×

Championi

Bocco: Tunawajua Vizuri Azam

MSHAMBULIAJI mkongwe na nahodha wa Simba, John Bocco ametamba kuwa anawajua vizuri wapinzani wao Azam FC, hivyo ni lazima wawafunge...

READ MORE

Yanga Yatamba…na Vikosi Matata, Kucheza na Mtibwa Mapinduzi

UNAWEZA kusema hivi sasa ubingwa wa Ligi Kuu Bara hauna mwenyewe licha ya kwamba Simba ndiyo inaongoza ligi ikiwaacha wapinzani...

READ MORE

Mkwasa: Yikpe na Niyonzima ni watu wa kazi

KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Boniface Mkwassa, amesema kuwa wachezaji waliosajiliwa ndani ya Yanga ikiwa ni pamoja na Yikpe Gnamien...

READ MORE

Mwamuzi Simba vs Yanga Afunguka Hirizi ya Kagere

WAKATI mashabiki wa soka hapa nchini wakiendelea kupishana kauli juu ya mshambuliaji wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere kuwa alikuwa na...

READ MORE

Eti Pombe Zimemzeesha Charlie Adam

UNAMKUMBUKA yule kiungo wa zamani wa Liverpool na Stoke City, Charlie Adam? Jamaa siku hizi yupo zake Reading huko Ligi...

READ MORE

Niyonzima, Balama Waogelea Minoti

JUMAMOSI iliyopita viungo wa Yanga, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima na Mapinduzi Balama, walionekana lulu na wafalme, baada ya kutunzwa fedha huku...

READ MORE

Balama: Siyo Mara ya Kwanza Kumfunga Manula Bao la Mita 18

HAUWEZI kuwataja wachezaji waliocheza kwenye kiwango cha juu katika mchezo wa juzi wa watani wa jadi, Simba na Yanga bila...

READ MORE

Baba: Yondani ni Mtu wa Kazi, Simba Wazuri Ilaa….

  SAA tu kwa sasa kabla ya vita iliyokuwa mrefu kukamilika kwenye Uwanja wa Taifa ambapo wilaya ya Temeke itapokea...

READ MORE

Sibomana: Lazima Niitungue Simba Leo Taifa

MNYARWANDA Patrick Sibomana anayechezea Yanga, amesema atahakikisha anapambana kufa na kupona ili aifunge Simba, leo na kuweka rekodi. Tangu kuanza...

READ MORE

Video: Waziri Kalemani Azindua Mradi wa Njia ya Umeme Geita

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amezindua na kuweka jiwe la msingi katika Mradi wa kusafirisha umeme mkoani Geita, leo...

READ MORE

Simba SC Rasmi Yaipiga Bao Yanga SC

RASMI sasa kiungo wa Mamelodi Sundowns, Luis Jose Miquissone aliyekuwa anakipiga kwa mkopo UD Songo ya Msumbiji ni mchezaji halali...

READ MORE

Kibadeni: Bocco Anaipiga Yanga SC Hat-trick

LICHA ya kutoka kwenye majeraha ya goti, kocha na mchezaji wa zamani wa Simba, Abdallah Kibadeni amesema anaona wazi kuwa...

READ MORE

Mo Atuma Ujumbe Mzito Wachezaji Simba

PRESHA imezidi kupanda kila siku mpaka leo ambapo Simba itaikaribisha Yanga kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, huko nyuma ya...

READ MORE

Tariq: Yanga Subirini, Nitafunga Kwenye Kila Mchezo

BAADA ya kufunga bao lake la kwanza katika Klabu ya Yanga, ambalo liliipa timu hiyo ushindi mbele ya Biashara United,...

READ MORE

Msolla: Tuna Maandalizi Maalum ya Simba

  MWENYEKITI wa Yanga, Dk Mshindo Msolla, ameweka bayana kuwa, kwa kutambua ukubwa wa mechi yao dhidi ya Simba, wamejipanga...

READ MORE

Tshishimbi Awachimba Mkwara Simba SC

  NAHODHA na kiungo wa Yanga, Mkongomani Papy Tshishimbi, amewachimba mkwara wapinzani wao Simba kwa kuwaambia wasitarajie kupata urahisi wakati...

READ MORE

Wanafanya Makubwa Lakini Hawatajwi

  WAKATI Ligi Kuu Soka Tanzania Bara ikiendelea kutimua vumbi kwenye viwanja mbalimbali nchini, Championi Jumatatu linakuletea baadhi ya wachezaji...

READ MORE

Muivory Coast wa Yanga, Balaa Lake Watakoma!

STRAIKA mpya wa Yanga, Muivory Coast, Ykiep Gnaimen, unaambiwa ni hatari wa kupiga mashuti ya mbali kuanzia mita 18-20 na...

READ MORE

Staa La Liga Apiga Goti Uwanjani Akiomba Ndoa

  KIPA wa Klabu ya Real Valladolid inayoshiriki Ligi Kuu ya Hispania (La Liga), Andriy Lunin, ameomba kumuoa mpenzi wake,...

READ MORE

Vidal Aishtaki Barcelona, Kisa Bil 6

  KIUNGO wa Barcelona, Arturo Vidal, amechukua hatua ya kushangaza dhidi ya klabu yake hiyo. Ameamua kuishtaki akidai hajalipwa pauni...

READ MORE

Gadiel: Niliondoka Yanga Sc, Sikulazimishwa, Nafurahia Simba

JOTO la mechi ya watani linazidi kupanda kwa sasa ambapo kila mchezaji na benchi la ufundi wa timu hizi mbili,...

READ MORE

Wawa: Molinga Jembe, Ila Hanisumbui

IMEISHA hiyo! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya beki wa kati wa Simba, Muivory Coast, Pascal Wawa, kudai kwamba, ameziangalia vizuri...

READ MORE

Mabosi Yanga Waungana Kuimaliza Simba

WAKATI homa ya pambano la watani ikipanda, huko Yanga unaambiwa mabosi wa timu hiyo, wameweka tofauti zao pembeni na kuungana...

READ MORE

Molinga Awatolea Kauli la Kibabe Simba SC

MSHAMBULIAJI tishio wa Yanga, Mkongomani, David Molinga ‘Falcao’, amewatolea kauli la kibabe wapinzani wao wakuu Simba kwa kuwaambia kuwa kwake...

READ MORE

Kabunda Asimulia, Alivyoshushwa Kwenye Basi la Timu Saa 9 Usiku

    ALIWAHI kutokea bwana mmoja aliyekuwa maarufu sana duniani katika miaka ya 1975, huyu jamaa aliitwa Arthur Ashe, mcheza...

READ MORE

Kocha Mpya Simba Aigomea Ripoti Ya Aussems

  IMEFAHAMIKA kuwa Kocha Mkuu mpya wa Simba, Mbelgiji, Sven Vanderbroeck ameuzuia uongozi wa timu hiyo kufanya usajili katika dirisha...

READ MORE

Nyota Simba kutimkia KMC

    RASHID Juma, mshambuliaji wa Simba, yupo kwenye mazungumzo ya mwisho na uongozi wa timu ya Manispaa ya Kinondoni,...

READ MORE

NCHIMBI: Subirini, Nitawaonyesha Kwa Nini Niko Yanga

  HADI sasa kwenye dirisha dogo, Yanga wamekuwa na kasi kubwa kuliko hata ya upepo wa kisulisuli kutokana na kasi...

READ MORE

Amri Said Aipigia Mahesabu Yanga

  JIONI ya kesho Jumanne kwenye Uwanja wa Sokoine kutakuwa na mchezo kati ya Mbeya City dhidi ya Yanga ukiwa...

READ MORE

Mkwasa: Simba Wepesi tu, Wanafungika

    KATIKA kuelekea mchezo wa watani wa jadi, Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa, ametamba kuwa wapinzani...

READ MORE

Hadija Omary: Mzee Samatta Alipoachana na Wake Zake, Akanioa

KAMA kawaida ya gazeti lako pendwa la Championi Jumatatu ambalo hukuletea makala za wake wa mastaa mbalimbali ambao wamekuwa wakizungumzia...

READ MORE

Mbappe; Mtoto Anayefanya Mambo ya Wakubwa

  MARA chache sana unaweza kumuamini mtoto kufanya mambo makubwa. Mara nyingi watoto huaminika kufanya mambo ya kitoto, lakini Kylian...

READ MORE

Yaya Toure: Mashabiki wa Sasa ni Wajinga Zaidi

  GWIJI Yaya Toure anaamini kuwa ubaguzi kwenye soka umefikia hatua mbaya zaidi kwa sababu mashabiki wa sasa ni wajinga...

READ MORE

Mourinho Sasa awageukia Vertonghen, eriksen

  KOCHA wa Tottenham, Jose Mourinho, amesema sasa anataka mastaa wake, beki Jan Vertonghen na kiungo Christian Eriksen wasaini mkataba,...

READ MORE

Aussems Aikataa Yanga, Apata Dili Mpya

    KOCHA wa zamani wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, amekataa kuzungumza chochote kuhusu Yanga, huku kukiwa na taarifa kuwa...

READ MORE

Klopp: Minamino Yupo Tayari Kupiga Kazi

KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp, amemsifu mchezaji wake mpya aliyemsajili hivi karibuni, Takumi Minamino na anaamini staa huyo Mjapan yupo...

READ MORE

Hawa Wamekula 6, Bado Nyie

  BOSI mpya wa Simba, Mbelgiji Sven Vanderbroeck jana alianza majukumu yake ndani ya klabu hiyo kwa mkwara mzito baada...

READ MORE

Kocha Mpya Simba Atua na Jembe la Kazi

  JUZI Jumatano uongozi wa Klabu ya Simba ulitangaza ujio wa kocha wao mpya raia wa Ubelgiji, Sven Vandenbroeck ambaye...

READ MORE

Mzambia Afunguka Alivyoachwa na Simba

  BAADA ya uongozi wa Simba kumtambulisha Mbelgiji, Sven Vandenbroeck kuchukua nafasi ya Patrick Aussems, aliyekuwa kocha wa Nkana, Beston...

READ MORE

Boxer wa Yanga Mapema tu Anaiwahi Simba

  KAMA mambo yataenda vizuri basi mlinzi wa pembeni wa Yanga, Paul Godfrey ‘Boxer’ ambaye amekuwa nje kwa kitambo kidogo...

READ MORE