×

Celebrities

Diamond Anunua Ndinga Mpya Cadillac Escalade Black -Video

Hii ni zaidi ya jeuri! Baada ya kuona maneno yamekuwa mengi, supastaa wa muziki barani Afrika, Diamond Platnumz amemwaga ushahidi...

READ MORE

Video: Mchungaji Dar Afumaniwa, Mondi, Zari Waoga Mamilioni | Hot Pot

 KATIKA kipindi cha ‘HOTPOT’ leo Juni 21, wadakuzi wa mambo wamefukunyua mpaka wamempata mrithi wa Harmonize kwa Kajala.. ⚫️...

READ MORE

Mobeto Amkimbiza Mchumba wa Rick Ross

STORI kubwa kwenye mitandao ya kijamii imeendelea kumhusu mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania na msanii wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto...

READ MORE

Mapishi ya Shilole Yawateka Wabunge

MSANII wa Bongofleva na mjasiriamali katika fani ya mapishi, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amezidi kutusua baada ya kuwateka wabunge kwa mapishi...

READ MORE

Chris Brown Achunguzwa na Polisi

MKALI wa muziki wa RnB Chris Brown ameripotiwa kuchunguzwa baada ya mwanamke mmoja kudai kumshambuliwa nyumbani kwake  huko Los Angeles mwishoni...

READ MORE

Kiba Ndombolo Umewasha, Sasa!

MFALME Ali Saleh Kiba ‘AliKiba’ Juni 10 ameachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la Ndombolo. Mpaka sasa imefanya vizuri, ina...

READ MORE

DC wa Kisarawe Atoa Neno

MKUU wa wilaya ya Kisarawe Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’ amefunguka baada ya kuapishwa na Mkuu wa mkoa wa Pwani...

READ MORE

Pata Habari za Udaku na Michezo Kwenye Simu Yako

Pata habari mbalimbali za kimichezo KWA NJIA YA SAUTI, moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi ya VODACOM. Utapata...

READ MORE

Aunt, Wolper Wamaliza Bifu

LILE bifu lililokuwa bab’kubwa kati ya waigizaji Aunt Ezekiel na Jacqueline Wolper, limezikwa rasmi na sasa wawili hao wanaishi vizuri....

READ MORE

Gigy: Natamani Mayra Awe Kama Krish

GIFTY Stanford a.k.a Gigy Money; ni msanii wa kike wa Bongo Fleva ambaye mbali na kutoa burudani, pia amekuwa na...

READ MORE

Siri Imevuja… Mrembo Amhenyesha Mondi Miaka 9

“IMENICHUKUAmiaka tisa kumfukuzia!” Hii ni kauli ya supastaa wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akimzungumzia mrembo wake mpya...

READ MORE

Soulfood: Ikupa Mwambenja Ambulisha Wimbo Wake Mpya -Video

LEO Jumapili June 20, 2021 kwenye kipindi Cha Soulfood ameshiriki mwimbaji wa nyimbo za injili Ikupa Mwambenja akitambulisha wimbo wake...

READ MORE

Exclusive… A-Z Dayna Alivyokutana na Davido

Kibongobongo mastaa wa kike kwa sasa ni wengi na karibia wote wanafanya vizuri. Hebu mtazame mtu kama Zuchu, Nandy, Anjela,...

READ MORE

Kajala: Paula Anakwenda Shule

STAA mkali wa Bongo Movies, Kajala Masanja, amevunja ukimya uliotawala kwa kipindi kirefu baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake...

READ MORE

Ndoa ya Makabila Kimewaka ‘Mawifi Wakiwasha’

MAPEMA tu ndoa ya msanii Dulla Makabila na mkewe Rahima, imeanza kuwatoa jasho. Mawifi yaani baadhi ya dada wa Mkabila...

READ MORE

BET Wafunguka Upigaji Kura Wasanii Wanaowania Tuzo

Baada ya kuwepo kwa mkanganyiko juu ya upigaji kura, Kampuni ya BET imejitokeza na kufunguka kuwa kuwa hakuna tukio la...

READ MORE

Nandy – New Couple (Official Audio)

 MASKINI NANDY Sexy lady kunako Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ anaonekana kutia huruma huku akiwataka mashabiki wake kuamini kwamba...

READ MORE

Mwijaku Awasha Moto – “Harmonize Ni Msanii Mkubwa”-Video

 Mwanamuziki Harmonize, usiku wa kuamkia Juni 18, 2021 amefanya ‘Party’ ambapo mastaa mbalimbali wamehudhuruia akiwemo DC wa Insta, Mwijaku,...

READ MORE

Nandy Atangaza Yupo Single, Amuimbia Billnass – Video

 MWANAMUZIKI Nandy amefanya balaa usiku wa kuamkia leo Juni 18, 2021 Mkoani Mwanza kwa kupiga shoo ya nguvu kwenye...

READ MORE

Diamond, Kifaa Kipya Gumzo Insta! -Video

MKALI wao, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amezua gumzo na kifaa kipya ambacho bado hakijajulikana jina lake. Kupitia ukurasa wake, Diamond...

READ MORE

Diamond Ajitolea Kumlinda AliKiba

SUPASTAA Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametoa kauli ya kumlinda msanii mwenzake Ali Saleh Kiba ‘AliKiba’ ambaye Watanzania wanaamini ni...

READ MORE

Krish Amponza Irene Uwoya, Apewa Makavu Insta!

BADO muigizaji Irene Uwoya ameendelea kujadiliwa kwenye ulimwengu wa burudani na habari mpya ni kwamba, mwanaye Krish Ndikumana aliyepata Kumunio...

READ MORE

Eric Omondi Alamba Ubalozi Bongo – Video

BAADA ya kumshuhudia mwanamama wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’  ...

READ MORE

Zuchu Amvuta Shati Kiba

MUZIKI wa sasa ni ushindani. Unaambiwa licha ya AliKiba kutangulia kuachia ngoma yake ya Ndombolo, mrembo kutoka Wasafi Classic Baby...

READ MORE

Zuchu Atimiza Ndoto Ya Mama’ke (Picha +Video)

Nani kama mama? Kama Mwenyezi Mungu akikujaalia chochote kwa nini usimjali mama yako kama alivyofanya sexy lady wa Bongo Fleva?...

READ MORE

Makala Exclusive… Anjela Kampa Penzi Harmonize?

Ukipewa nafasi ya kutaja listi ya warembo wanaokimbiza kwa sasa kwenye gemu la muziki wa Bongo Fleva, huwezi kuacha kutaja...

READ MORE

Kisa Wimbo, Zuchu, Angella Hapatoshi

KWA raha zake Zuchu kaachia ngoma yake iitwayo Nyumba Ndogo ambayo kaipaka mahadhi ya kisingelisingeli. Sasa chawa wa Angella msanii...

READ MORE

Waganga Wamponza Wema

WEMA Sepetu amefilisika au kuna jambo nyuma ya waganga wa kienyeji ambao ameamua kuwatangazia huduma zao kwenye kurasa zake za...

READ MORE

Mtoto Kumpa Mamilioni Wolper

BAADA ya kupigiwa vigelegele vya uzazi, sasa mtoto kumpa msanii Jacqueline Wolper mamilioni. Wolper mwenyewe anacheeeka alipoulizwa kuhusu kuwepo kwa...

READ MORE

Mechi Za Euro 2020 Kuendelea Wiki Hii

Timu nyingi zimerusha karata zao kwenye michezo ya kwanza ya michuano ya EURO 2020, wa kufungwa, amefungwa, wakutoka sare vile...

READ MORE

Esma, Uchebe Mambo Mambo Hadharani

SOSHOLAITI ambaye ni dada wa msanii mkubwa wa Bongo Fleva ndani na nje ya Tanzania, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma...

READ MORE

Aliyerekodi Video Ya George Floyd Akiuawa Aula

Kwenye maisha usikate tamaa kwani tukio moja tu, laweza kubadilisha kabisa taswira yako. Ndicho kinachotokea kwa Darnella Frazier ambaye ndiye...

READ MORE

Video: Irene Uwoya Afunguka Mtoto Wake Kuwa Mkristo

 MTOTO wa muigizaji, Irene Uwoya, anayeitwa Krish, amepata Komunio yake ya kwanza katika Kanisa Katoliki Sinza jijini Dar. ⚫️...

READ MORE

Mtazame Rubani Mdogo Zaidi Duniani

Wakati huko kwenu mtoto mwenye umri wa miaka saba anacheza cha ndimu na kibaba na mama, hali ni tofauti kwa...

READ MORE

Ronaldo Amkosha Mpenzi Wake Kwa Hoteli Baabkubwa

MPENZI wake staa anayesakata kabumbu katika klabu ya Juventus nchini Italia, Christiano Ronaldo, Georgina Rodriguez ameshindwa kuzuia furaha yake kutokana...

READ MORE

Willy Paul Avunja Ukimya kuhusu Muziki wa Injili

MWANAMUZIKI maarufu Willy Paul amevunja kimya chake kuhusu sababu iliyomfanya aache kufanya muziki wa injili licha ya nyimbo zake kuvuma...

READ MORE

R. Kelly Awatimua Wanasheria Wake

MKALI wa muziki wa RnB Duniani, R. Kelly amewatimua kazi mawakili wake wawili Steve Greenberg na Michael Leonard ikiwa ni...

READ MORE

Hatimaye Mume wa Dida Ajulikana

BAADA ya kumfichaficha kwa muda mrefu, hatimaye mume wa mtangazaji Khadija Shaibu ‘Dida’ amejulikana ambaye ni Meya wa Jiji la...

READ MORE

Video: Ndoa Ya Didah, Mazito Yaibuka, Amber Lulu Achezea Kichapo | Hotpot

 KATIKA kipindi cha ‘HOTPOT’ leo Juni 11, wadakuzi wa mambo wamezungumzia ishu ya ndoa ya na Mtangazaji Dida na...

READ MORE

Kolabo ya Seyi Shay, Yemi Alade Yatingisha

Na Mwandishi Wetu STAA wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Nigeria, Seyi Shay ameachia ngoma mpya, ‘Pempe’ akiwa ameshirikiana...

READ MORE