×

Burudani

Zantel Yadhamini Tamasha La Wanachuo La ‘Chem Chem Bonfire’ Jijini Dar

TAMASHA lililoratibiwa na Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel lilopewa jina la ‘Zantel Chem Chem Bonfire’ limefanyika katika ukumbi wa New...

READ MORE

Faiza Ataja Sababu Za Kumuanika Mzazi Mwenziye

  MSANII wa filamu Bongo, Faiza Ally amesema kuwa, japo mwanzoni aligoma kumuanika baba mtoto wake lakini siku chache zilizopita...

READ MORE

Sasha: Naolewa Kutoa Nuksi

MWANADADA mwenye mvuto wa aina yake Bongo, Sasha Kassim ambaye anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwaka kesho amesema kuwa, ameamua...

READ MORE

Pretty Afunguka Madai Ya Kutelekeza Ndoa!

MSANII wa filamu Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ amefungukia madai ya kuwa, kabla ya kwenda India ‘kudanga’ aliolewa na kuitelekeza...

READ MORE

Dk. Shika Kuongea na Wananchi Dar Live Usiku Wa Itapendeza

DK Louis Shika, ‘bilionea’ aliyejizolea umaarufu baada ya kuibuka mshindi katika mnada wa nyumba za mfanyabiashara maarufu, Said Lugumi, anatarajiwa...

READ MORE

Wema Atupia Ujumbe Mzito Instagram wa Kifo Chake

STAA wa Bongo Muvi, Wema Sepetu,  kupitia akaunti yake ya Instagram leo ametupia ujumbe mzito juu maisha yake ya sasa...

READ MORE

DJ Supreme la Rock wa Marekani Kuangusha Bonge la Shoo, Dar

MKALI wa burudani wa Kimataifa kutoka Seattle, Washington, Marekani, Dj Supreme anatarajiwa kulitikisa Jiji la Dar es Salaam wikiendi hii...

READ MORE

Lulu Diva Anaswa na Rich Mavoko Usiku Mnene ‘Wakiliwazana’

  MWANAMUZIKI Lulu Diva amenaswa na msanii mwenziye Rich Mavoko wakiwa katika pozi za kimahaba usiku mnene katika viwanja vya...

READ MORE

Mama Wema Atua Nairobi Kumuona Tundu Lissu

Mama Mzazi wa msanii wa filamu Bongo na Mkurugenzi wa Endless Fame, Wema Sepetu, Miriam ameenda Nairobi nchini Kenya kumjulia...

READ MORE

Gigy Unene Ulikuwa Ni Wa Utoto

  MWANAMUZIKI na muuza sura kwenye video mbalimbali za wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameeleza...

READ MORE

Zari Aliamsha Dude Kwa Mzazi Mwenziye

Mipasho! Mwanamitindo mjasiriamali, Zarinah Hassan ‘Zari The BossyLady’ ambaye aliingia katika mtafaruku wa maisha yake ya kimapenzi, kwa mara nyingine...

READ MORE

Dk. Shika Adai Hajiwezi Kwa Ray C

DAKTARI Louis Shika ambaye alipata umaarufu mkubwa baada ya jaribio lake la kununua nyumba za mfanyabiashara Said Lugumi, ametoa mpya...

READ MORE

Sina Mpango Wa Kumuona Lulu Gerezani -Seth

WIKI chache baada ya muigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kufungwa jela, mdogo wa marehemu Steven Kanumba, , aitwaye...

READ MORE

Wema, Jokate na Wolper Washindana Insta!

MASTAA wanaofanya vizuri katika filamu za Bongo, Wema Sepetu, Jokate Mwegelo na Jacqueline Wolper wameamua kushindana kwa kutupia picha mpya...

READ MORE

Denda la Jux na Vanessa Kwenye Jukwaa la Fiesta Laleta Maswali (Video)

 Waliokuwa wapenzi hapo nyuma, Jux na Vanessa, wamewashangaza mashabiki baada kuimba pamoja kwa hisia za kimahaba kwenye Tamasha la...

READ MORE

ZOEZI DHIDI YA WEZI WA KAZI ZA SANAA KUTUA MOROGORO

KAMPUNI ya Msama Auction Mart imesema zoezi la kuwanasa wezi wa kazi za wasanii litaendelea mkoani Morogoro dhidi ya watu...

READ MORE

Live Updates: Maelfu Wajitokeza Kushuhudia Kuapishwa Kwa Uhuru Kenyatta (Video)

   RAIS mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta (56) na Naibu Rais mteule, William Ruto (50) wanatarajiwa kuapishwa leo, kuanza...

READ MORE

Kifo Cha Ndiku Chamshindisha Ndani Sasha

MUUZA nyago kwenye video za Bongo Fleva, Sasha Kassim amefunguka kuwa, alipata mshtuko mkubwa baada ya kusikia taarifa ya kifo...

READ MORE

Masogange Marufuku Kumnadi Mwanaye

MREMBO aliyejipatia jina kubwa kutokana na kazi yake ya kuuza nyago kwenye video za wanamuziki Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amesema...

READ MORE

Mrembo Afrika Kusini Ashinda Taji la Miss Universe 2017

NEL-PETERS (22) mrembo aliyeshika nafasi ya kwanza nchini Afrika Kusini amevishwa taji la Mrembo wa Dunia (Miss Universe 2017) akiwashinda...

READ MORE

Siri Ya Wema Kupukutika Yafichuka!

VYUMA vimekaza? Siri ya staa mkali wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu kupukutika imefichuka baada ya picha zake kusambaa...

READ MORE

Hamorapa Kwishaaa! Meneja Wake Afunguka Mazito

  UBUYU wa leo unatakiwa uumun’gunye taratibu, ukipenda unaweza kushushia na maziwa maana unaambiwa mzee wa kiki ambaye alijizolea umaarufu...

READ MORE

Jux, Vanessa Mdee Wawashangaza Mashabiki!

Waliokuwa wapenzi hapo nyuma, Jux na Vanessa, wamewashangaza mashabiki baada kuimba pamoja kwa hisia za kimahaba wakiwashangalia na kuwataka warudiane. ...

READ MORE

Rachel Kizunguzungu Awashukuru Mashabiki Waliojitokeza Fiesta

Rachel Kizunguzungu ni mmoja wa wasanii waliotoa burudani za kukonga nyoyo za mashabiki katika Tamasha la Fiesta. PICHA: MUSA MATEJA/GPL...

READ MORE

Lina Sanga, Barnaba Waibuka Stejini Pamoja Fiesta

Wanamuziki Barnaba Classic na Lina Sanga ambaye ametoka kujifungua hivi karibuni, walifanya shoo ya pamoja katika Tamasha la Fiesta. (PICHA:...

READ MORE

Q Chilla Atoa Burudani ya Kipekee Tamasha la Fiesta

Msanii Q Chilla amemsifia msanii mwenziye wa Bongo Fleva, Jux, kwa kuwa mfano bora wa kuigwa katika tasnia hiyo ya...

READ MORE

Ben Pol Atinga na Tausi Stejini Fiesta

Msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol, ametinga stejini na msanii wa Bongo Movie, Tausi, akiwa kavaa shela katika Tamasha la...

READ MORE

Ben Pol Amtambulisha Ebitoke Fiesta

Ben Pol akitumbuiza stejini katika Tamasha la Fiesta 2017 Leaders Club, Kinondoni, jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo....

READ MORE

Alikiba Afunika Tena Jukwaa La Tigo Fiesta 2017 Leaders Club

Hatimaye tamasha la Tigo Fiesta limefanyika  kwenye Viwanja vya Leaders Club pale Kinondoni ambapo kulikuwa na bonge la shoo kutoka...

READ MORE

Baba Ndiku Abariki Irene Uwoya Kuolewa

WAKATI staa mkubwa wa filamu Bongo, Irene Uwoya akirejea nyumbani kutoka Rwanda alikoenda kwa ajili ya kuhani msiba wa mume...

READ MORE

Ndoa Ya Kafulila Matatani, Uamuzi wa Mke Wawashangaza Wengi

Siku chache baada ya aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), David Kafulila kutangaza kukihama chama hicho kwa...

READ MORE

Maandalizi Ya Tigo Fiesta 2017, Viwanja Vya Leaders Club Yalivyokuwa

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, alisema kwamba shoo ya leo itakuwa na utofauti mkubwa...

READ MORE

Shilole Ataja Rasmi Siku Ya Ndoa Yake

HATIMAYE mwanamuziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameibuka na kutangaza rasmi tarehe ya ndoa yake na mchumba wake, Uchebe...

READ MORE

FIESTA LEO KUNA BONGE LA SAPRAIZ LEADERS

Hatimaye leo ndiyo leo kwenye Viwanja vya Leaders Club pale Kinondoni ambapo kutakuwa na bonge la shoo la Fiesta. Mkurugenzi...

READ MORE

Jokate Amuombea Dua Lulu

MWANAMITINDO Jokate Mwegelo hivi karibuni baada ya kukaa kimya bila kumposti msanii mwenzake Elizabeth Michael ‘Lulu’ wala kuongea lolote kuhusiana...

READ MORE

Macho Yamtesa Wastara Atamani Kuhama Insta!

STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ameibuka na kueleza jinsi macho yake yanavyomtesa kwani watu wamekuwa wakimsema vibaya kuwa...

READ MORE

Esha: Uzazi Umenifanya Niwe Mjasiriamali

  STAA wa filamu za Kibongo, Esha Buheti amedai kuwa baada ya kuongeza familia kwa kumpata mtoto mwingine amejikuta amekuwa...

READ MORE

LULU AIBUA MAZITO JELA! MKUU WA GEREZA AONGEA NA IJUMAA

Wakati mwanadada mrembo kwenye tasnia ya filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, akielekea kumaliza wiki mbili gerezani Segerea, Dar, anakotumikia kifungo...

READ MORE

Sandra Aanika Udhaifu wa Bongo Movies

MSANII wa filamu Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’ ambaye kwa sasa ana mkataba mnono wa kucheza Tamthilia ya Nyota nchini Kenya,...

READ MORE

Lulu Diva Ajimwayamwaya Studio za Global TV Online

MSANII wa Bongo Fleva, Lulu Diva, kwa mara ya kwanza, Alhamisi ya Novemba 24, alipata fursa ya kualikwa katika mahojiano...

READ MORE