×

Celebrities

Babab Levo: Mtaona Matusi ya Milioni 100

BABA Levo ni komediani na mmoja wa wasanii wa Bongo Fleva waliotafuta njia ya tofauti ya kutoka kisanii na kujulikana...

READ MORE

Exclusive: Fahyma Avunja Ukimya Kurudiana na Rayvanny

UKIAMBIWA utaje listi ya warembo wenye muonekano bomba Bongo, huwezi kuacha kumtaja mwanamitindo Faima Msenga almaarufu Fahyma ambaye amezaa na...

READ MORE

Rihanna Atubu kwa Flaviana Matata, Aamua Kumfollow Instagram

Mwanamitindo wa Kimataifa kutokea Tanzania anayefanya shughuli zake New York nchini Marekani, anagonga vichwa vya habari mara baada ya Mwimbaji...

READ MORE

Mona: Acha tu Sonia Aende

STAA wa kitambo kunako Bongo Movies, Yvonne Cherry almaarufu Monalisa au Mona anasema kuwa, anamshukuru Mwenyezi Mungu kwa mwanawe, Sonia...

READ MORE

Rubani: Wema Yupo Moyoni Mwangu

  RUBANI wa ndege kubwa wa Kitanzania ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva, Danzak ameweka wazi kwa mara nyingine...

READ MORE

Recho: Kama ni Rahisi Nao Wakadange

MREMBO mwenye sauti nyororo kwenye Bongo Fleva, Winfrida Josephat au Recho Kizunguzungu amevunja ukimya baada ya kuambiwa anategemea kudanga ili...

READ MORE

Kiba Awapiga na Kitu Kizito Kichwani

AMEWAPIGA na kitu kizito kichwani! Alisikika mmoja wa mashabiki wa Mfalme wa muziki Bongo, mchezaji mpira na mmiliki wa Lebo...

READ MORE

Mauno Ya Hamisa Mobeto kwa Fally Ipupa, Ashindwa Kujizuia-Video

MWANAMUZIKI Mkubwa kutoka Congo, Fally Ipupa, usiku wa kuamkia leo amefanya Bonge la shoo katika ukumbi wa Mlimani City, ambapo...

READ MORE

Mama Dangote Kumfukuza Anko Shamte

WIKI kadhaa baada ya kusambaa kwa tetesi kuwa, staa wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amemfukuza baba yake...

READ MORE

Aunt Afunguka Kumwagia Madolari Zamaradi

MWANAMAMA wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amefunguka juu ya madolari ya Kimarekani zaidi ya 2,000 (zaidi ya shilingi milioni 4.5...

READ MORE

Marioo Afunguka Kutoboa Pua, Kuvaa Kipini Puani

UKITAJA namba za wasanii wanaofanya poa kwa sasa kweye kiwanda cha muziki mtamu wa Bongo Fleva na Amapiano, huwezi kuacha...

READ MORE

Ukweli Rayvanny Kuachana na Paula

YAMEZUNGUMZWA mengi juu ya sakata la staa wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa au Rayvanny kuachana na mwandani wake wa sasa,...

READ MORE

Harmonize, Diamond Wagawana Marekani

MUZIKI wa Bongo Fleva unazidi kupasua anga ambapo katika msimu huu wa majira ya joto (summer), kuna wasanii wawili wanaiwakilisha...

READ MORE

Muna Love atishia Kujicharanga Mwili mzima

  MWIGIZAJI wa Bongo Movies na mfanyabiashara, Rose Nungu almaarufu Muna Love anasema kuwa, anaona baadhi ya watu wamezidi kumshambulia...

READ MORE

Amber Lulu Amtamani Jux

MSANII wa muziki Bongo, Amber Lulu amesema amepanga kuzaa watoto watano ambapo kila mtoto atakuwa na baba yake.   Lulu...

READ MORE

Mrembo Aliekataa Miss World, Aligoma Kuchoma Chanjo

Miss Netherlands 2021, Dilay Willemstein ambaye alipaswa kwenda Nchini Puerto Rico December mwaka huu kushiriki shindano la Miss World 2021...

READ MORE

Queen Darleen: Nungunungu au Karunguyeye?

Mwimbaji Queen Darleen anasema ameshindwa kujipa jina la mnyama kutokana yale makubwa na yanayosifika yameshachukuliwa na kama kutakuwa na ulazima...

READ MORE

Diamond Mlima Mrefu AFRIMMA

Tuzo za AFRIMMA kwa mwaka 2021, zina ushindani mkubwa mno, pana mlima mrefu ambao inabidi msanii aupande ili kutwaa tuzo...

READ MORE

Tiwa Savage Afunguka Kuvuja kwa Video Yake ya Ngono

SUPASTAA wa muziki barani Afika, Tiwasavage kutoka Nigeria kwenye mahojiano yake leo na kituo cha Power 105.1, nchini Marekani, akizungumza...

READ MORE

Esha Buheti: Mume Wangu Anajua Nampenda Alikiba

MUIGIZAJI maarufu wa filamu nchini ambaye pia ni mfanyabiashara, Esha Buheti amesema mapenzi aliyonayo kwa Mwanamuziki Ali Kiba ni makubwa...

READ MORE

Davido Akacha Mazishi ya Mpiga Picha Wake

MSANII maarufu wa Muziki kutoka pande za Nigeria, David Adeleji Adeleke maarufu kama Davido ameingia kwenye headlines baada ya kutoonekana...

READ MORE

Ommy Dimpoz Asimulia Alikiba Alivyookoa Maisha Yake-Video

MSANII  wa Bongo Fleva Omary  Faraji Nyembo, maarufu kama Ommy Dimpoz, usiku wa kuamkia leo kwenye Listening Party ya albam...

READ MORE

Alikiba Azindua Albamu Yake ‘Only One King’ – Video

STAA wa Bongo Fleva, Alikiba usiku wa kuamkia leo amezindua albamu yake mpya aliyoipa jina la ‘Only One King’ ambapo...

READ MORE

Mkeka wa Mastaa Bongo Waliotajwa AFRIMA 2021

Kama tunavyofahamu kila mwaka tuzo mbalimbali hutolewa barani Afrika na pia duniani kote kupitia mkampuni na majarida tofautofauti mfano, AFRIMMA,...

READ MORE

Youtube Wafunga Chaneli za R. Kelly

MTANDAO wa YouTube umefunga Chaneli za mwimbaji wa R&B,  Robert Sylvester Kelly maarufu kwa jina la R. Kelly.   YouTube...

READ MORE

Michoro ya Muhammad Ali Yauzwa Dola Milioni 1

MKUSANYIKO wa kazi za michoro ya mwanamasumbwi gwiji marehemu Muhammad Ali imeuzwa kwenye mnada kwa takribani dola milioni 1 sawa...

READ MORE

Wema Ahurumiwa, Atiwa Moyo

  BAADA ya Vanessa Mdee na mpenzi wake, Rotimi kutanganaza kwamba wamebarikiwa mtoto wa kiume na watu mbalimbali kupongeza, Wema...

READ MORE

Lava Lava Kusepa Wasafi?

JUNI 29, mwaka huu, Diamond Platnumz ambaye ni C.E.O wa Lebo ya Wasafi aliachia video ya wimbo wake wa Kamata...

READ MORE

Video ya Cardi B ya Rais Mwai Kibaki Yazua Gumzo Kenya

RAPA maarufu duniani kutoka nchini Marekani, Cardi B amewafurahisha Wakenya kwenye mtandao wa Twitter baada ya kutupia video ya mwaka...

READ MORE

Muna Love Afanyiwa Upasuaji Kutengeneza Mdomo

Urembo unazidi kuwa ghari mno huku kila mwanadada akifanya lolote ilimradi kupendeza. Hilo linathibitishwa na mwanadada msajiriamali Rose Alphonse maarufu...

READ MORE

Paula Alia… Nitakonda Sana Huku

PAULA Kajala ambaye mpenzi wa msanii Rayvanny ametoa kauli ya kushtua akisema; “Nitakonda sana huku niliko!”   Inafahamikwa kwamba, Paula...

READ MORE

Harmonize Jeshi la Mtu Mmoja Akiwasha Kinoma

MTANDAO unaohusika na kutoa takwimu za wasanii Bongo, umetoa orodha ya wasanii kumi waliotazamwa zaidi kwenye Mtandao wa YouTube kwa...

READ MORE

Mrembo wa Diamond Avuruga Watu

  MREMBO ambaye amekuwa akihusishwa kutoka kimapenzi na Diamond Platnumz anayetumia jina la Francia kwenye mitandao ya kijamii amevuruga watu...

READ MORE

Shamsa: Usiwe Mjuaji Sana

MWIGIZAJI Shamsa Ford amewapa somo mashabiki wake akiwaambia wasiwe wajuaji sana hata kama wana majibu wanyamaze kwa sababu wanaweza kujibu...

READ MORE

Warembo Hawa Walikimbiza Mbaya

GUMZO linaloendelea ni juu ya maisha ya mwanamama Pauline Zongo ambaye ni miongoni mwa warembo walioweka msingi wa mabinti kujiingiza...

READ MORE

Rosa Ree Amrushia Vijembe Kwa Eksi Wake

BAADA ya kuchumbiwa hivi karibuni, rapa wa kike Bongo, Rosa Ree amemrushia vijembe rapa wa Kenya, Timmy Tdat ambaye aliwahi...

READ MORE

Kumbe Zari Nusu Mhindi, Nusu Msomali

MWANAMAMA Zari The Boss Lady amefichua jambo ambalo wengi hawalijui kuwa, yeye ni mchanganyiko wa nusu Mhindi na nusu ni...

READ MORE

Zuchu Azidi Kuwa Mtamu

MWIMBAJI Zuchu kutoka Lebo ya Wasafi chini ya Diamond Platnumz anazidi kuwaka na kuwa mtamu zaidi.   Zuchu na Rayvanny...

READ MORE

Kocha Simba amvulia kofia Duncan Nyoni

KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola, ameonekana kuvutiwa zaidi na kiwango kikubwa kinachoonesha na kiungo wa timu hiyo, Duncan Nyoni...

READ MORE