×

Celebrities

Sanchi: Picha za Utupu Ziliniumiza Sana

HIVI karibuni wimbi la picha za utupu za warembo mbalimbali kusambazwa mitandaoni limezidi ambapo zinawaletea athari kubwa katika maisha yao...

READ MORE

Shilole Amwaga Mapovu Kutomzalia Uchebe

MSANII wa muziki Shilole, amewataka mashabiki zake wasimpande kichwani kwa kumuuliza kwanini hapati mtoto na mumewe kwa sababu hawajui ana...

READ MORE

Bocco Atuma Salamu kwa Mashabiki Simba

NAHODHA na mshambuliaji wa Simba, John Raphael Bocco amesema kuwa haikuwa bahati yao kulichukua Kombe la Mapinduzi huku akiwataka mashabiki...

READ MORE

Rose Muhando: Nilifugwa Macho Nikajikuta Kanisani Kenya

MWIMBAJI wa nyimbo za Injili Rose Muhando hatimaye amezungumza kuhusu video iliyosambaa sana mitandaoni mnamo 2018. Huku watu wakiendelea kuwa...

READ MORE

Penzi La Vanessa, Rotimi Noma Sana

PENZI la msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ na staa wa Marekani, Rotimi limezidi kuwa noma...

READ MORE

Mimba ya Lynn… Tanasha Yamkuta ya Zari kwa Mondi

MJI mzito huu! Ndiyo maneno wanayotamka watoto wa mjini kutokana na kinachoendelea kwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva; Irene...

READ MORE

Shilole: Jokate anajua nilikotoka

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameeleza kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo anajua alikotoka...

READ MORE

Maisha ya Lulu na Fundisho la Kimungu!

MUNGU yupo! Hata wale ambao bado wana shaka juu ya hilo, niaminini mimi. Mungu yupo na kupitia maisha yetu hapa...

READ MORE

Padri aliyewafungisha ndoa Stamina, mkewe awaita kanisani

PADRI wa Kanisa Katoliki, Dk Bernard Msike ambaye aliwafungisha ndoa staa wa Hip Hop, Bonaventure Kabogo ‘Stamina’ na mkewe Veronica...

READ MORE

VIDEO: HARMONIZE Alamba Dili la Maana Bongo

Mapema leo Jumatano, Januari 15, 2020, Msanii Rajab Abdul maarufu kama Harmonize (Kondeboy) ameingia makubaliano na kampuni ya Sayona kuwa...

READ MORE

United yaongoza kwa mkwanja England, Barcelona na Madrid ni moto mwingine

Miamba ya soka ya Premier League, Manchester United imeendelea kuwa kileleni kwenye maswala uingizaji wa mapato ngazi ya klabu England....

READ MORE

Idriss: siwezi kuacha kumpenda Wema

MKALI anayetikisa kunako upande wa Vichekesho Bongo, Idris Sultan amefunguka kuwa hana kinyongo na aliyekuwa mpenzi wake, Wema Sepetu.  Idris...

READ MORE

Dora Amtamani Tausi

MKALI wa Tamthiliya Bongo, Wanswekula Zakaria ‘Dora’, ametoa la moyoni baada ya kupata taarifa za mwigizaji mwenzake, Tausi Mdegela kupata...

READ MORE

Hatimaye Stamina Ataja Kilichovunja Ndoa Yake

STAA wa Bongo Fleva anayetikisa na ngoma yake ya Asiwaze, Bonaventure Kabogo ‘Stamina’ amefunguka sababu ya kuachia ngoma hiyo ambayo...

READ MORE

Chemical; Elimu Inafanya Apotee Kwenye Gemu

UKIWA unataja listi ya marapa bora wa kike Bongo, utawashangaza wengi kama ukiliacha jina la Chemical, ambaye kwa kipindi cha...

READ MORE

Sheria Ngowi Aiomba Serikali Ipunguze Uingizwaji wa Mavazi ya Nje

MBUNIFU maarufu wa mavazi na mitindo wa kitaifa na kimataifa, Sheria Ngowi, ameiomba serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Harmo Atikisa Ndinga za Mamilioni

MAFANIKIO ya mtu yanapimwa kwa vigezo mbalimbali ikiwemo mali anazozimiliki na jinsi anavyoishi.  Wasanii wengi Bongo wamekuwa na majina makubwa,...

READ MORE

BILLNASS: Sipendi mwanamke apake make up!

KAMA kawa, kama dawa! Kolamu yako pendwa ya My Style inazidi kupepea.  Leo tupo na msanii wa Hip Hop Bongo,...

READ MORE

Staa Bongo Muvi Mbaroni kwa Ubakaji

MSALA! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia, msanii wa Bongo Muvi; Hussein Mbega ‘Niva’ kuswekwa ndani kwa msala wa ubakaji na wizi...

READ MORE

Tanasha: Simtegemei Mondi

MZAZI mwenziye na msanii Nasibu Abdul “Diamond au Mondi”, Tanasha Donna amesema haishi kwa kumtegemea mtu.  Tanasha alikiambia chombo kimoja...

READ MORE

Official Nai: Sijaachana na bwana’ngu!

BAADA ya kutupia video ya bwana’ake yenye viashiria kuwa wameachana, Video Vixen matata Bongo, Officiall Nai ameibuka na kusema hawajaachana. ...

READ MORE

Billnass: Sijarudiana na Nandy!

BAADA ya msanii wa Bongo Fleva, Faustina Charles ‘Nandy’ hivi karibuni kudaiwa kurudiana na mpenzi wake wa zamani ‘Billnass’ jamaa...

READ MORE

Queen Darleen: Mapenzi Ninayopata, Na-enjoy Sana – Video

MUME wa mwanamuziki, Queen Darleen, anayefahamika kwa jina la Isihack, amezindua rasmi duka lake la Isbah Bumpers iliyopo maeneo ya...

READ MORE

Huddah Akana Kumpa Penzi Harmonize

DAR: Siyo taipu yangu! Sosholaiti ambaye ni modo maarufu nchini Kenya ameibuka na kukana kumpa penzi staa wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Basila Aanika Vigezo Vipya Kushiriki Miss Tanzania – Video

  MWANDAAJI na msimamizi wa Shindano la Urembo nchini Miss Tanzania, Basila Mwanukuzi ameanika vigezo vipya kwa washiriki wote wenye...

READ MORE

Esma Atoboa Siri Nyingine Ya Mondi

MWANAMAMA Esma Khan ambaye ni dada wa staa wa Bongo Fleva; Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Mondi’, ametoboa siri nyingine...

READ MORE

Pretty Sasa Ageukia Kuhubiri Injili

MSANII wa Bongo Fleva na filamu ambaye kwa sasa ameokoka; Suzan Michael ‘Pretty Kind’ amefunguka kuwa, mwaka huu mpya wa...

READ MORE

Vita ya H. Baba na Diamond Yafika Patamu

VITA kati ya msanii wa muziki wa BongoFleva Hamis Baba ‘H.Baba’ dhidi ya Diamond Platnumz imezidi kushika kasi baada ya...

READ MORE

Whozu Tunda hawezi kunisaliti

BAADA ya tetesi kuzagaa kuwa ameonekana hotelini akiwa na mwanaume mwingine mwenye asili ya Kinigeria, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Whozu...

READ MORE

Jux atoa ya moyoni kuachana na mpenzi wake

STAA wa miondoko ya RnB Bongo; Juma Mussa ‘Jux’, ametoa la moyoni juu ya tetesi za kuachana na mchumba’ke; Nayika...

READ MORE

SHEHE PONDA AKATAA SADAKA YA MONDI

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Shehe Issa Ponda amesema msikiti uliojengwa na Supastaa wa Bongo Fleva; Nasibu...

READ MORE

Paula: Nawakwepa sana wanaume

PAULA ni mtoto wa staa wa filamu Bongo; Kajala Masanja na Prodyuza maarufu hapa nchini Paul Matthyes ‘ P.Funky.  Jina...

READ MORE

Barnaba Anakijiji cha Watoto wa Kike

UKIZUNGUMZIA wanamuziki wazuri Bongo hii wanaojua kuimba, kutunga, kutumia vyombo na kuzalisha (produce) ngoma kali za Bongo Fleva, huwezi kuacha...

READ MORE

Zari Atoswa Utajiri wa Mumewe

AMETOSWA! Licha ya kupigania kwa udi na uvumba mali za aliyekuwa mumewe Ivan Ssemwanga, staa wa Afrika Mashariki, Zarinah Hassan...

READ MORE

Ronaldo, Georgina Waanza Mwaka kwa Mahaba Mazito

SUPASTAA wa soka duniani, Cristiano Ronaldo na mchumba wake mrembo, Georgina Rodriguez, wameuanza mwaka kwa kuonyeshana mahaba mazito kwenye Mtandao...

READ MORE

Dudubaya Agoma Kujisalimisha BASATA, Awatolea Povu

  BARAZA la Sanaa Taifa (BASATA) limemtaka msanii wa Bongo Fleva, Tumaini Godfrey, maarufu Dudubaya, kufika katika ofisi za baraza...

READ MORE

Diva azidi kumuandama Mondi

    MWANADADA aliyejizolea umaarufu kutokana na kazi ya utangazaji; Loveness Malinzi marufu kama Diva amezidi kumuandama Diamond ‘Mondi’ na...

READ MORE

MTOTO WA KAJALA GUMZO UBALOZI TAULO ZA KIKE

MTOTO wa staa wa Bongo Muvi, Kajala Masanja, Paula Paul, ameibua gumzo kama lote baada ya nyota yake kuonekana kuanza...

READ MORE

DORAH: Nampenda Sana Harmonize, Anafaa kwa Matumizi – Video

MSANII maarufu wa Bongo Movies, Wanswekula Zacharia Lotti ‘DORAH’ (24), anayetamba katika tamthilia ya KAPUNI inayooneshwa DSTV, amevunja ukimya na...

READ MORE

Whozu Aanika Siri Kubwa ya Tunda – Video

MSANII wa muziki wa BongoFleva, Whozu amwvunja ukimya na kufunguka namna alivyoingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na video vixen maarufu...

READ MORE