×

Championi

Man Utd Imepata Bonge La Mchezaji

HATIMAYE kiungo Bruno Fernandes amekamilisha usajili wake Manchester United kwa dau la pauni milioni 68 (Sh bilioni 203) akitokea Sporting...

READ MORE

Grealish Fundi Tunayemtupia Macho Kwa Kubahatisha Mambo

KOCHA Dean Smith wa Aston Villa, aliamua kufanya mabadiliko ya mapema katika dakika ya 58 katika mechi dhidi ya Bournemouth...

READ MORE

Juve Yataka Kumng’oa Van Dijk Liverpool

HUKO ughaibuni, taarifa inayosambaa kwa kasi ni Juventus kujipanga kumng’oa beki wa Liverpool, Virgil van Dijk katika dirisha lijalo la...

READ MORE

Mbappe, Kocha PSG Warushiana Maneno ya Shombo

SUPASTAA Kylian Mbappe ametoleana maneno ya shombo na kocha wake wa Paris Saint-Germain, Thomas Tuchel baada ya fowadi huyo kutolewa...

READ MORE

Kisa Yanga, Mzamiru Hali Tete Simba

KIUNGO wa Simba, Mzamiru Yassin, ataendelea kuzikosa mechi za timu hiyo, kutokana na kusumbuliwa na tatizo la goti analodaiwa kuumia...

READ MORE

Kipa Coastal Awafanyia Kitu Mbaya Kagere, Bocco

Jumamosi iliyopita kikosi cha Simba kilipambana na Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja...

READ MORE

Mzungu Mpya: Yanga Tulieni, Mtafurahi

WAKATI uongozi wa Yanga ukiwa katika harakati za kutaka kubadilisha mfumo wa uendashwaji wa klabu hiyo, kutoka wa sasa na...

READ MORE

Yondani: Naachana na Yanga SC

BEKI mkongwe wa kati wa Yanga, Kelvin Yondani, amesema kuwa hana muda mrefu katika soka, hivyo wakati wowote atatangaza kuachana...

READ MORE

Baba Samatta Amfungukia Tena Mwanaye

MZAZI wa mshambuliaji wa Aston Villa ya nchini Uingereza, Mbwana Samatta, Mzee Ally Samatta, amemtaka kijana wake huyo abadili mwenendo...

READ MORE

Kwa Rekodi Hizi…Simba Wataibatiza Coastal Kwa Moto leo Taifa

REKODI zinadumu bhana! Ndivyo unaweza kusema, hii ni baada ya Simba kuonekana mbabe mbele ya Costal Union ambayo watacheza nayo...

READ MORE

Guardiola Ahofia Liverpool Kuvunja Rekodi za City

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, ameanza kupata wasiwasi kuwa mwendo huu wa Liverpool unaweza kuvunja rekodi nyingi walizoziweka. City...

READ MORE

Kisa Simba, Bosi GSM Amuongeza Mkataba Mghana Yanga

KESHO Jumapili uongozi wa Yanga chini ya Mwenyekiti wa timu hiyo, Dk Mshindo Msolla, utakutana na kiungo wake mshambuliaji, Mghana,...

READ MORE

Niyonzima: Tulieni, Tunarudi Kileleni

KIUNGO mchezeshaji fundi Mnyarwanda, Haruna Niyonzima ‘Fabregas’ amewatoa hofu mashabiki wa Yanga na kuwasisitiza wazibeze kejeli za Simba.   Staa...

READ MORE

Dilunga: Sasa Gari Ndo Limewaka

HASSAN Dilunga, yule fundi wa Simba anayevaa jezi namba 24, ametamka kwamba yale mawili aliyotupia hajabahatisha, sasa gari ndio limewaka....

READ MORE

Kichuya Kuanza na Mwadui FC Kesho Taifa

KIKOSI cha Simba, kesho Jumamosi kitashuka uwanjani kupambana na Mwadui FC katika mchezo wa Kombe la FA utakaochezwa kwenye Uwanja...

READ MORE

Molinga Atoa Kauli ya Kibabe Yanga SC

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, David Molinga, amesema kuwa kazi ndiyo kwanza imeanza Yanga, hivyo mashabiki wa timu hiyo wasiwe...

READ MORE

Mkwasa: Awashusha Presha Yanga, Kuifunga Singida United leo

UNAWEZA ukawa umesahau kutokana na changamoto za Januari lakini Yanga haijashinda mechi yoyote ya Ligi tangu mwaka wa 2020 uanze....

READ MORE

Sven Ampa Shavu Kakolanya

KOCHA wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, ameonekana kuvutiwa zaidi na kiwango cha kipa Beno Kakolanya, hiyo ni baada ya kumpa...

READ MORE

Simba: Hatupo Levo Moja

Juzi Mashabiki wa Simba walikuwa wakiimba maneno ya msemaji wao, Haji Manara kwamba wao hawapo levo moja na timu nyingine za...

READ MORE

Sonso Aomba Radhi Yanga SC

BAADA ya beki wa Yanga, Ally Mtoni ‘Sonso’ kupata kadi nyekundu katika mchezo dhidi ya Azam ambao walipoteza kwa bao...

READ MORE

Msuva Ambariki Samatta Kutua Aston Villa

WINGA wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars na klabu ya Difaa El Jadid ya Morocco, Simon Msuva, amefunguka...

READ MORE

Sven Ataja Kinachombeba Simba

SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba, ametaja kwamba kucheza kwa haraka na kutumia mfumo wa 4-3-3 ndiyo silaha pekee ambayo...

READ MORE

Straika Mghana Atoa Kauli ya Kibabe Yanga

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, raia wa Ghana, Bernard Morrison, amewaondoa hofu Wanayanga kwa kuwaambia kuwa kama lilikuwepo tatizo la ushambuliaji...

READ MORE

Samatta Atacheza Aston Villa Majibu Yapo Hapa

USAJILI wa Mbwana Samatta kwenda Aston Villa katika timu ambayo inashika nafasi ya 18 kabla ya mechi yao ya jana...

READ MORE

Simba Yachota Mil 635 Mauzo Ya Samatta Kwenda Aston Villa

MBWANA Ally Samatta kila anakokwenda kucheza basi ujue Klabu ya Simba inaingiza mkwanja na hii ni kutokana na kuhusika kwenye...

READ MORE

Mbelgiji Ashusha Presha Yanga, Atupa Kombora Azam FC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbelgiji Luc Eymael, ameshusha presha ya mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia watulie kwa kuwa amejipanga...

READ MORE

Liverpool vs Man United… Ngoma Nzito Hii

KESHO Jumapili, Liverpool itakuwa mwenyeji wa Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu England utakaochezwa kwenye Uwanja wa Anfield kuanzia...

READ MORE

Zidane Aanza Kuyakusanya Tena

KOCHA wa Real Madrid, Zinedine Zidane ameendelea kuonyesha umwamba wake kwenye soka baada ya kuisaidia timu yake kutwaa ubingwa wa...

READ MORE

Mkwasa: Sijui Kama Nitabaki Yanga SC

ALIYEKUWA Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga, Boniface Mkwasa, amesema kuwa hajui hatima yake ndani ya klabu hiyo mara baada ya...

READ MORE

Rasmi Kotei Avunja Mkataba Kaizer Chiefs

KIUNGO mkabaji wa zamani wa Simba, James Kotei, amethibitisha kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na klabu yake ya Kaizer Chiefs...

READ MORE

Sh Mil 30, Kichuya Mali ya Yanga

WINGA wa zamani wa Simba, Shiza Kichuya, amekubali kusaini mkataba wa kukipiga Yanga katika usajili wa dirisha dogo msimu huu...

READ MORE

James Kotei ni Suala la Muda tu Yanga

BAADA ya tetesi za muda mrefu za aliyewahi kuwa kiungo mkabaji wa Simba, James Kotei, kutakiwa na Yanga, hatimaye uongozi...

READ MORE

HATIMAYE ROONEY ATOKA KIFUNGONI

WAYNE Rooney juzi alionekana akiendesha gari kwa mara ya kwanza baada ya kupita miaka miwili, kwa kuwa alikuwa amefungiwa kuendesha....

READ MORE

Katikati Ya Msimu, Barcelona Haijawahi Kufukuza Kocha Tangu 2003

UKISIKIA kuchezea sharubu ndiyo hivi sasa. Kocha Ernesto Valverde ni kama anachezea sharubu za waajiri wake Barcelona akionekana kama vile...

READ MORE

Mbelgiji Atenga Saa 168 Kuisuka Yanga Mpya

KOCHA mpya wa Yanga, Luc Eymael, raia wa Ubelgiji, amefunguka kuwa ametenga wiki moja, sawa na saa 168 kwa ajili...

READ MORE

Ame Ally Azuiwa Singida

MCHEZAJI mpya aliyesajiliwa na Singida United, Ame Ally, amezuiwa kuitumikia klabu hiyo na Bodi ya Ligi ili kupisha uhakiki wa...

READ MORE

Kakolanya: Nikipangwa leo, Simba Hawatajuta

KIPA namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya, amesema kuwa kama atapewa nafasi ya kuanza katika kikosi cha leo Jumatatu kitakachopambana...

READ MORE

Yanga Yamshusha Kocha Mpya Msauzi

WANACHOKIFANYA Yanga ni kutengeneza bomu! Ndivyo unavyoweza kusema kwani baada ya Alhamisi iliyopita kumleta Kocha Mkuu Luc Eymael raia Ubelgiji,...

READ MORE

Straika TP Mazembe Anyimwa Mkataba Yanga

JINA la kiungo mshambuliaji wa TP Mazembe, Owe Bonganya, linajadiliwa kwenye mipango ya usajili ya Yanga kwenye dirisha hili dogo...

READ MORE

Mkwasa: Simba SC Hawawezi Dk 90 za Mshike Mshike

CHARLES Boniface Mkwasa, Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga kwa sasa amegeuka kuwa shujaa baada ya kuiongoza timu yake iliyokuwa haipewi...

READ MORE