×

Celebrities

Nisha awahofia wakware kwa mwanaye

Stori: Gladness Mallya MSANII anayefanya vizuri katika filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefungukia hofu aliyonayo kwa mwanaye, Ipsium kutokana na...

READ MORE

Tylor Swift, Calvin Harris wabwagana!

NEW YORK, MAREKANI KWISHNEI! Baada ya kuishi kwa muda wa miezi 15 kama wapenzi, hatimaye staa wa Muziki wa Pop,...

READ MORE

Mike: Nitakodi ndege kupeleka mahari ya mrithi wa Thea

STORI: HAMIDA HASSAN, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Mwigizaji wa kiume Bongo, Michael Sangu ‘Mike’ amesema kuwa anatarajia kukodi ndege kwa...

READ MORE

Ukimya wa Odama Wawapa Jibu Mastaa!

STORI: HAMIDA HASSAN, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Staa wa sinema za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa ukimya wake wa...

READ MORE

Meninah Apigwa ndoa ya pili!

Menina ndoa ya pili. ANDREW CARLOS BAADA ya kuachana na mumewe wa kwanza aliyejulikana kwa jina la Abdulkharim Haule, ishu...

READ MORE

Esma: Sishobokei mali za Diamond

Esma Abdulkadiri ‘Esma Platnumz’ STORI: IMELDA MTEMA, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Dada wa Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

Hamisa amlipua Lulu

Hamisa Hassan Mobeto STORI: MWANDISHI WETU, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Mwanamitindo ambaye pia ni video queen maarufu Bongo, Hamisa Hassan...

READ MORE

Baby: Acheni kunichuria, sina mimba!

Na Mwandishi wetu Hivi karibuni zilivuja taarifa kuwa, msanii wa filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ana kibendi ila...

READ MORE

Kim, Kanye ‘Wamsapraiz’John Legend

Kutoka kushoto ni Kim Kardashian, Kanye West, John Legend na Chrissy Teigen. WAFANANAO ndiyo wapendanao! Hili limedhihirishwa na mwanamitindo, Kim...

READ MORE

Caroline: Siwezi kuacha kuwaka

MASTAA wengi kunako kiwanda cha filamu Nollywood imekuwa jambo la kawaida kuwakuta wakiwa katika ngozi ambayo hawakuwa nayo zamani (kujichubua)....

READ MORE

PICHA: Mpenzi Mpya wa Nuh Mziwanda naye ajichora tattoo ya Nuh

Mpenzi mpya wa Nuh Mziwanda akioneshea picha ya tattoo inayoonesha jina la staa huyo. Tattoo aliyekuwa amechora mpenzi wa Nuh...

READ MORE

Chuchu Hans adaiwa kunasa ujauzito

Chuchu Hans. IMELDA MTEMA STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans anadaiwa kunasa ujauzito wa mchumba wake ambaye naye ni staa...

READ MORE

Kajala Amwanika Bwana Mpya!!

Kajala (picha ya kushoto) na mwamme anayedaiwa kuwa bwana wake mpya. Musa Mateja, RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Baada ya...

READ MORE

Bosi wa WhatsApp mwenye somo tamu la utajiri!

BAADA ya makala ya wiki iliyopita tulipomalizia mbinu kumi za kuwa kama tajiri namba moja Afrika, Aliko Dangote, tumejifunza kuwa...

READ MORE

Lulu awapa makavu mastaa wapenda kiki

Elizabeth Michael ‘Lulu’. Stori:Imelda Mtema, RISASI JUMAMOSI STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa mastaa wengi wanapenda...

READ MORE

Drake amvalisha Rihanna pete ya uchumba

Mwanamuziki Robin Rihanna Fenty na rapa Aubrey Drake Graham ‘Drake’ wameingia kwenye vichwa vya habari mitandaoni baada ya Drake kumvalisha...

READ MORE

Aunt: sasa natafuta mapacha

Aunt Ezekiel akiwa na Mose Iyoyo sambamba na mtoto wao, Cookie STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa baada...

READ MORE

Hatari… Kylie anunua na mjengo wa bil. 13

STAA wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kylie Jenner amenunua mjengo mpya pande za Calabas, California wenye thamani...

READ MORE

Lulu Diva amponda Gigy Money

VIDEO queen ambaye pia ni staa wa filamu Bongo, Lulu Abass ‘ Lulu Diva’ amemponda video queen mwenzake, Gift Stanford...

READ MORE

Nay Amnasa Mchumba Mhabeshi

Demu mpya wa Nay wa Mitego, Addi Na Gladness Mallya,RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Miezi michache tu baada ya staa...

READ MORE

Wolper Ahofia Picha Zake za Utupu Kuvuja!!

Jacqueline Wolper. Stori:  Hamida Hassan, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Yamemkuta! Nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper Massawe yuko katika...

READ MORE

Hii ni Ligi… Gardner Agoma Kumuomba Radhi Jide

Mtangazaji wa Clouds FM, Gardner G. Habash kupitia wakili wake, amemjibu aliyekuwa mkewe, Lady Jay Dee, aliyemtaka aombe radhi ndani...

READ MORE

Kisa talaka… Thea, mike wapelekana kanisani

Mike Sangu na aliyekuwa mkewe, Salome Urassa ‘Thea’. Na Hamida Hassan Mastaa wa Filamu Bongo waliokuwa wanandoa, Mike Sangu na...

READ MORE

Rose Ndauka Atoa Siri ya Mambo Yake Kumnyookea

Staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka MKALI wa filamu Bongo, Rose Ndauka ametoa siri ya mambo yake kumnyookea kuwa imetokana...

READ MORE

Nay: Gigy Anatafuta Kiki Kwangu

Staa wa Bongo fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ Boniphace Ngumije MKALI wa Ngoma ya Saka Hela, Emmanuel Elibariki ‘Nay...

READ MORE

Kumbe Flora Mvungi ‘Alifeki’ Ujauzito!

Staa wa filamu Bongo, Flora Mvungi IMEBAINIKA! Kumbe staa wa filamu Bongo, Flora Mvungi ambaye ni mke wa Mwanamuziki wa...

READ MORE

Video ya Wema Akidendeka Yamweka Pabaya

Wema Isaac Sepetu ‘akidendeka’ chumbani na mwanaume. Stori: Imelda Mtema, Wikienda Dar es Salaam: Kipande cha video kilichosambaa kwenye Mitandao...

READ MORE

Johari: Siwezi Kumnadi Bwana’angu

STORI: IMELDA MTEMA, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Staa wa kitambo ambaye ni tunda la Kaole Sanaa, Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka kuwa watu wengi ‘wanamdiskasi’ kuwa hamwaniki...

READ MORE

Najma Amshangaa Gigy

Najma Datan ‘Naj’ STORI: HAMIDA HASSAN, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Msanii wa Bongo Fleva, Najma Datan ‘Naj’ anamshangaa Video Queen Gift Stanford ‘Gigy Money’ kwa...

READ MORE

Kigogo Mwanza afika bei kwa Snura

DAR ES SALAAM: Huku Wimbo wa Chura ukizidi kuwa gumzo baada ya serikali kuufungia, kuna taarifa kuwa, kigogo wa kampuni...

READ MORE

Kanye West ataka mtoto mwingine

Kanye West na mkewe Kim Kardashian. DIVA anayekinukisha mbaya kwenye anga la wanamitindo ughaibuni, Kim Kardashian amedai kuwa mumewe Kanye...

READ MORE

Rammy achukia kuitwa kanumba feki

  Rammy Gallis akiwa sebureni kwake. MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu, kama ilivyo kawaida yetu ni kukupa wewe msomaji kitu...

READ MORE

Kanye West Agonga Live Shoo ya Kwanza ya ‘The Life of Pablo’

KWA mara ya kwanza tangu aachie albamu yake mpya, Kanye West ‘Yeezy ameafanya shoo nguvu na kuitambulisha albamu yake mpya...

READ MORE

Tyga: Mapenzi ya Blac Chyna & Rob Kardashian Hayanihusu

RAPA maareufu duniani, Tyga ameamua kuvunja ukimya na kuzungumzia uhusiano wa kimapenzi kati ya aliyekuwa mpenzi wake, Blac Chyna na Rob...

READ MORE

Instagram Wamwongezea Diamond Dakika za Kuposti Video

Nassib Abdul ‘Diamond’ na Tiffah. MSANII wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Nassib Abdul ‘Diamond’ pamoja na watumiaji wengine wa...

READ MORE

Jay Dee azindua wimbo wake kwa kishindo Dar

Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee akiwa katika pozi. Meneja wa Lady Jay Dee, Seven Mosha akifungua...

READ MORE

Jux: sikumpata vanessa kiulaini

MWANDISHI WETU MKALI wa Miondoko ya RnB Bongo, Juma Jux, amesema wakati anaanza kumsarandia kimapenzi staa mwenzake, Vanessa Mdee ‘V...

READ MORE

Video Mpya: Mungo Park – Korede Bello wa Romantic

Staa wa Muziki kutoka Nigeria, Korede Bello. BAADA ya kusumbua na Ngoma ya Romantic, staa wa muziki kutoka NIgeria, Korede...

READ MORE

H-Baba Atahadharishwa Kumzeesha Flora

H-Baba, mkewe Flora Mvungi na mtoto wao. Stori: Hamida Hassan Licha ya H-Baba kudai kuwa, mkewe Flora Mvungi anazidi kuwa...

READ MORE

Leonard Di Caprio aandika historia

Leonardo Di Caprio baada ya kuchukua tuzo ya Oscar Alicia Vikander ameshinda tuzo ya  Best Supporting Actress. JANA usiku katika...

READ MORE