×

Celebrities

JEURI SAKATA LA NYUMBA… MOBETO AMUONESHA MONDI

DAR ES SALAAM: Fedha inaongea! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

Umemsikia Hussein Machozi…. Life yake elimu tosha kwa wasanii!

  Kwa ajili yako naimbaa, Sauti hii sikiaa, Habari hii pokeaa, Ni kionjo tu cha Ngoma ya Kwa Ajili Yako...

READ MORE

KWA WALICHOKIFANYA CHINA… NDOA YA LULU UTATA TUPU!

DAR ES SALAAM: Wakati wakiwa nchini China msimu wa Sikukuu za Krismasi na mwaka mpya kwa ajili ya kula bata...

READ MORE

MASTAA KUOPOA NJE YA NCHI NI FURSA AU MAPENZI YA DHATI?

IMBI la mastaa wetu kuopoa wapenzi kutoka nje ya nchi limezidi kushika kasi. Kwa nyakati tofauti, staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

DAVIDO AWEKA REKODI HII

MKALI wa muziki Ni ­geria, Davi­do amewe­ka rekodi nchini humo kwa kuwa mwanamuziki wa kwanza kufikisha wafuasi milioni 9 katika...

READ MORE

UWOYA USISAHAU KUTESA KWA ZAMU

IRENE Pancras Uwoya ni mmoja wa wanawake warembo walioipa platfom’ tasnia ya fi lamu za Kibongo.   Mbali na kuigiza, Uwoya...

READ MORE

NI MWAKA WA FURAHA KWA WASTARA

KILA mara watu wamezoea kumuona staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, akidondosha machozi kutokana na changamoto mbalimbali anazopitia, lakini...

READ MORE

KUDANGA SIYO ISHU KWA FAIZA !

MWIGIZAJI wa filamu Bongo na mzazi mwenza wa Mbunge wa Mbeya-Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally ameeleza kuwa kudanga kwake...

READ MORE

POSH: SITUMII MWILI KUJIPATIA FEDHA

MREMBO Queen Obed ‘Posh Queen’ amefunguka kuwa haamini kuutumia mwili wake kama biashara ili aweze kujipatia fedha kama ambavyo wanavyofanya...

READ MORE

Washiriki Wa Tuzo Za iHeart Radio 2019 Orodha Kamili Ipo hapa, Drake, Cardi B….

  Kituo cha matangazo cha iHeart kimetoa orodha kamili ya wagombea tuzo za muziki za iHeart kwa mwaka 2019.  ...

READ MORE

MBWEMBWE NDOA YA DIAMOND, TANASHA YAMKUTA YA WEMA, ZARI

DAR ES SALAAM: Mwanadada Tanasha Donna Barbieri Okech ‘Zahara Zaire’ kutoka Kenya ambaye siku za hivi karibuni aliingia kwenye penzi...

READ MORE

Salah Atawazwa Mchezaji Bora wa Afrika wa Caf 2018

Mshambuliaji wa Misri na klabu ya Liverpool ya England, Mohamed Salah, ndiye Mchezaji Bora wa Mwaka wa Shirikisho la Soka...

READ MORE

PENZI LA MONDI, TANASHA LAMTOA POVU KIM NANA

MREMBO ambaye anadaiwa kumwagwa na mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Lilian Kessy ‘Kim Nana’ ameibuka na kulitolea povu...

READ MORE

A-Z MZEE YUSUF ALIVYOVAMIWA NA MAJAMBAZI

DAR ES SALAAM: Mwaka umeanza vibaya kwake! Unaweza kusema maneno hayo baada ya aliyekuwa mwimbaji na kiongozi wa zamani wa...

READ MORE

MC PILIPILI AFUNGUKA KILICHOMLIZA KWA MCHUMBA WAKE

DAR ES SALAAM: Baada ya hivi karibuni mchekeshaji maarufu Bongo, Emmanuel Mathias ‘MC Pilipili’ kumvisha pete ya uchumba, mchumba’ke, Philomena...

READ MORE

NGOMA ZILIZOFUNGA 2018 NA KUFUNGUA 2019

NOVEMBA 23, 2016 Ngoma ya Muziki ya Darassa akiwa amemshirikisha Ben Pol iliachiwa rasmi na baada ya hapo ilibaki kuwa...

READ MORE

Ujumbe wa Mahaba wa Ben Pol Kwa Bethidei ya Mpenzi Wake

  MSANII Bernard Paulo maarufu kama Ben Pol ameandika ujumbe wa mahaba katika akaunti yake ya Instagram ambao ameuelekeza kwa...

READ MORE

MISS TZ ANA BIFU NA BASILA?

BAADA ya stori kusambaa kuwa Miss Tanzania 2018, Queen Elizabeth ameingia kwenye bifu na mratibu wa shindano hilo, Basila Mwanukuzi...

READ MORE

Majibizano ya Meek Mill na Ex Wake Nicki Minaj (VIDEO)

  BAADA ya wawili hawa kuachana muda mrefu,  kumekuwa na maneno yanayoendelea chinichini baina yao kupitia vyombo vya habari na...

READ MORE

Alikiba Apata Shavu la Kushirikiana na Msanii Mkubwa Nigeria

  MSANII kutoka Nigeria, Enitimi Alfred Odom maarufu kama ‘Timaya’, amempa shavu msanii wa Tanzania, Alikiba, kwenye EP  yake ya...

READ MORE

CASTO ATAMANI NDOA

MTANGAZAJI wa CloudsTV, Casto Dickson amefunguka kwamba anatamani kuoa hata leo ila tatizo bado hajajua ni mwanamke gani atakayemuoa kwa...

READ MORE

HARMONIZE AFUNGUKA KUWATUKANA WAKENYA

MKALI wa Bongo Fleva kutoka Wasafi Classic Baby (WCB), Rajab Abdul ‘Harmonize’ amefungukia tuhuma ya kutukana Wakenya kwa kuwaita maskini...

READ MORE

BAADA YA NDINGA, MAUA: MASHABIKI WAMENIPA KIWANJA

BAADA ya kufunga mwaka vizuri na Ngoma ya Iokote na kufanikiwa kuvuta ndinga aina ya Toyota RAV4, staa wa Bongo...

READ MORE

KIMENUKA! NDOA YA PILI YA SIRI YA Z-ANTO MAJANGA YAMKUTA

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Ally Mohamed Ahmad ‘Z-Anto’ hivi karibuni alikwaa skendo baa­da ya kudaiwa kuoa mke mwingine (wa pili)...

READ MORE

Zanzibar Yatwaa Tuzo Bab’Kubwa Tamasha la Filamu la Golden Globes 2019

  FILAMU ya Bohemian Rhapsody inayohusu maisha ya muimbaji kinara wa bendi ya Queen ya Uingereza, Freddie Mercury,  ambaye ni...

READ MORE

Lulu Atangaza Kugawa Nguo Zake Zote

STAA wa Filamu Bongo, Elizabetha Michael ‘Lulu’ amepanga kugawa nguo zake ingawa bado hajaeleza sababu ya kufanya ni hivyo. Mrembo...

READ MORE

SURA 3 ZA ‘MISAMBWANDA’ YA MASTAA WA KIKE BONGO!

SIKU moja alifika staa mmoja wa kike katika ofisi zetu kwa lengo la kufanyiwa mahojiano. Ni staa mkubwa tu wa...

READ MORE

RUBANI AJITOSA KUMUOA WEMA!

UKISIKIA neno “Zali la Mentali 2019”, maana yake bahati ya mwaka iliyoje; sasa usiishie hapo ipeleke kwa staa wa filamu...

READ MORE

Kigogo anayempa jeuri ya pesa Uwoya Huyu Hapa!

BAADA ya swali la wapi anapo­toa jeuri ya fedha muigizaji Irene Uwoya kugonga vichwa vya watu wengi kwa muda mrefu,...

READ MORE

UWOYA: NAPENDA MWANANGU ANIRITHI UPENDO NA KUJALI WATU

MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu, mimi hapa niko mzima lakini pia najua wazi nawe msomaji wangu uko poa, spidi yangu...

READ MORE

Sasha ajitapa kununuliwa gari na waziri

DAR ES SALAAM: Vid­eo Queen asiyeishiwa vituko Bongo, Sasha Kassim ameibuka na jipya baada ya kujitapa kuwa amenunuliwa gari na...

READ MORE

Darleen: Nilikuwa Chauroho Ile Mbaya

IMEFUNUKA! Ndivyo ambavyo un­aweza kusema baada ya mwanamuziki kuto­ka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ ku­funguka...

READ MORE

SHAMSA FORD ‘ASTAAFU’

MSANII wa filamu Bongo, Shamsa Ford amedai kuwa mwaka huu ni mwaka wake wa kustaafu kuvaa nguo za vimini kwani...

READ MORE

Jay Z, Gaga Miongoni Mwa Waliosusia Filamu ya R. Kelly

  Jay z na Lady Gaga ni mongoni mwa wanamuziki maarufu ambao walikataa kuonekana katika filamu inayoonyesha maisha halisi ya...

READ MORE

Siri ya Bata la Davina na Aunt Dubai Hii Hapa

STAA wa filamu za Kibongo, Halima Yahaya ‘Davina’ baada ya kuonekana akila bata za mwisho wa mwaka kule Dubai akiwa...

READ MORE

Uongozi Wakanusha Taarifa za Kifo cha Ommy Dimpoz

Uongozi wa mwanamuziki Omary Faraji Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz umekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa msanii huyo amefariki dunia....

READ MORE

NDOA YAKE NA DIAMONDI, TANASHA AANIKA KUFURU YAKE! 

DAR ES SALAAM: Mambo yameiva! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia ndoa ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kubakiza...

READ MORE

Saa9 Usiku…Bata la MOBETO, mama’ke acha kabisa

DAR ES SALAAM: Fedha inaongea! Wakati watu wengine wakilia ukata, mwanamitindo wa Bongo, Hamisa Mobeto na mama’ke, Shufaa Rutiginga wamenaswa...

READ MORE

MUNGU KAWANUSURU KIFO MASTAA HAWA 2018!

“NANI kauona mwaka, tunamaliza mwaka, ni majaliwa yake Mungu kuuona mwaka! “Ingawa kuishi ni bahati na kufa ni lazima kwetu...

READ MORE

MADEE HACHUKII CHONGE KUFANANISHWA NA MAI ZUMO

  MKALI  wa  Bongo Fleva, Hamad Ally ‘Madee’ ameweka wazi kwamba hachukii kuona watu wakimfananisha binti yake, Chonge na mchekeshaji...

READ MORE