuni...

READ MORE

MWAKYEMBE Afanya Maandalizi, Kuwakutanisha DIAMOND, ALIKIBA

DAR ES SALAAM: Kufuatia madai ya muda mrefu ya kuwepo kwa bifu kubwa kati ya mastaa wakubwa wa muziki wa...

READ MORE

Makamu Rais wa FIFA Ahukumiwa Jela Miaka Tisa

MAKAMU rais wa zamani wa shirikisho la soka duniani (FIFA) amehukumiwa kifungo cha miaka tisa nchini Marekani ikiwa ni matokeo...

READ MORE

KWA TABIA HIZI ZA…., DIAMOND KAMA MSHUA WAKE

WASWAHILI wanasema siku zote maji hufuata mkondo! Katika maisha ya kila siku, wanadamu tumekuwa tukiutumia msemo huo kwa kufananisha maisha...

READ MORE

ZARI, PETER WA P SQUARE MAMBO NI MOTO

DAR ES SALAAM: Mambo ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mjasiriamali Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kudaiwa kuwa...

READ MORE

KILICHOTOKEA MAHAFALI MTOTO WA MASOGANGE

INASIKITISHA sana! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya hivi karibuni simanzi kubwa kutawala katika mahafali ya mtoto wa aliyekuwa video queen...

READ MORE

MBOTO: NINGEMUOA RIYAMA NINGEPATA TABU SANA !

MSANII wa filamu za Kibongo, Haji Salum ‘Mboto’ amesema endapo angemuoa msanii mwenzake Riyama Ally ambaye wamekuwa wakinoga sana kwenye...

READ MORE

Diamond, Bob Junior Wamaliza Bifu Lao, Collabo Mpya Soon – Video

MKALI wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amekutana na aliyekuwa producer wake wa ngoma zake mbalimbali tangu kitambo hocho, Bob Junior...

READ MORE

TWANGA KUFANYA TAMASHA KUBWA KUFIKISHA MIAKA 20

Bendi ya African Stars Twanga Pepeta leo imefanya mkutano na wanahabari kuzungumzia tamasha lake la miaka 20 ya bendi hiyo....

READ MORE

Cristiano Ronaldo Jr Ajiunga na Kikosi cha Watoto cha Juventus

Cristiano Ronaldo Junior, mtoto wa mwanasoka nyota duniani, Ronaldo, anayeichezea Juventus, amejiunga na kikosi cha watoto walio chini ya umri...

READ MORE

WOLPER AOKOKA, AFUNGUKA KILICHOMKIMBIZA BONGO!

STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper hivi karibuni ametangaza kuokoka na kusema kwamba kwa sasa anampenda Yesu na anamtumikia huku...

READ MORE

PENZI LA UWOYA LAMVURUGIA KALALA JUNIOR

  UBUYU mpya mjini ni kwamba mwanamama kiwango kwenye kiwanda cha filamu Bongo, Irene Uwoya anamzimia usipime mkali wa miondoko...

READ MORE

UICHOKIJUA KUHUSU NIKKI WA PILI KUWANIA URAIS WA TANZANIA

Mwanamuziki wa Hip Hop Bongo kutoka Kampuni ya Weusi, Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’ hivi karibuni amezua gumzo baada ya...

READ MORE

STEVE NYERERE ATANGAZA NDOA NA WELLU SENGO!

UKISIKIA mtoto anasema hadithi… hadithiii na wengine kuitikia ‘hadithi njoo utamu kolea’, basi ujue simulizi inafuata. Sharti lake ni kukaa...

READ MORE

MPENZI WA MBASHA ACHUMBIWA

ALIYEWAHI kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki wa Injili, Emmanuel Mbasha ambaye pia ni mshiriki wa Miss Tanzania 2008,...

READ MORE

GIGY MONEY: ANACHOKITAFUTA ATAKIPATA

IJUMAA Sexiest Girl 2015 ndiyo iliyonifanya kufahamiana na muuza nyago kwenye video za Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ kwani...

READ MORE

MAMA KANUMBA: SETH ALIVISHINDWA VIATU VYA KANUMBA

MAMA mzazi wa aliyekuwa msanii wa filamu za Bongo, marehemu Steven Kanumba, Bi. Frola Mtegoa ‘mama Kanumba’ amesema baada ya...

READ MORE

MBOSSO: NILITAKA KUZIKWA NIKIWA HAI

  HITMAKER wa Ngoma ya Nadekezwa ambaye pia ni Memba wa Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yussufu ‘Mbosso’, amefunguka kuwa...

READ MORE

SISTER FAY AHOFIA KUPORWA BENTEN WAKE

MWANADADA Faidha Omari ‘Sister Fay’, ambaye kwa sasa anatengeneza vichwa vya habari kutokana na uhusiano na ‘benten’ wake aitwaye Hollystar,...

READ MORE

DIAMOND AMLIZA MAMA MOBETO!

USHUHUDA alioutoa hivi karibuni mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuhusu maisha yake, umekuwa mwiba mkali kwa mama...

READ MORE

DUMA: BONGO MUVI YA FAIDA INAKUJA

MSANII wa filamu za Kibongo, Daudi Michael ‘Duma’ ambaye hivi karibuni amefanya uzinduzi wa filamu yake ya Nipe Changu amefunguka...

READ MORE

SO SMART! ALICHOKISEMA VEE MONEY KWA WATOTO YATIMA

UKIZUNGUMZIA wanadada wanaofanya vizuri kwenye Bongo Fleva ni Vanessa Mdee ‘Vee Money’. Amefanya mambo mengi kwenye gemu la Bongo Fleva.  Vee...

READ MORE

Super Nyamwela: Siachi Kunengua, Mwili Unaruhusu

MNENGUAJI wa kitambo katika Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Musa Hassan ‘Super Nyamwela’ amesema kuwa, pamoja na kudumu...

READ MORE

Wolper Atamani Kumpa Penzi Rais

STAA anayejua kupigilia pamba kali ndani ya Bongo Muvi, Jacqueline Wolper Massawe amefunguka kuwa, anatamani kama ni kutoa penzi lake,...

READ MORE

KISA DENI LA NYWELE, AMBER LULU AFUNGIWA SALUNI

UBUYU nao siku zote una staili yake ya kuula. Ubuyu mwingine unauacha tu mdomoni kisha unatema mbegu huku mwingine unamun’gunya...

READ MORE

KUAPISHWA KWA RAIS WA ZIMBABWE MJINI HARARE LEO -VIDEO

 Sherehe za kuapishwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe.Emmerson Mnangagwa zinazofanyika leo tarehe 26 Agosti, 2018 katika uwanja...

READ MORE

Video: MAFUFU Akielezea Alivyokataliwa Ukweni -Video

 Muigizaji Jimmy Mafufu jana amefunga pingu za maisha na aliyekuwa mpenzi wake Upendo Meja katika Kanisa la AKUZAMU lililopo...

READ MORE

HARUSI YA MAFUFU YAACHA HISTORIA BONGO MUVI (Picha+Video)

Mwigizaji Jimmy Mafufu akiwa na mkewe Upendo Meja baada ya kufika kwenye Ukumbi wa Alfa. .Wakikata keki. Mafufu akimpiga busu...

READ MORE

HARUSI YA MAFUFU: Steve Nyerere Amjaza Pesa Ukumbini! -Video

Msanii wa Bongo movies, Steve Nyerere, jana amemfanyia kufuru msanii mwenziye wa filamu za Kibongo ambaye pia ni Mwenyekiti Msaidizi...

READ MORE

NDOA YA JIMMY MAFUFU NA MKEWE ILIVYONOGA KANISANI

Msanii wa filamu za Kibongo, Jimmy Mafufu leo amefunga pingu za maisha na aliyekuwa mpenzi wake Upendo Meja katika Kanisa...

READ MORE

MC GaraB: Alikutana na Mkewe Ukumbini – Video

 Mshereshaji wa sherehe, Godfrey Rugarabamu ‘MC Gara B’ amefanya mahojiano na Global TV Online kuanzia elimu yake, alianzaje kufanya kazi...

READ MORE

IDRIS Awatembeza Rammy Gallis na Shilole Kula Bata-Video

 MCHEKESHAJI maarufu Bongo na Balozi wa kampeni ya M-Pesa, Idris Sultan, amewatembeza staa wa sinema na Bongo Fleva, Zuwena...

READ MORE

Kisa Video Yake na Diamond, Wema Awapa Makavu Akina…. – Video

MALKIA wa Bongo Movie, Wema Sepetu amewaponda wanaofuatilia maisha yake mara baada ya kupiga kipande cha video akiwa na X...

READ MORE

Kutoka IG: Sister Fey Ateuliwa Kuwa ‘Mkuu wa Wilaya’ – VIDEO

Mwanamuziki asiyeishiwa vituko amnbaye kwa sasa anachukua nafasi kubwa katika vichwa vya habari nchini, Sister Fey ametoa kali ya mwaka...

READ MORE