×

Burudani

Gigy: Bila mil. 1 hunipati     

Gift Stanford ‘Gigy Money’. MUUZA nyago kwenye video mbalimbali za Kibongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ kwa mara ya kwanza amefungukia...

READ MORE

Leonard Di Caprio aandika historia

Leonardo Di Caprio baada ya kuchukua tuzo ya Oscar Alicia Vikander ameshinda tuzo ya  Best Supporting Actress. JANA usiku katika...

READ MORE

Banana atingisha uzinduzi wa Jozi Lounge

Mkurugenzi Mtendaji wa klabu ya Jozi Lounge,  Dismas  Massawe, akikata utepe kuashiria shughuli ya uzinduzi wa klabu hiyo. Msanii wa...

READ MORE

Nay Wa Mitego – Shika Adabu Yako [Official Music Video]

Mwanamuziki Nay wa Mitego ameachia video ya wimbo wake uitwao Shika Adabu Yako. Itazame hapa chini

READ MORE

Bethidei ya Efm Sports Headquarters yabamba Dar

Watangazi wa kipindi cha Sports Head Quarter cha EFM Radio wakiendesha kipindi hicho wakati wa hafla ya maadhimisho ya mwaka...

READ MORE

Ishu ya kunywa maji Darasa tosha kwa Ray

Na erick evarist, Risasi Jumamosi NCHI za wenzetu hususan Marekani ambako biashara ya burudani imeendelea, mastaa wamekuwa wakitengeneza ‘kiki’ mbalimbali...

READ MORE

Maria Soloma: Siachi unenguaji mpaka nazeeka

Na Imelda mtema, Risasi Jumamosi MNENGUAJI wa kitambo Bongo, Maria Soloma anayeitumikia Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’ amesema kuwa...

READ MORE

Asha Baraka apunguza wanamuziki Twanga Pepeta

Na Imelda Mtema, Risasi Jumamosi BIG Boss wa The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Asha Baraka amewapunguza wanamuziki sita wa bendi yake...

READ MORE

Justine Campos; Msauzi Kimbilio la Mastaa Kibao wa Afrika

Justine Campos Mtaani Randburg Gauging jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini ndiko zilipo ofisi za Kampuni ya Gorilla Films inayomilikiwa na wapendanao Justine Campos ambaye ni direkta maarufu kwa sasa Afrika na...

READ MORE

Picha: Uchaguzi wa Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania

Mgeni rasmi wa Shughuli hiyo, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Mh. Nape Nnauye (katikati) akizungumza jambo wakati wa zoezi...

READ MORE

Tiko: Ubonge nyanya unaninyima raha

Na Hamida Hassan Staa wa filamu za Kibongo, Tiko Hassan anatia huruma baada ya kuibuka na kusema kuwa unene unaomuandama...

READ MORE

Kajala sasa ajis’tukia kuzeeka

Na Imelda Mtema Staa wa Filamu Bongo, Kajala Masanja amesema kuwa mambo ya kimjini kama wafanyavyo mastaa wengine kwa sasa...

READ MORE

Skylight yapagawisha mashabiki Maisha Basement

Waimbaji wa Skylight Band wakipagawisha mashabiki waliojitokeza ukumbi wa Maisha Basement uliopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia...

READ MORE

Davido kufanya kolabo na Young Thug huu uthibitisho wake

Staa wa Nigeria, Davido Staa wa Hip Hop kutoka Marekani, Young Thug STAA wa muziki kutoka Nigeria, Davido anaonekana kuendelea...

READ MORE

Yamoto kutumbuiza kwenye uchangiaji damu Dar leo

Yamoto Band wakikamua wakifanya makamuzi kwenye jukwaa la Dar Live. Stori:  Mwandishi Wetu Makamu wa Rais, Samia Salum Hassan anatarajiwa...

READ MORE

Sabby Angel: Kwa mauno yangu watakaa tu

Mduara, Sabrina Omary ‘Sabby’. Stori: Imelda mtema Msanii wa filamu ambaye hivi sasa amejiingiza kwenye Muziki wa Mduara, Sabrina Omary...

READ MORE

Blue ambusti Prezzo Kibongo

Kheli Samil aka Mr Blue Stori: Boniphace Ngumije Rapa anayefanya poa Afrika Mashariki, Jackson Ngechu Makini ‘Prezzo’ kutoka nchini Kenya...

READ MORE

Brandy: N’tamkumbuka Kanumba hadi nakufa!

Kwenye kolamu hii leo tunaye msanii Brandy Godwin anayebamba kwenye Tamthiliya ya Kivuli katika Kituo cha Star Swahili ambaye amebananishwa...

READ MORE

Ne-Yo kufunga ndoa Jumamosi hii

MKALI wa muziki wa R&B duniani, Ne-Yo anatarajiwa kufunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu, Crystal Renay, Jumamosi hii....

READ MORE

Video Mpya: KCEE – Bureau de Changer

Staa wa muziki kutoka Nigeria, KCEE ameachia video mpya, icheki hapo chini.   https://youtu.be/gUBxjQ6u1Vk

READ MORE

Mwakifwamba Ashinda Tena Urais wa Shirikisho la Filamu Tanzania

Wasanii wakiandikisha majina baada ya kuwasili ukumbini. Wasanii wa Bongo movie wakisubiri kuanza mchakato wa kumchagua rais wa Shirikisho la...

READ MORE

Shuhudia Red Carpet ya Tuzo za Brit jana (Picha)

Usiku wa kuamkia leo ulikuwa mzuri kwa mastaa kibao wa muziki wa Pop na Hip Hop duniani kutokana na tuzo...

READ MORE

Nyota wa Bollywood aachiliwa huru

Sanjay Dutt. NYOTA wa filamu za Bollywood, Sanjay Dutt amewachiwa huru kutoka jela katika mji wa magharibi wa Pune nchini...

READ MORE

Adele Afunika Tuzo za Brit

Adele. London’s O2 Arena Malkia wa pop duniani, Adele kutoka nchini Uingereza, amefunika kwenye tuzo za Brit 2016 baada ya...

READ MORE

Mabeste naye kutoa Nakuchana Leo

Staa wa Hip Hop, Venance Mabeste. ZIKIWA zimepita wiki kadhaa tangu mastaa wa Muziki wa R&B Bongo, Bernad Paul ‘Ben...

READ MORE

Kumbe kifaa cha Nuh Mziwanda ni Mnyalukolo

Imebumburuka! Kumbe ‘kifaa’ kipya cha msanii wa Bongo Fleva,  Naftar Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, kinachojulikana kwa jina moja la Erah ni...

READ MORE

Burudani za Wiki hii Maisha Basement jijini Dar

JUMATANO LEO: Uzinduzi wa kibao Msambandwa ALHAMISI KESHO: New Skylight Band IJUMAA: Wiggle Night JUMAPILI: Shoo ya Navy Kenzo Tunabang...

READ MORE

Mkwaju mpya wa Dogo Janja huu hapa

Dogo  kutoka Kundi la Tip Top lenye maskani yake Manzese jijini Dar, Abdulaziz Chande, Dogo Janja. Omary Mdose, Dar es...

READ MORE

Happy Birthday Abdallah Mrisho

Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho. LEO ni siku muhimu sana kwa Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho...

READ MORE

Legend, Chrissy mahaba niue

LOS ANGELES, Marekani MWANAMUZIKI na muigizaji wa Kimarekani, John Legend kweli anampenda mkewe, hii ni kutokana na picha iliyotupiwa mtandaoni...

READ MORE

Shirikisho la Filamu Tanzania kufanya uchaguzi Alhamisi

Kutoka kushoto ni Katibu wa Kamati ya Uchaguzi, Francis Kaswahili, Mwenyekiti wa Kamati huru ya Uchaguzi, Methew Bicco na Makamu...

READ MORE

Blac Chyna amdandia Rob kimahaba hadharani

LOS ANGELES, Marekani MAHABA yanapokuzidia huweza kukufanya chizi na hivi ndivyo ilivyomtokea mwanamitindo Blac Chyna ambaye akiwa mtaani hadharani ghafla...

READ MORE

The Game, Lloyd Banks wamaliza bifu, 50 Cent achukia

NEW YORK, Marekani MEMBA wa zamani wa Kundi la G Unit, The Game, ameonekana kulimaliza bifu lake na aliyekuwa memba...

READ MORE

George Michael kituko sana!

George Michael. NEW YORK, Marekani UNAMKUMBUKA George Michael, staa wa ngoma iliyokonga nyoyo za mashabiki kibao enzi zile ya Careless...

READ MORE

Wizkid kupamba jarida kubwa duniani la Vogue

Staa wa Ngoma ya Ojuelegba, Wizkid. STAA wa Ngoma ya Ojuelegba, Wizkid kwa mara ya kwanza amepata shavu la kimataifa...

READ MORE

Cheki Kanye West alivyomuokoa Paparazi

IKIWA imepita miaka mitatu tangu rapa Kanye West ‘Yeezy’ azinguane na paparazi ‘live’ juzikati amewashangaza watu baada ya kuonekana tena...

READ MORE