×

Celebrities

Wolper Asarenda kwa Wanaume

MKALI wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe amesarenda na kufunguka kuwa, mwanamke yeyote ni vyema akajituma kwa sababu hakuna mwanaume...

READ MORE

MUNA LOVE: HATA UNGEKUWA WEWE UNGEOKOKA TU!

SUALA la wasanii na watu maarufu kutangaza kuacha maovu na kumrudia muumba wao si geni. Kwa hapa Bongo wapo wengi...

READ MORE

MAMA KANUMBA YEYE NA MZUNGU TU!

KUTOKANA na hali ngumu ya maisha hivi sasa, mama mzazi wa aliyekuwa mwigizaji mahiri wa Bongo, marehemu Steven Kanumba, Flora...

READ MORE

Esma: Akiolewa Wema Itakuwa Poa

MWANADA-SHOSTI ambaye ni dada wa staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Esma Khan ‘Esma Platnumz’ amefunguka kuwa, kama kaka...

READ MORE

LULU DIVA ETI HAJUI MUZIKI? MSIKIE!

MWANADADA anayetamba kwa sasa na ngoma ya Homa, Lulu Diva, amefunguka kwamba ingawa kuna baadhi ya watu wanadai kwamba hajui...

READ MORE

AUNTY AFUNGUKA KUAZIMANA NGUO NA WEMA

STAA wa filamu za Kibongo, Aunty Ezekiel amefungukia madai ya kuvaliana nguo na rafiki yake Wema Sepetu na kusema kuwa,...

READ MORE

JIPU PWAAA! Siri mpya Diamond kutembea na Mastaa 17 Yafichuka!

JIPU pwaa! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kuvuja kwa siri inayodaiwa kuwa ndiyo chimbuko la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

Chege Atoa Siri Alivyomnasa Saida Karoli

UNAWEZA kujiuliza alifikiria nini mwanamuziki mkongwe katika gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Said Chigunda ‘Chegge’ mpaka kumshirikisha mkongwe mwenziye...

READ MORE

Hivi Ndivyo Jokate Alivyoonja Chungu, Tamu ya Maisha!

WIKI hii ilikuwa moto kwelikweli Bongo, matukio mengi ya kitaifa na ya kiburudani yalitrend lakini miongoni mwayo ni lile la...

READ MORE

Esma Afungukia Busu Tata Alilopigwa na Wema

DADA wa mwanamuziki maarufu wa Afro- Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Esma Abdul amefungukia busu alilopigwa na staa wa filamu ambaye...

READ MORE

SERENA WILLIAM; TUZO NA MAFANIKIO YAKE HAVIKUTOKEA KAMA AJALI

NI mcheza tenesi wa kimataifa kutoka Marekani, anashika namba moja duniani kwa upande wa wanawake na anatajwa kuwa mcheza tenesi...

READ MORE

Nisha; Sarakasi Hizo Waachie Watoto

UKISEMA uzungumzie mion­goni mwa wasanii wa Bongo Movie warembo yaani ‘visu’ kwelikweli huwezi kuliacha jina la Nisha japo jina halisi...

READ MORE

Ray, JB kupima uzito kesho kabla ya kupasuana

WAKALI  wa filamu nchini,  Vicent Kigosi ‘Ray’ na  Jacob  Stephen ‘JB’  wanatarajia kupima uzito kesho Jumamosi tayari kwa pambano lao...

READ MORE

KWA HATUA HII.. NDOTO ZA BABA D KWA WEMA ZITATIMIA SOON!

  AWALI ya yote nikiri tu kwamba, mimi ni kati ya watu ambao walitokea kuipenda sana ‘kapo’ ya mwanamuziki Nasibu...

READ MORE

FA, JIDE KUWEKA HESHIMA JUKWAA MOJA

BAADA ya kutofautiana kwa takribani miaka mitano, wakongwe kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ pamoja na Hamis...

READ MORE

COMPLEX, VIVIAN WAWAPONGEZA WAKONGWE KUOA

  MUZIKI mnene unapiga, sijui hata ni muziki gani. Macho yangu yanagongana na jumba moja kubwa ambalo lina watu wamevaa...

READ MORE

PROFESSOR JAY: ‘MADINGI’ WAPUNGUE BASATA – VIDEO

  LEGENDARI, Joseph Haule ‘Professor Jay’ au Mgodi Unaotembea, kama ambavyo anapenda kujiita ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi, mkoani...

READ MORE

NORAH: NAMZIMIA KWELI GABO!

MKONGWE wa sinema za Kibongo, Nuru Nasoro ‘Norah’ amesema kati ya waigizaji wa kiume anaowakubali kutoka Bongo Movies ni muigizaji...

READ MORE

SASHA ATUPA DONGO MASTAA KUTELEKEZA WAZAZI

MUUZA nyago mwenye umbo matata Bongo, Sasha Kassim amewaonya wasanii ambao wamekuwa wakitelekeza familia zao sababu ya umaarufu walionao na...

READ MORE

Beka Atoboa Sababu za Kuisusa Bongo Fleva

“WEWE ndiyo nyota yangu kama TID, nikikuudhi usinikimbie kama Amini, natumaini utanielewa zaidi ya yule Becka, nikikuudhi nitakubembeleza kama Barnaba...

READ MORE

Sister Fay Aichokonoa Serikali

LICHA ya baadhi ya wasanii kufungiwa nyimbo na wengine kutofanya sanaa kutokana na kwenda kinyume na maadili, msanii wa filamu...

READ MORE

BATULI Kuirudisha Heshima ya Bongo Muvi

Yobnesh Yusuf ‘Batuli’   STAA wa filamu Bongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ ameibuka na kueleza kuwa, licha ya tasnia ya filamu...

READ MORE

Profesa Jay na Sababu za Kuacha Muziki

WANAMUZIKI ambaye pia ni Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule ‘Professor Jay, amefunguka kuwa hataacha muziki kamwe, kwani kufanya hivyo ni...

READ MORE

KUTUMBULIWA KWA JOKATE UVCCM… WEMA ATAJWA!

  BAADA ya wikiendi iliyopita aliyekuwa Kaimu Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama...

READ MORE

Harusi bab’kubwa ya binti wa DANGOTE…BAJETI YA ZUA GUMZO

BAJETI ya harusi ya kifahari ya binti wa bilionea namba moja Afrika kutoka nchini Nigeria, Alhaji Aliko Dangote aitwaye Fatima...

READ MORE

ISABELA MPANDA AJIFUNGUA KIDUME

MSANII maarufu wa Bongo Movies, Isabela Mpanda amejifungua salama leo Machi 28, 2018 mtoto wa kiume. Kupitia ukurasa wake wa...

READ MORE

MZIWANDA AANIKA MJENGO WAKE, ATUPA DONGO WANAOMKEJELI

MSANII wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ameonekana kukerwa na baadhi ya Watanzania ambao wamekuwa wakidai kuwa amefulia tangu aachane na...

READ MORE

ZARI ALAMBA SHAVU KAMPUNI YA BONGO, AGOMA KUMZUNGUMZIA DIAMOND

MPENZI wa zamani wa mwanamuziki Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ leo amesaini mkataba na kuwa balozi wa Kampuni...

READ MORE

BASATA Yakanusha Kuzifungulia Nyimbo Mbili za Diamond

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limesema nyimbo mbili za Diamond, hazijafunguliwa kama inavyodhaniwa. Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Godfrey...

READ MORE

Lulu Diva Kumleta Cardi B Bongo

MWANAMUZIKI wa kike anayefanya poa na ngoma yake ya Homa, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa kwa sasa muziki umerudi...

READ MORE

Linex afungukia kupotezwa na ulevi

MSANII wa Bongo Fleva, Sunday Mangu ‘Linex’, ameibuka na kufungukia tetesi zinazozagaa dhidi yake kuwa ulevi ndiyo umempoteza kimuziki na...

READ MORE

Timbulo: Sihofii Kufungiwa Muziki

LICHA ya baadhi ya wanamuziki kufungiwa nyimbo zao na serikali kutokana na kuwa kinyume na maadili, msanii wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Dullah Makabila Amweka Matatani Tiko

BAADA ya habari na picha za msanii wa muziki wa Singeli, Dullah Makabila na msanii wa filamu Bongo, Tiko Hassan...

READ MORE

Nabii Mtoto Asema Hajafungiwa Huduma

  KIONGOZI wa Kanisa la Bethel Ministry nchini,Nabii Daniel Daniel Shilla anayedaiwa ana utajiri mkubwa wa fedha ambaye habari zilienea...

READ MORE

Dogo Janja: Sikuiogopa Basata!

ZIKIWA zimepita wiki mbili tangu aachie video ya ngoma yake ya Wayu Wayu, mkali wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chende ‘Dogo...

READ MORE

Maua Sama Ataja Mwaka wa Kuolewa

  MKALI mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni, Maua Sama kwa mara ya kwanza ametaja mwaka wa kuolewa kuwa mambo...

READ MORE

MREMBO AANIKA SIRI ZAKE NA DIAMOND!

SIKU chache baada ya mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ kutangaza kufunga ndoa Juni, mwaka huu, mrembo Rehema...

READ MORE

Undani wa Nisha Kumpora Bwana wa Wolper

HIVI unajua kuwa ubuyu nao una viwango vyake? Kuna ubuyu ambao ukiula unauchubua mdomo tu na kuna ule wa baba...

READ MORE

MADAI YA KUTELEKEZA MTOTO, FAMILIA YA KIBA YATAKA DNA

  DAR ES SALAAM: Wakati sakata la kudaiwa kutelekeza mtoto likishika kasi mitandaoni, familia ya mkali wa Bongo Fleva, Ali...

READ MORE

MAHAKAMA KUKUBALI OMBI LAO… FAMILIA YA BABU SEYA YAFUNGUKA!

  FAMILIA ya Nguza Viking Mbangu, ‘Babu Seya’, imefunguka kuwa baada ya Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR)...

READ MORE