×

Celebrities

Gomez Avunja Rekodi ya Beyonce Katika Instagram kwa Picha Yake

MWIMBAJI na mwigizaji wa Marekani, Selena Gomez, alisherehekea siku ya kuzaliwa kwake juzi (Jumatatu) kwa kuvunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na...

READ MORE

KEISHA: NINAMUDU MUZIKI NA SIASA

MWANAMAMA mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Khadija Shaban Taya ‘Keisha’ amefunguka kuwa kuna ugumu wa kufanya muziki na siasa...

READ MORE

MIKE AMRUHUSU THEA KUOLEWA

BAADA ya hivi karibuni msanii wa filamu, Ndum­bagwe Misayo ‘Thea’ kufunguka kuwa ana mpango wa kubeba mimba ya mwanaume mwingine...

READ MORE

KABULA: SINA KINYONGO, ACHA ZABIBU AOLEWE

MSANII wa filamu za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ ameibuka na kusema hana kinyongo na mdogo wa mwanamuziki Ally Salehe...

READ MORE

Harmonize Awafungukia ‘Mapacha Wake’, Harmorapa & Harmo Junior

MSANII wa Biongo Fleva kutoka Wasafi ‘WCB’, Harmonize ameibuka na kuwapost Harmorapa na Harmo Junior ambao wanafanana naye kwa sura...

READ MORE

Mastaa Waliopata Umaarufu kwa Sehemu za Miili Yao

  Kivutio cha mwanamitindo na mwigizaji Cara Delevigne, ni nyusi zake. Mtangazaji wa televisheni, Kim Kardashian, kivutio chake ni makalio...

READ MORE

WASTARA HALI TETE TENA !

LICHA ya Februari, mwaka huu kupatiwa matibabu nchini India, bado hali ya staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ni...

READ MORE

BILL NAS ASHINDWA KUPATA MBADALA WA NANDY

HITMAKER wa Ngoma ya Labda, William Lyimo ‘Bill Nas’ amefunguka kwamba anatamani sana kuwa kwenye uhusiano lakini kinachomfanya mpaka sasa...

READ MORE

UWOYA, MOBETO SAWA! WENGINE JE?

LIKO wazi kwamba siku hizi imekuwa kama fasheni kwa mastaa Bongo hata wasio mastaa kupiga picha za utupu na kuposti...

READ MORE

LULU DIVA AWEKA WAZI KILICHOBADILI MAISHA YAKE

MWANADADA Lulu Abass ‘Lulu Diva’ amebonga kwamba miongoni mwa vitu vilivyombadilisha maisha yake hasa kwenye gemu la Muziki ni wimbo...

READ MORE

DIA MOND ACHARUKIA USHOGA!

KUFUATIA kusambaa kwa picha zikimuonesha akiwa ametinga kikuku mguuni kisha kushambuliwa akihusishwa na skendo ya ushoga, hatimaye staa wa Afro-Pop,...

READ MORE

WEMA UBUNGE ND’O BASI TENA!

DAR: Hatma ya staa wa filamu Bongo, Wema Isac Sepetu katika midani za siasa nchini, imeingia dosari kutokana na hukumu...

READ MORE

WIMBO MPYA: Rich Mavoko – Happy

  MSANII wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi (WCB), Rich Mavoko ameachia audio ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa...

READ MORE

NAKAAYA SUMARI ATOBOA SIRI YA KUPIGA CHINI MUZIKI

WIMBO wa Mr Politician ulimtambulisha vyema mwanamuziki Nakaaya Sumari ‘Nakaaya’ kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva. Nakaaya ambaye ni...

READ MORE

G Nako: Siwezi Kuua Muziki Wangu

MKALI kwenye gemu la Muziki wa Hip Hop Bongo, George Sixtus Mdemu ‘G Nako’ amefunguka kwamba madai ya mashabiki zake...

READ MORE

Bella Aacha Kichanga, Aponda Raha Zenji!

UBUYU mtamu ukiumung’unya tu mdomoni unajitanabaisha wenyewe hasa ukiumung’unya ukiwa umepikwa Kipwanipwani, ndiyo unanoga zaidi! Sasa ubuyu ukufikie kuwa, mwigizaji...

READ MORE

Kassim Mganga Amrudisha Keisha

MKONGWE kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Khadija Shabani Taya maarufu kwa jina la Keisha, amefunguka kuwa amerudi upya...

READ MORE

Peter Msechu Anusurika Kifo

MSANII anayebamba na kava ya Ngoma ya Sitabaki Nilivyo iliyoimbwa na Joel Lwaga, Peter Msechu ameweka wazi kwamba amenusurika kupoteza...

READ MORE

‘KIKUKU’ CHA DIAMOND NA USHONGA KWA VIJANA WETU !

MIAKA ya nyuma kidogo, mtoto wa kiume akionekana anafanya mambo ambayo yamezoeleka kufanywa na watoto wa kike, wazazi walikuwa wakiumia...

READ MORE

Shilole – Mchaka Mchaka (Oficial Video)

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameachia Video ya Wimbo wake mpya ambao ameupa jina la Mchaka Mchaka, ambao...

READ MORE

LUNGI ANUSURIKA KUCHINJWA

DAR ES SALAAM: Msanii wa filamu Bongo, Lungi Maulanga hivi karibuni alionja joto ya jiwa baada ya kuvamiwa nyumbani kwake...

READ MORE

SKENDO YA PENZI NA DIAMOND… NDOA YA MTANGAZAJI KIMENUKA!

DAR ES SALAAM: KIMENUKA! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia, ndoa ya Mtangazaji wa Kipindi cha Profile and Style kinachorushwa kupitia Televisheni...

READ MORE

Mobetto Ajuta Kuweka Picha Zake Chafu Mitandaoni – Video

IKIWA ni saa chache baada ya wafanyabiashara za mitindo na wasanii wa Bongo Movies, Hamissa Mobetto na Irene Uwoye kuwajibishwa...

READ MORE

Steve Amjibu Muna, ‘Usipomwamini Mungu Utamwamini Shetani’ – Video

Kufuatia mkutano alioufanya muigizaji Muna Love na waandishi wa habari hapo jana na katika maelezo yake akaanika sauti ya muigizaji...

READ MORE

Mbappe: ‘Jiwe Walilolikataa Cameroon’ Limekuwa Jiwe Kuu la Ufaransa

Kylian Mbappe na baba yake, Wilfried Mbappe. NYOTA wa Kombe la Dunia ambaye ni mchezaji wa timu ya taifa ya...

READ MORE

KAJALA ACHARUKA MWANAYE KUKUZWA UMRI

MSANII mwenye mvuto wa aina yake Bongo Muvi, Kajala Masanja amesema hana muda wa kubishana na watu wa mitandaoni kuhusu...

READ MORE

RAY: NISINGEFANANA NA JADEN, NINGEPATA TABU SANA!

LEGENDARI wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amefunguka kuwa asingefanana na mwanaye aitwaye Jaden, angetukanwa sana.Akizungumza na Amani juzikati,...

READ MORE

ROSE NDAUKA ACHOMOA KUBANJUKA NA DJ OMMY

MSANII wa filamu Bongo ambaye amepotea kwenye ‘media’ kwa kipindi kirefu, Rose Ndauka amefunguka juu ya tetesi zinazoenea mitandaoni kuhusu...

READ MORE

VIATU VYAMUUMBUA WEMA STEJINI

STAA wa filamu Bongo, Wema Sepetu ametengeneza kichwa cha habari mjini Morogoro baada ya juzikati kujikuta akiumbuka kufuatia viatu alivyokuwa...

READ MORE

Muna Amkana Steve Nyerere, Aanika Sauti Zake – Video

Muigizaji maarufu Bongo, Muna Love ameanika wazi maongezi yake aliyozungumza na muigizaji mwenzake, Steve Nyerere wakati alipokuwa Kenya akishughulika kusafirisha...

READ MORE

MUNA: Peter Muongo, Nyumba ni Yangu, Hajaninunulia Gari – Video

MUIGIZAJI kutoka kiwanda cha Bongo Muvi, rose Alphonce ‘Muna Love’ katika mkutano aliofanya leo na waandishi wa habari ameweka wazi...

READ MORE

MUNA: Peter Anajua Patrick Siyo Mtoto Wake ni wa Casto- Video

Muigiza Maarufu Bongo, Muna Love, amezungumza na waandishi wa habari leo nyumbani kwake maeneo ya Mbezi jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Beyonce Aficha Ujauzito Wake, Avaa T-Shirt Kubwa

  MWIMBAJI Beyonce jana alionekana akiwa amevaa kikaptura cha jeans na T-shirt kubwa na pana ambapo mashabiki waliomwoma jijini Nice,...

READ MORE

BREAKING: MUNA LOVE Afunguka Yote Kifo cha Patrick – Video

Ikiwa zimepita wiki mbili tangu mtoto wa Muigizaji Muna Love anayeitwa Patrick azikwe katika makaburi ya Kinondoni na kifo chake...

READ MORE

Waraka wa Gigy Money kwa Wanaotembea na Waume za Watu

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Model na mtangazi, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amewageuka wanawake wanaotembea na waume za watu huku akionyeshwa...

READ MORE

Wema, Diamond Watoa Neno Makonda Kupata Mtoto

STAA wa Bongo Fleva Diamond Platinumz na aliyewahi kuwa mpenzi wake ambaye pia ni Malkia wa Bongo movies, Wema Sepetu...

READ MORE

KWA HILI LA MAKOSA YA MTANDAO; MASTAA MTAPATA TABU SANA

KILA kukicha, wapo mastaa ambao wamekuwa wakijiachia kihasara mitandaoni bila kujali kwamba wanaenda kinyume na maadili ya Kitanzania na wao...

READ MORE

NISHA, SISTER FAY; KIKI ZA KISHAMBA HAZIKIKI

KWENU mastaa wawili, Salma Jabu ‘Nisha’ na Faiza Omary ‘Sister Fay’, habari zenu? Mkitaka kujua hali yangu, mimi sijambo. Hofu...

READ MORE

Mashabiki wa Soka Waipokea Timu ya Ufaransa Kifalme

MASHABIKI wa soka walijipanga katika mtaa mashuhuri jijini Paris uitwao Champs-Elysees jana na kuipokea kifalme timu ya soka ya nchi...

READ MORE