×

Celebrities

Brandy aulalamikia mkataba wa kitumwa!!

Mwanamuziki Brandy Rayana Norwood ‘Brandy’ ameulalamikia mkataba aliosainishwa na Kampuni ya Chameleon Entertainment akiuita kuwa ni wa kitumwa na yuko...

READ MORE

Ferooz awapotezea mademu mastaa

Na Gabriel Ng’osha Kumbe eeh! Msanii wa ‘long time kitambo’ Ferooz Mrisho amefunguka kuwa hawezi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi...

READ MORE

Banana aanika siri ya kupotea kwake

Na Boniphace Ngumije MKALI katika gemu la muziki Bongo, Banana Zorro amesema kuwa kujitenga na masuala ya skendo ndiko kumemfanya...

READ MORE

Amber Lulu; Kama ana ngoma, watakufa wengi

Stori: Hamida Hassan, Ijumaa Dar es Salaam: Video Queen anayekuja kwa kasi Bongo, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ anadaiwa kuwa na...

READ MORE

Mama Mobeto amaindi mwanaye kutukanwa

Na Imelda Mtema MAMA mzazi wa mwanamitindo ‘hot’ Bongo, Hamisa Mobeto, Shufaa Lutigunga kwa mara ya kwanza anatengeneza ‘headline’ baada...

READ MORE

Baby Madaha: Hatukurupuki, tunafanya kweli

Na Hamida Hassan Mwanadada anayeunda Kundi la Scorpion Girls, Baby Madaha amefunguka kuwa, yeye na wenzake Isabela Mpanda na Jini...

READ MORE

Mama Kubwa: Figa Yangu Imenipa Ustaa Wa Fasta

Na Imelda Mtema MSANII nyota wa tamthiliya ya Mama Kubwa inayorushwa hewani kupitia Televisheni ya ITV, Miriam Ismail amesema kuwa,...

READ MORE

Kiba akataa saluti ya Diamond!

Musa Mateja, Risasi Rumamosi Dar es Salaam: Zile habari njema kuwa bifu lililofukuta kwa muda mrefu kati ya mastaa wawili...

READ MORE

Lady Gaga na Taylor Kinney watengana!

Marekani Mwanamuziki na mwigizaji mashuhuri kutoka Marekani Lady Gaga amefichua kwamba yeye na mchumba wake “wametengana” kwa muda. Hii imedhihiisha...

READ MORE

Davido Ammwagia Sifa Baba’ke Kwa Kufadhili Wanafunzi

MWANAMUZIKI Davido wa Nigeria, amemmwagia sifa kedekede baba yake kwa kufadhili masomo ya chuo kikuu kwa wanafunzi wapatao 100 ambao...

READ MORE

Linex amfungukia video queen wake!

Erycah IMELDA MTEMA STAA wa Bongo Fleva anayetikisa na Ngoma ya Hewala, Sunday Mangu ‘Linex’ kwa mara ya kwanza amemfungukia...

READ MORE

Gigy atokwa povu kisa Nay kumwambia anajiuza

MAYASA MARIWATA MUUZA nyago mwenye vituko Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amejikuta akitokwa povu baada ya kubanwa maswali kuhusu staa...

READ MORE

Chris Brown, Tylor Swift bifu jipya!

Chris Brown STAA wa POP kutoka Marekani, Christopher Maurice ‘Chris Brown’ ameibuka na bifu jipya baada ya kujibu shutuma za...

READ MORE

Kumbe Joh bonge la dairekta

STAA wa Hip Hop Bongo, John Simon Mseke ‘Joh Makini’ ameonesha kuwa anaweza kazi ya udairekta baada ya kufungukia ngoma...

READ MORE

Skaina: Sitaki kuolewa tena

Imelda Mtema STAA wa filamu Bongo, Skyner Ally ‘Skaina’ amefunguka kuwa hahitaji kuolewa tena wala kusikia kitu kinachoitwa ndoa katika...

READ MORE

Wema: Licha ya kuniacha, nitazaa na Idris

Idris Sultan na Wema Sepetu Imelda Mtema LICHA ya madai kuwa wapenzi wawili, Idris Sultan na Wema Sepetu wamemwagana, muigizaji...

READ MORE

Ester Kiama ajutia uigizaji

Imelda Mtema MSANII kutoka Bongo Muvi, Ester Kiama amesema anajutia kujiingiza katika fani hiyo aliyoitamani muda mrefu baada ya kuona...

READ MORE

Nick Dizo ‘Mtendaji’ Nyuma Ya Video Za Hip Hop

Nick Dizo. Makala: Boniphace Ngumije KATIKA nchi ambayo tasnia ya burudani imeshika kasi kuwa na utitiri wa watayarishaji wa muziki...

READ MORE

Kajala: Tunazeeka, hakuna tulichofanya

Kajala Masanja NA IMELDA MTEMA, RISASI Mchanganyiko MMOJA kati waigizaji waliofanikiwa kutengeneza jina katika Bongo Muvi ni Kajala Masanja ambaye...

READ MORE

Yusuf Mlela akiri hana alichopata Bongo Muvi

Stori: Imelda Mtema HUKU kukiwa na madai ya kuporomoka kwa soko la filamu nchini, muigizaji mahiri Yusuf Mlela amekiri kuwa...

READ MORE

Bella kuja na sapraizI Dodoma, Julai 22

KING of The Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ anatarajiwa kuja na bonge la sapraizi katika shoo ya kihistoria itakayofanyika Julai...

READ MORE

Mahakama Yamsaka Meneja wa Diamond ‘Babu Tale’

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa hati ya kukamatwa kwa Hamis Tale ‘Babu Tale,’ ambaye ni meneja wa...

READ MORE

Diamond hongera, lakini umejidhalilisha!

KWAKO King wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Habari za siku ndugu yangu. Vipi familia yako yote haijambo? Ukitaka kunijulia...

READ MORE

Simulizi ya kusikitisha kutengana kwa P Square

Makala: Boniphace Ngumije GUMZO katika media mbalimbali kwa miezi kadhaa sasa ni juu ya kutengana kwa washikaji mapacha Peter na...

READ MORE

Utajiri Tata… Nay wa Mitego akamatwa na polisi!

Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ Stori: Waandishi Wetu, Wikienda DAR ES SALAAM: Kimenuka mbaya! Nyuma ya...

READ MORE

Lamar Odom anaswa na machangudoa

NEW YORK, Marekani BADO skendo zinaendelea kumwandama mume wa zamani wa Khloe Kardashian, Lamar Odom baada ya hivi karibuni kuripotiwa...

READ MORE

Lil Wayne aburuzwa mahakamani

NEW YORK, Marekani MWANAMUZIKI wa Hip Hop, Lil Wayne, amejikuta akiingia matatani baada ya kuburuzwa mahakamani na Kampuni ya American...

READ MORE

50 Cent: Kanye west, Donald Trump ndiyo walewale tu

NEW YORK, Marekani RAPA Curtis Jackson a.k.a 50 Cent akiwa katika mahojiano aliyofanyiwa hivi karibuni, amegusia kuhusiana na hatua ya...

READ MORE

Nido za Kajala zageuka gumzo!

Stori: Musa Mateja na Imelda Mtema, Wikienda DAR ES SALAAM: Staa ‘the big name’ wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja...

READ MORE

Joh Makini Alivyoifungukia… Perfect Combo

John Simon Mseke ‘Joh Makini’. ANDREW CARLOS MTAYARISHAJI, mwongozaji na mwanakatuni maarufu wa Kimarekani, Walter Elias Disney ‘Walt Disney’ aliyewahi...

READ MORE

Wema, Idris wamwagana rasmi

Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Idris Sultan UBUYU: Waandishi Wetu, Wikienda  DAR ES SALAAM: Ubuyu wa motomoto wa mjini ni...

READ MORE

Steve Jobs: Mungu hakuumba maskini, kwa nini wewe ni maskini?

Mafanikio hayawezi kuja wakati umelala. Hutakiwi kuuamini sana msemo wa ‘kulala maskini na kuamka tajiri’. Ili ufanikiwe, unatakiwa ufanye kazi...

READ MORE

Vee Money kuuza albamu mtandaoni

STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amefunguka kuwa albamu yake mpya ya Money Mondays ambayo bado...

READ MORE

Nisha: Majungu, wivu vilinitenga na marafiki

Stori: Hamida Hassan, Wikiend DAR ES SALAAM: Staa wa sinema za vichekesho Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka sababu za yeye...

READ MORE

Siwema: Nay hajanikatisha tamaa ya kuwa na Staa

Stori: Imelda Mtema, Wikienda DAR ES SALAAM: Mrembo aliyezaa na Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema...

READ MORE

Amber Lulu adaiwa kusitiriwa msiba wa mama yake

Stori: Hamida Hassan, Wikienda DAR ES SALAAM: Untold story! Kufuatia nguo zake za vichupi anavyovaa wakati mwingi, video queen maarufu...

READ MORE

Izzo: Mpenzi wangu hahofii ukaribu wangu na Abela

Emmanuel Simwenga ‘Izzo Bizness’ na Abela Kibira ‘Abela Music’. MAKALA: Boniphace Ngumije THE Amaizing ni moja ya makundi ya muziki...

READ MORE

Mwanaheri: Adui yangu mkubwa ni uchafu

Mwigizaji wa Filmu za Bongo, Mwanaheri Ahmed MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu wa Mpaka Home! Baada ya wiki jana kuwa...

READ MORE

Gigy: Bila pesa sitoi penzi

Stori: Boniphace Ngumije Muuza sura kwenye video za Kibongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amefunguka kuwa kutokana na wanaume wengi wakware...

READ MORE

Mo music: kama si ustaa ningeteseka!

Stori: Boniphace Ngumije MKALI wa Muziki wa Bongo Fleva, Moshi Katemi ‘Mo Music’ amesema kuwa kama si ustaa angeteseka sana...

READ MORE