×

Celebrities

Tetema Yamfikisha Rayvanny Kwenye Record Kubwa Kitaifa

  MSANII Rayvanny toka kundi la Wasafi Cl;assic Baby (WCB) amefanikiwa kufikia rekodi ya juu  baada ya wimbo wake wa...

READ MORE

Dogo Janja Amtambulisha Mpenzi Wake Mpya

  RAPA Dogo Janja amemtambulisha mchumba wake mpya kupitia akaunti yake ya instagram akimtakia heri ya sikuku ya kuzaliwa huku...

READ MORE

SANCHI HANA KOVU KIWEMBE

KWELI? Mrembo ambaye jina lake limesimama kutokana na umbo lake matata, Jane Rimoy ‘Sanchi’ hivi karibuni alionekana akijiachia huku akiwa...

READ MORE

BABA DIAMOND AMEBAKI JINA TU!

MASKINI! Baba mzazi wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Juma kwa mara ya kwanza amefunguka kwamba...

READ MORE

Licha ya Kuandamwa… R KELLY SHOO KAMA KAWA

LICHA ya sakata lake la un­yanyasaji wa mab­inti kingono kuende­lea kuwa juu kila kona, mkongwe wa R&B, R Kelly, ameibuka...

READ MORE

MADAI YA KUVUTA BANGI, KUONDOKA WCB…. HARMONIZE ABANWA!

DAR ES SALAAM: Baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuagiza staa wa Bongo Fleva kutoka...

READ MORE

POSHY ATOA SIRI YA KUOGOPWA NA WANAUME

MREMBO ambaye ametengeza jina lake kupitia umbo lake ‘matata’, Jacqueline Obed ‘Poshy Queen’ amefunguka kuwa, moja ya silaha kubwa ya...

READ MORE

MLELA: KUZAA NA MWANAMKE SIYO KUOA

BAADA ya hivi karibuni kuposti picha akiwa na mpenzi mpya mbali na aliyezaa naye anayejulikana na wengi, mwigizaji anayefanya poa...

READ MORE

FAHYMA AFUNGUKIA KUKAA UTUPU

MZAZI mwenza wa mkali wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Fahyma ‘Mama Jaydan’...

READ MORE

KWA NINI TANASHA HAKUBALIKI KWA MONDI?

JARIBIO halipo mbali. Halichukui muda mrefu sana kutoa majibu. Cha kufanya, chukua picha kali ya mrembo Tanasha Donna. Hakikisha ina...

READ MORE

DIMPOIZ: ‘NILIKULA SUMU’ USAHA ULIKARIBIA KWENYE MAINI

MSANII wa Bongo Fleva, Omary Nyembo maarufu kama Ommy DImpoz amefunguka A-Z kuhusu ugonjwa wake wa koo ulivyokuwa ukimsumbua na...

READ MORE

MASTAA BONGO WAANDISHI WA HABARI KUTEMBELEA MRADI WA SGR

WASANII fani mbalimbali wamekutana na waandishi wa habari tarayi kwa ziara maalum ya kutembelea mradi mkubwa wa reli ya kisasa...

READ MORE

SHINDANO YA VIPAJI DUCE: ‘INJINIA SOOOMA HIYOOO!”

WANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Kampasi ya DUCE, wikiendi iliyopita walifanya tamasha la nguvu la kuonyesha...

READ MORE

MNAOSTAAJABU YA WEMA, ACHA NIWAKUMBUSHE YA GIGY!

NAJARIBU kuvuta picha siku ya kwanza kabisa kukutana na mwanadada anayefanya fresh kwenye game la muziki Bongo. Huyu si mwingine...

READ MORE

SOKO LA MASTAA WA KIKE BONGO KUHAMIA DUBAI…SIRI YAFICHUKA!

IMEFICHUKA! Baada ya awali mastaa wengi Bongo kuonekana kukimbilia sana nchini China, Ijumaa Wik­ienda limebaini kuwa kwa sasa mastaa wengi...

READ MORE

DARASA AONYESHA JEURI YA PESA

WAKATI mta­zamo wa baadhi ya watu wakiamini kuwa Muziki wa Hip Hop Bongo haulipi kivile, hali imekuwa tofauti kwa staa...

READ MORE

Harmonize Amjibu Makonda Kuhusu Bangi: “Manara Ndo Awekwe Ndani”

MSANII wa muziki kutoka WCB, Harmonize amejibu tuhuma iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwamba huwenda akawa...

READ MORE

WEMA AIBUA JIPYA ISHU YA KUKONDEANA KWAKE ‘SIJAKATWA UTUMBO’

STAA mwenye nyota kali Bongo Muvi, Wema Sepetu ameibua jipya kuhusiana na ishu yake ya kukonda ambapo ameamua kufunguka kuwa,...

READ MORE

MIKE: SINA HAMU NA NDOA, IMENIKINAHI

MUIGIZAJI wa muda mrefu kwenye tasnia ya filamu Bongo, Mike Sangu amesema kuwa sio kwamba haoni wanawake wa kuoa tangu...

READ MORE

OMMY DIMPOZ AREJEA NCHINI, ASIMULIA ‘KIFO’ CHAKE

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz amerejea nchini akitokea kwenye matibabu yake baada ya kuugua kwa muda mrefu...

READ MORE

MASTAA WAMPONGEZA SHEMEJI YAO UCHEBE!

MASTAA wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’, Steven Mengele ‘Nyerere’ na Single Mtambalike ‘Richie’ wamem­pongeza shemeji yao, mume wa msanii...

READ MORE

LYNN ALIKUWA NA KATABIA KA’ UDOKOZI! IMEFUNUKA

MUUZA nyago maarufu Bongo, Irene Godfrey ‘Lynn’ amefunua jinsi alivyokuwa anapen­da kula maziwa ya unga kiasi kwamba alikuwa anadiriki kudokoa...

READ MORE

Suzy Asherehekea Birthday Kimaajabu (Picha +Video)

  MTANGAZAJI wa kituo cha EATV, Suzane Benard ‘Suzy’ jana asubuhi amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kimaajabu ambapo amejichanganya na...

READ MORE

HUKU AKIWA WANTED BONGO…PCK WA WEMA AHAMIA KWA ZARI

MSHTUKO! Huku akiwa anasakwa na Jeshi la Polisi (wanted) Tanzania, chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva, Patrick Christopher ‘PCK’ ambaye...

READ MORE

KESHO BONGE LA COMEDY, NYERERE, JK, MC PILIPILI, BLACK PASS NDANI

Kiongozi wa Kundi la Chekelea Stand Up Comedy, Oscar Luambano a.k.a Oscar Nyerere akizungumza na wanahabari kwenye Hoteli ya Kebbys...

READ MORE

ARISTOTE AFUNGUKIA BIFU LAKE NA UWOYA

SIKU chache baada ya habari kusambaa mitandaoni kuwa ana bifu kali na msanii wa filamu Bongo, Irene Uwoya huku chanzo...

READ MORE

IJUE SIRI YA MASTAA HAWA BONGO KUTOBOA KIMATAIIFA

YAWEZEKANA kabisa wewe ni msanii chipukizi au msanii mkubwa Bongo unayetamani siku moja uweze kutambulika kimataifa, lakini hujui wapi pa...

READ MORE

Suzy kutoa sapraiz kwa wafanya usafi barabarani

SUZANE Benard ‘Suzy’ ambaye ni mtangazaji wa EATV leo (Jumamosi) anatarajia kutoa sapraiz kwa wanawake wanaofanya usafi barabarani ikiwa ni...

READ MORE

Asha Baraka awachamba Wakongo msibani

Mkurugenzi wa African Stars Entertainment (ASET), Asha Baraka amegeuka mwiba mkali kwa kuwachamba wanamuziki Raia wa DR Congo wanaofanya shughuli...

READ MORE

Mo J atangaza ndoa na Gigy Money

LICHA ya penzi lao kuwa na migogoro kila wakati, mtangazaji wa Choice FM, Mourad Alpha ‘Mo J’ ameibuka na kutangaza...

READ MORE

KUKAA NUSU UTUPU WAACHIE KINA GIGY

Makala: Sifael Paul KIPINDI cha miaka ya nyuma uliibuka mtindo fulani wa baadhi ya wanamuziki wa kike waliokuwa wanachipukia nchini...

READ MORE

Baba, Mama Nandy Niliumia Sana, Akirudia Nitakufa! – Video

Ukitaja wasanii ambao wanafanya vizuri kwa upande wa wanawake hutoacha kulitaja jina la Nandy ambaye kwa sasa anatamba na kibao...

READ MORE

JIDE YAMKUTA YA GIGY MONEY

DAR ES SALAAM: BAADA ya kutupia picha zake tata mtandaoni, mkongwe wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Jide’ yamemkuta majanga yaliyowahi...

READ MORE

MAMBO 5 YA JOKATE; FUNDISHO KWA MASTAA BONGO!

MJASIRIAMALI mashuhuri nchini Marekani, Warren Buffett amewahi kusema; tofauti kati ya watu wenye mafanikio na watu wenye mafanikio zaidi ni...

READ MORE

ESMA: KUACHWA HAKUJAMFANYA ASHINDWE MAISHA

HAJACHINA! Esma Khan ambaye ni dada wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Mondi’ ameweka wazi kuwa kuachika kwake kwenye...

READ MORE

FAIZA AKIPATA UKIMWI MAMBO HADHARANI

KAZI kwelikweli! Staa asiyeishiwa vituko kunako Bongo Movies, Faiza Ally, amefunguka kuwa endapo itatokea bahati mbaya akakwaa ugonjwa wa Ukimwi...

READ MORE

ZARI AWAUMBUA TANASHA NA SHILOLE

DAR ES SALAAM: Mchumba wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch ameendelea kutengeneza vichwa vya habari Bongo, Amani...

READ MORE

Makonda ‘AAGIZA’ Harmonize Akamatwe “Akirudi Tu Jela” – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda ameagiza vyombo vya usalama kumchunguza msanii Harmonize kama anatumia bangi au...

READ MORE

MAKONDA: JB KAMA UNATAKA ‘PRIVACY’ KAZUNGUMZE NA MKEO – VIDEO

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, leo januari 31, amekutana na wasanii kutoka katika tasnia zote nchini...

READ MORE

KILICHOTOKEA MBELE YA MAKONDA, SHEHE MKUU AMLIPUA DIAMOND

DAR ES SALAAM: Kufuatia kilichojiri ukumbini usiku wa kuamkia juzi Jumatatu, Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad...

READ MORE