×

Burudani

Sajenti Adaiwa Kunasa Ujauzito wa Dullah Makabila

Dar es Salaam: Msanii wa filamu za Kibongo, Husna Iddi `Sajenti’ anadaiwa kunasa ujauzito wa staa wa Singeli Bongo, Dullah...

READ MORE

Muvi Mpya! Jackie Chan Kuibuka na James Bond

WEWE ni mpenzi wa muvi kali na za kijanja? Unajua kama Jackie Chan anaibuka na muvi mpya aliyoigiza na Pierce...

READ MORE

Vodacom Yaendelea Kuwa Karibu na Watanzania Mwezi Mtukufu

Kampeni ya Ukarimu wa Vodacom imendeelea kuwafikia watanzania maeneo mbalimbali nchini Tanzania na kuwafuturisha katika mfungo huu wa mwezi mtukufu...

READ MORE

Young D Akubali Kumlea Mwanaye

MZAZI mwenza wa mkali wa Singo ya Bongo Bahati Mbaya, David Genzi `Young D,’ Mamisa amefunguka kuwa amemaliza tofauti zake...

READ MORE

Stamina, Darassa Kulipeleka Jiji Dar Live Sikukuu ya Idd Mosi

SIKU zikiwa zinahesabika kufi kia Sikukuu ya Idd Mosi, wakali kibao wa michano wakiongozwa na R.O.M.A Mkatoliki, Stamina, Darassa, Moni...

READ MORE

Picha za JLO Akila Bata na Mpenzi Wake Ufukweni Italia

Maisha yanataka nini tena? Una pesa, unakwenda unapotaka na kufanya unavyotaka. Utakachokifikiria moyoni mwako ni kumtumikia Mungu tu. Huku akiwa...

READ MORE

LIVE Kutoka Mbuga za Wanyama: Unforgettable Tanzania

GLOBAL TV Online, kwa hisani kubwa ya TANZANIA NATIONAL PARKS (TANAPA), inakuletea kipindi cha FAHARI YA TANZANIA ambacho kinaonesha maisha...

READ MORE

Chanzo cha Kifo cha Prodigy Chafanywa Siri

Mwanamuziki nchini Marekani ambaye pia ni rais wa Kundi la Mobb    Deep,  Albert Johnson maarufu kwa jina la Prodigy amefariki...

READ MORE

Gigy, Amber Lulu wamlipua Msanii Mwenzao Baby Madaha

DAR ES SALAAM: Kufuatia kauli ya Mbon­go Fleva, Baby Joseph Madaha maarufu kama Baby Madaha, aliyoitoa hivi karibuni kwamba ma-video...

READ MORE

Hizi ni Filamu Zilizoingiza Mkwanja Mrefu Zaidi Duniani Mwaka Huu

Washapiga hela! Huku mwezi wa sita ukiwa unaelekea mwishoni, tayari makampuni mengi yanayoandaa filamu nchini Marekani yameendelea kujikusanyia pesa za...

READ MORE

Barua Nzito Kwa Kaka Chuz, Jiangalie Upya!

Nina kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa siku hii ya leo, na niwashukuru pia wasomaji wangu wote ambao wamekuwa...

READ MORE

Haya Utayasikia Kwenye Documentary ya Chris Brown

Inawezekana ulisubiri sana! Dogo anayefanya poa kwenye muziki kwa miaka kadhaa sasa, Chris Brown anajiandaa kutoa documentary yake ambayo itaelezea...

READ MORE

Wateja wa Vodacom Waletewa Bando la RED

Wateja wa Vodacom Tanzania kuanzia sasa watakuwa na furaha zaidi kwa keletewa huduma mpya ya RED. Huduma hii ni mpango...

READ MORE

Dogo Janja Munalove Kulikoni?

STAA wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ anadaiwa kulelewa na mwanamama ambaye ni msanii wa filamu wa zamani, Muna...

READ MORE

Jini Kabula Adata, Alazwa Muhimbili

Inasikitisha! Staa wa filamu za Kibongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ anadaiwa kudata ‘kuchanganyikiwa’ na hivi sasa amelazwa katika Hospitali ya...

READ MORE

Filamu Zapukutisha Hela za Vai wa Ukweli

MSANII wa filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ ambaye kwa muda mrefu amekuwa akiandaa kazi kwa fedha zake...

READ MORE

Odama Kuuza Mwenyewe Kazi Zake

KUTOKANA na ugumu wa soko la filamu nchini lililosababisha wasambazaji wengi kuachana na kazi hiyo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ atauza kazi...

READ MORE

Lulu Diva Haambiliki Kwenye Vinguo Vifupi

MWANAMUZIKI aliyewahi kuwa video vixen Bongo, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa kwenye suala zima la mavazi haambiwi kitu kuhusu...

READ MORE

Kwa Wiki ya Kwanza tu Muvi ya Maisha ya Tupac Yapiga Bilioni 53

Habari ndiyo hiyo! Huku ikiwa imetimiza wiki tangu filamu inayohusu maisha ya nguli wa Hip Hop nchini Marekani, Tupac Shakur...

READ MORE

Ifahamu Historia Ya Msanii Justin Bieber

Justin Bieber alizaliwa Machi Mosi,  1994, Ontario nchini Canada. Mama yake anaitwa Pattie Mallete na baba yake ni Jeremy Bieber....

READ MORE

Mmh! Amber Rose ni Kweli au Unatudanganya tu

  HIVI ni kweli ama? Huku ikiwa imepita miezi sita tangu mwaka uingie, mwanamitindo mwenye jina kubwa aliyekuwa mpenzi wa...

READ MORE

Kampuni Ya Mawasiliano Ya Zantel Yajumuika Na Wafanyakazi Na Wadau Wake Kwa Futari Jijini Dar

Baadhi ya wafanyakazi wa Zantel wakijumuika katika tafrija ya futari maalumu kwa ajili yao katika kipindi hiki cha mfungo Mtukufu...

READ MORE

Jay Z Aonekana Nje kwa Mara ya Kwanza

LABDA hukuipata! Ishu ipo hivi! Kwa mara ya kwanza mwanamuziki mwenye jina kubwa katika tasnia ya Muziki wa Rap nchini...

READ MORE

DJ Khaled Aachia Video ya ‘WILD THOUGHT’

MWANAMUZIKI maarufu wa Marekani, DJ Khaled, ameachia video ya wimbo wake wa Wild Thought aliyompa shavu Rihanna  na Bryson Tiller....

READ MORE

ROMA: Historia Itaandikwa Dar Live Idd Mosi

NAJUA hukuijua hii! Huku sakata lake la kutekwa likiwa limemalizwa kiaina, staa wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Musa...

READ MORE

Hakika Hii si ya Kukosa Hata Kidogo!

Nishushe Idd Mosi… Roma Atawaongoza Wakali Hawa Kuliamsha Dude, Dar Live

READ MORE

Jimmy Mafufu Amelikimbia Jiji?

DAR ES SALAAM: Staa wa sinema za kitemi Bongo, Jimmy Mafufu amepinga vikali madai ya baadhi ya watu kuwa amelikimbia...

READ MORE

Ubuyu Ulionyooka: Chuz Akamatwa Rushwa ya Ngono!

DAR ES SALAAM: Ubuyu huu siyo wa nchi hii! Mkongwe wa filamu na tamthiliya za Kibongo, Tuesday Kihangala ‘Chuz’, yupo...

READ MORE

Msambwanda wa Anti Lulu Wayeyuka!

DAR ES SALAAM: Mwanadada anayesifika kwa kutingisha wowowo lake hasa awapo kwenye kundi la watu, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ amepukutika...

READ MORE

Morata Afunga Ndoa Italia Akiwaniwa na Man U, AC Milan

MCHEZA soka wa Real Madrid, Alvaro Morata, ambaye anawaniwa vikali na klabu za Manchester United na AC Milan, jana alimwoa...

READ MORE

Beyonce, Jay-Z Wafurahia Watoto Mapacha Huko Los Angeles

MWANAMUZIKI mshindi wa tuzo ya Grammy, Beyonce, na mumewe rapa, Jay-Z,  Jumatatu au usiku wa kuamkia Jumanne wiki inayomalizikia leo,...

READ MORE

Video: Nishushe Idd Mosi… Wasanii Watakaoliamsha Dude, Dar Live

SIKU zikiwa zinahesabika kuelekea Usiku wa Nishushe Dar Live utakaofanyika Sikukuu ya Idd Mosi ndani ya Uwanja wa Taifa wa...

READ MORE

Ester Apangiwa Mjengo na Mwanaume

MSANII wa filamu za Kibongo, Ester Kiama anadaiwa kupangishiwa mjengo na mwanaume ambaye ni mume wa mtu aliyemhamisha ku­toka Kijitonyama...

READ MORE

Nandy: Sipendi Kolabo!

MWANAMUZIKI anayetamba na Ngoma ya Wasikudanganye, Faustina Charles`Nandy’ amefunguka kuwa hapendi kufanya kolabo na msanii yeyote kwa sasa bali ataendelea...

READ MORE

Wimbo Mpya: Kutoka kwa Lulu Diva Unaitwa ‘Utamu’

MWANADADA anayefanya vizuri kwenye Muziki wa Bongo Fleva na wimbo wake wa Usimwache, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ameachia ngoma mpya ya...

READ MORE

Nisha Adaiwa Kumchukua Bwana wa Shilole

STAA wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ anadaiwa kuwa kwenye mahaba motomoto na aliyekuwa mpenzi wa msanii mwenzake, Zuwena...

READ MORE

Mrisho Mpoto Alamba Shavu Ngorongoro

DAR ES SALAAM: Msanii wa muziki wa asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto maarufu kwa jina la ‘Mjomba’ amelamba shavu jingine...

READ MORE

Mr Universe Atua Bongo, Ashusha Somo kwa Vijana

Mr Universe Tanzania mwaka 2002, Matukio Chuma, amewataka vijana wa Kitanzania kutumia fursa mbalimbali zinazojitokeza ndani na nje ya nchi...

READ MORE