×

Celebrities

Shonza Ampa Madam Ritta Siku 30 Amlipe Mshindi wa BSS 2019 – Video

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza ametoa mwezi mmoja kwa uongozi wa Kampuni ya Benchmark Production...

READ MORE

Shamsa: Siwezi kuyumbishwa na mwanaume

MSANII wa filamu Bongo, Shamsa Ford amesema kuwa anaijua thamani yake kama mwanamke, hivyo hawezi kuyumbishwa na mwanaume.  Akipiga stori...

READ MORE

Kiba: Sykes Ndo Aliyenitambulisha Kwenye Muziki

MFALME wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba amevunja ukimya na kufunguka kuhusu namna ambavyo msanii mwenzake, Dully Sykes alivyoshiriki katika...

READ MORE

Joseph Msami amtolea povu Mwijaku

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Msami amemtolea povu msanii wa filamu Bongo, Mwemba Batoni ‘Mwijaku’ na kusema kuwa...

READ MORE

Mobeto; Sina fanicha mimi?

HIVI karibuni maneno yalisambaa mitandaoni kwamba mwanamitindo na msanii wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto hana samani za ndani hivyo aache...

READ MORE

Baada ya Tanasha kusepa.. Mondi, Zari mambo safi

BAADA ya kudumu kuishi bila mawasiliano kwa zaidi ya miaka miwili, zilipendwa wawili, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Mondi’ na...

READ MORE

Harmo, Sara moto unawaka

BAADA ya hivi karibuni kudaiwa kufumaniwa na mrembo mwenye umbo matata Bongo, Nicole Joyberry Mbaga, staa wa Bongo Fleva, Rajab...

READ MORE

Billnass: Sina ubavu wa kumnunulia Nandy ndinga

BAADA ya kusambaa kwa picha kwenye mitandao ya kijamii zikionesha ndinga mpya ya mwanamuziki wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’...

READ MORE

Jux, Huddah penzi ni kikohozi!

  AMA kweli penzi ni kikohozi! Huu ni msemo wa siku nyingi wa wahenga, lakini sasa unafanya kazi kwa mastaa...

READ MORE

Mzee Magali Asimulia Mateso ya Corona Marekani

DAR: Msanii wa filamu za Kibongo ambaye kwa sasa anafanyia shughuli zake Chicago nchini Marekani, Charles Magali ‘Mzee Magali’ amesimulia...

READ MORE

Ukweli Kuhusu Sarah Kumfumania Harmo

MJI mzito huu! Wakati watu wakiwa bize kujilinda na gonjwa la Covid-19, wiki hii mji ulitikiswa na video iliyodaiwa kuwa...

READ MORE

Baada ya Kusepa Bongo, Tanasha Aibua Mazito ya Mondi

INAWEZA ikakushangaza, lakini ukweli unabaki kuwa familia ya staa wa muziki barani Afrika kutoka nchini Tanzania, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,...

READ MORE

MREMBO: Nimelala Apartment na Harmonize Siku 3 – Video

DAR: Baada ya kusambaa kwa video inayodaiwa kuonesha kuwa amefumaniwa akiwa na staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, mrembo...

READ MORE

Isha Mashauzi: Corona Ikipita Tu, Kazi Kama Dawa

KUTOKANA na mikusanyiko mbalimbali ikiwemo shughuli za muziki kusitishwa kutokana na Virusi vya Corona, prezidaa wa Kundi la Mashauzi Classic,...

READ MORE

Tunda: Nimekua Sasa, Sitaki Mambo ya Mjini

MREMBO aliyejipatia jina kupitia kazi ya kuuza nyago kwenye video mbalimbali za wanamuziki wa Bongo Fleva, Anna Kimario ‘Tunda’ amesema...

READ MORE

Wellu Awataka Watu Wamuache

MSANII wa filamu za Kibongo, Wellu Sengo ambaye ni mzazi mwenzake na muigizaji, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ameeleza kuwa hajamtaja...

READ MORE

Zari Ateswa na Watoto

ANATESEKA! Ndiyo lugha rahisi inayoweza kutafsiri kile anachopitia mjasiriamali, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kufuatia kuonekana kuzidiwa na gharama...

READ MORE

Exclusive: Nicole wa Harmonize Afunguka Kulala Naye Siku 3 – Video

Exclusive interview na Video Vixen wa Harmonize, aitwaye Nicole Joyberry. Hii ni baada ya kuibuka kwa varangati na baby wa...

READ MORE

Licha ya Corona, Wolper Amekuja na Hili – Video

LICHA ya watu kulalamika kuwa biashara ni ngumu katika kipindi hiki cha janga la virusi vya corona, ambaye pia ni...

READ MORE

Baada ya Kutoka Karantini, Mondi Adaiwa Mamilioni

RAIS wa lebo kubwa ya muziki Afrika ya Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, ameruhusiwa kutoka karantini alikokuwa...

READ MORE

Domokaya Afunguka Kilichowapoteza, Aanika Mikakati Mipya

MPENDWA msomaji wa kolamu hii ya Yuko Wapi, leo nimekuletea mwanamuziki wa kizazi kipya; Precious Juma Mkona almaarufu kama Domokaya...

READ MORE

Top 5: Wasanii Wenye Mkwanja Afrika

MUZIKI kama zilivyo biashara nyingine, unalipa. Kwa hapa Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ndiye anayetajwa kuwa na utajiri mkubwa japo vyanzo...

READ MORE

Jide; Tajiri wa Kolabo Bongo!

UNAPOZUNGUMZIA wasanii waliofanya kolabo nyingi ndani na nje ya Bongo, kamwe huwezi kuliweka pembeni jina la Judith Wambura ‘Lady Jaydee’...

READ MORE

Belle 9: Siwezi Kumsahau Masogange

“Upo mbali na Masogange… Njoo uutulize mtima wange… Upo mbali na Masogange eh… Miaka mingi imepita baby, ila mi sijakuona…...

READ MORE

Rayvanny Aombwa Kugombea Ubunge 2020

STAA wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ anayetumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), amefunguka juu ya ishu ya kuombwa...

READ MORE

Lamata Afunguka Harmo Kumtoa Machozi!

KWA mara ya kwanza, sura yake ilionekana runingani mwaka 2008. Alikuwa na Kundi la Amka, wakiwa na tamthiliya yao matata...

READ MORE

Aika, Nahreel Karantini Siku 14

MEMBA wawili wa Kruu ya Navy Kenzo, Aika Marealle na Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ wamejiweka karantini kwa siku 14 sasa kujikinga...

READ MORE

Karantini Wasafi Balaa! Tale Anaswa Akipeleka Msosi

DAR: Karantini (sehemu maalum) aliyowekwa Rais wa Wasafi, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na memba wenzake kwa sababu ya janga la...

READ MORE

Fahyma Kama Beyonce Vile!

MKE wa staa wa Bongo Fleva, Faima Msenga ‘Fahyma’, amezua gumzo baada ya kutupia picha kwenye akaunti yake ya Instagram...

READ MORE

Naj: Napenda Kukumbatiwa

MY Style kama kawaida tunakutana na mastaa mbalimbali Bongo na kupiga nao stori mbalimbali kuhusu ‘life style’ yao mbali na...

READ MORE

Tid: Corona Isiwe Kiki!

BAADA ya dunia na nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania kukumbwa na janga zito la virusi vya Corona na baadhi ya mastaa...

READ MORE

Fleva Imerudi Kama Zamani!

MUZIKI wa Bongo Fleva ni muziki wa aina yake, kwani haujawahi kuchuja tangu ulipoanza kama ilivyo Taarab na Dansi ambazo...

READ MORE

Rayvanny Amkana Fahy Vanny Kweupee

BAADA ya stori nyingi kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa mrembo Fahima Msenga “Fahyvanny” amerudiana na mzazi mwenziye, msanii kutoka...

READ MORE

Zabibu Kiba Aitolea Uvivu ‘Corona’ Ya Mumewe

DADA wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva; Zabibu Kiba, amesema mumewe Abdi Banda hajapata maambukizi ya virusi vya Corona...

READ MORE

Wolper Kutafuta Bwana wa Kumzalisha Gumzo!

PUUZA kejeli zozote za kuenea kwa Virusi vya Corona ambavyo vimekuwa gumzo, lakini kubwa lingine wiki hii lilikuwa ni mwanadada...

READ MORE

Nisha Aeleza Corona Ilivyoam-Kwamisha

MSANII wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka Virusi vya Corona vilivyomkwamisha kibiashara, kwani ameshindwa kusafiri kwenda nchini China....

READ MORE

Husna Maulid Achekelea Kulea

TOFAUTI na wengi huwa wanadai kulea ni kazi ngumu, kwa mrembo ambaye amewahi kushiriki Miss Tanzania aliye pia video queen,...

READ MORE

Sakata la Morrison Kuhamia Simba, Kindoki Aanika Ukweli – Video

SHABIKI Kindakindaki wa Klabu ya Yanga, Jimmy Kindoki, amezungumzia Sakata la mchezaji wao wa Yanga, Bernard Morrison, tetesi za kuwa...

READ MORE

Wolper; Mama wa Dogodogo!

MIAKA 15 iliyopita, binti wa Kichaga, aliyekuwa na umri wa miaka 18 tu, alifunga safari kutoka nyumbani kwao, Machame kule...

READ MORE