×

Burudani

AY Asimulia alivyoitwa na P.Square

WIKI iliyopita nilizungumza namna ambavyo nilishtushwa na kitendo cha Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ‘TCRA’ kukataza video ya wimbo wangu wa...

READ MORE

Mapokezi ya Lulu yafunika Dar

 Msanii Eliabeth Michael Lulu akiwasili kutokea nchini Nigeria akiwa na Tunzo yake mkononi ambayo alishinda nchini Nigeria katika Mashindano ya...

READ MORE

Baada ya Kifungo, Meek Mill Aiangukia Mahakama

Philadelphia, Marekani Meek Mill ambaye ni rapa maarufu kutoka Philly nchini Marekani amabye anatumikia kifungo cha nyumbani cha miezi mitatu...

READ MORE

Kim tena, atupia picha nyingine ya utupu mtandaoni

Picha ya utupu aliyotupia Kim mtandaoni leo. Mwanamitindo Kim Kardashian amezua sintofahamu tena mitandaoni baada ya leo kutupia picha yake...

READ MORE

Staili ya kulala na tuzo… Picha ya Lulu yazua gumzo

Elizabeth Michael ‘Lulu’ PICHA ya staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ikimuonesha akiwa amelala ameshikilia tuzo, imezua gumzo mitandaoni...

READ MORE

Mnorway Amgongea Dogo Janja Ngoma mbili

Norway, Carl Hovind Andrew Carlos BAADA ya kufanya poa Ngoma ya My Life, staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Abdulaziz...

READ MORE

Rich Apeleka Tuzo kwa Nape

Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akimpongeza na kumkabidhi cheti Mshindi wa Tuzo ya Filamu Bora Afrika Mashariki,...

READ MORE

Pichaz: Diamond Akiwa Studio na Ne-Yo, Marekani

Neyo (kushoto), Diamond, prodyuza Jesse Wilson na Babu Tale (wa kwanza kulia). Diamond na Yazz Diamond na Yazz.

READ MORE

Navy Kenzo wafunika New Maisha club, Dodoma

   Msanii wa Kundi la Bongo Fleva la Navy Kenzo, Aika akiongea na mashabiki wake usiku wa kuamkia leo katika...

READ MORE

Van Vicker anaamini Tanzania itapasua zaidi, lakini…

Joseph van Vicker (van Vicker) Na Saleh Ally, Lagos MUIGIZAJI nyota wa Ghana, Joseph van Vicker, amesema Tanzania ina nafasi...

READ MORE

Ali Kiba: Serikali iweke mkono Bongo Movie

Ali Saleh Kiba (Ali Kiba) Na Saleh Ally, Lagos MWANAMUZIKI Ali Saleh Kiba amesema ingekuwa jambo zuri kama wasanii wa...

READ MORE

Jahazi Kuitambulisha Albamu mpya Dar live

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KUNDI la muziki wa Taarab, Jahazi Modern, linatarajiwa kutambulisha albamu yake ya Kaning’ang’ania Ng’ang’anu, Machi...

READ MORE

Kilichosababisha kifo cha Bobbi Kristina hiki hapa

Bobbi Kristina Baada ya uchunguzi wa muda mrefu wa kifo cha aliyekuwa mtoto wa gwiji wa R&B Marekani, Whitney Houston,...

READ MORE

Picha za red carpet tuzo za AMVCA 2016

Damilola Attoh Elizabeth Michael. Damilola Attoh Annie Idibia Annie Seyi Shay Lisa Omoriodon Ebube Nwagbo Lilian Esoro Ijeoma Grace Agu...

READ MORE

Washindi wa tuzo za AMVCA 2016

Mshindi wa tuzo ya Best Movie (Eastern Africa) – “Mapenzi”,  Elizabeth Michael Best Art Director – Frank Raja Arase for...

READ MORE

Lulu, Richie washinda Tuzo ya AMVCA, Video ipo

Staa wa Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiongea jambo baada ya kushinda Tuzo ya Africa Magic Viewers Choice (AMVCA) zilizofanyika Lagos,...

READ MORE

Diamond Akutana Uso kwa Uso na Kanye West

Diamond akiwa na Kanye West. STAA wa Bongo kutoka kwenye kiwanda cha Bongo fleva, Nasbu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekutana uso...

READ MORE

Dogo wa Miaka 5 Atengeneza Wimbo Albamu ya Kendrick Lamar

Mtoto Egypt. MTOTO wa nyoka naye ni nyoka! Unaweza kutumia msemo huu baada ya mtoto mastaa wa Marekani katika tasnia...

READ MORE

Shabani Dede: Amkubali, amkataa Diamond!

Shabani Dede. Na Imelda Mtema,Risasi Jumamosi SHABANI Dede si jina geni kwa wapenzi wa muziki wa dansi nchini. Ana mchango...

READ MORE

Kopa, Msaga Sumu kupagawisha ‘Amsha Mama’ kesho

Mkali wa miondoko ya Mipasho, Khadija Kopa (kushoto), akiongea na kujigamba jinsi alivyodhamiria kufanya makamuzi ya kufa mtu kwenye tamasha...

READ MORE

Maya: Naitamani sana ndoa  na watoto wawili tu!

Staa wa ‘long time’ kwenye tasnia ya filamu Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’. Kama kawa, kama dawa! Wiki hii tunaye mwanadada...

READ MORE

Baraka: Nitaanzaje kutelekeza mtoto?

Stori: Musa Mateja Juzikati yaliibuka madai kuwa msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Baraka da Prince alizaa na binti mmoja...

READ MORE

Aliyetengeneza Kichupa Kipya cha Haromize, Huyu Hapa

MSANII anayekuja kwa kasi kunako muziki wa Bongo Fleva, Rajabu Abdulkhali ‘Harmonize’ amefungukia ‘kichupa’ chake kipya alichofanya na staa wa...

READ MORE

Kampuni ya muziki ya Jay Z, Yashtakiwa

Kampuni ya muziki ya Tidal inayomilikiwa na nyota wa muziki wa Rap, Jay Z imeshtakiwa katika kesi ya milioni 5...

READ MORE

Managers Night kufanyika Maisha Basement leo

Are you a manager of a hotel, Bar, Saloon, Boutique, Bank, School, Building, Lounge, Factory or any other work place,...

READ MORE

Mbavu nje zinavyowateka Wabongo

Drake na Rick Ross Makala: BONIPHACE NGUMIJE KIPINDI cha nyuma ilikuwa ni kawaida kuwashuhudia wasanii wa kiume wa muziki duniani...

READ MORE

Kat DeLuna ft. Jeremih – What A Night (Official Music Video)

Mwanamuziki Kat DeLuna ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘What A Night’ aliomshirikisha msanii Jeremih. Icheki video hiyo hapa...

READ MORE

Mr Blue, Tunda Man, Msaga Sumu kukinukisha Mwembe Yanga Jumamosi hii!

Msanii mkongwe wa Bongo, Khalid Ramadhani ‘Tunda Man’. WASANII wa muziki mbalimbali hapa nchini, Jumamosi hii wanatarajiwa kukinukisha vilivyo katika...

READ MORE

Mpoto kuzindua video ya wimbo Sizonje Jumamosi, Dar

Muimbaji maarufu wa mashairi nchini, Mrisho  Mpoto Jumamosi Machi 5,  2016 atazindua video ya wimbo wake mpya Sizonje katika ukumbi...

READ MORE

Pah One wamuiga AKA

Boniphace Ngumije KUNDI la Muziki wa Bongo Fleva, Pah One limefungukia ujio wao mpya wa I Run Dsm kuwa ni...

READ MORE

Dyana kuibuka na Cindy wa Blu 3

Muziki wa Bongo Fleva Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’. Na Boniphace Ngumije UKIAMBIWA utaje tano bora ya wasanii wa kike wanaobamba...

READ MORE

Shamsa: Siwezi kumhukumu Nay

Staa wa Bongo Muvi, Shamsa Ford. Showbiz STAA wa Bongo Muvi, Shamsa Ford kwa mara ya kwanza ameibuka na kuiongelea...

READ MORE